Chama kubwa !

Chama kubwa !

Marriage is how you make it


Mkuu mshana jr i know na niko humo ndani na maisha yanasonga bila wasi wasi aise na nazidi kumuomba Mungu ajalie kila jema yaendelee hivi hivi
Hakuna rajha kama unampata the right person to be your wife aise
Me nataka nione mwenyewe kaka hizo stress zinafanana naje?

Mkuu usidanganywe hakuna raha kama kuwa na mwenzako na Mungu akakupa mtu ambaye mnaelewana na mnaweza kushare maisha pamoja na kushauriana
hakuna cha stress wala nini na ndoa ni wewe utakayeifanya iwe njema au mbaya pia
 
Last edited by a moderator:
Aaah mkuu mshana jr hilo chama lenu cjawai fikiria hata!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mshana jr i know na niko humo ndani na maisha yanasonga bila wasi wasi aise na nazidi kumuomba Mungu ajalie kila jema yaendelee hivi hivi
Hakuna rajha kama unampata the right person to be your wife aise


Mkuu usidanganywe hakuna raha kama kuwa na mwenzako na Mungu akakupa mtu ambaye mnaelewana na mnaweza kushare maisha pamoja na kushauriana
hakuna cha stress wala nini na ndoa ni wewe utakayeifanya iwe njema au mbaya pia

Marriage is a very beautiful thing n wonderful too...lakini ni pale tu unapopata mtu sahihi na kujenga uaminifu kati yenu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usidanganywe hakuna raha kama kuwa na mwenzako na Mungu akakupa mtu ambaye mnaelewana na mnaweza kushare maisha pamoja na kushauriana
hakuna cha stress wala nini na ndoa ni wewe utakayeifanya iwe njema au mbaya pia

Namuomba Mungu sana kwa hili
 
2020 utajaoa watoto wetu aise MO11 maana hapo ni miaka sita ijayo aise

kwani wasiwasi wako nini kama una binti wa miaka 12+ niandalie jitahidi kumchunga chunga
sasa hivi nahangaika na magubegube yaliyoshindikana
Haaaaaaaaaa miaka sita ijayo? Hapana fanya iwe mapema zaidi tafadhali kabla hawajaharibika zaidi

Hapana nitaoa mpya kabisa namtunza kuanzia sasa hivi kama atatokea
 
Last edited by a moderator:
kwani wasiwasi wako nini kama una binti wa miaka 12+ niandalie jitahidi kumchunga chunga
sasa hivi nahangaika na magubegube yaliyoshindikana


Hapana nitaoa mpya kabisa namtunza kuanzia sasa hivi kama atatokea

hAPANA AISE KUJA KUMPA BINTI YANGU MTU ALIYESHINDIKANA KAMA MO11 NI KUMTAFUTIA MATATIZO HUKO KWENYE MAISHA YAKE
 
Last edited by a moderator:
hAPANA AISE KUJA KUMPA BINTI YANGU MTU ALIYESHINDIKANA KAMA MO11 NI KUMTAFUTIA MATATIZO HUKO KWENYE MAISHA YAKE

nAAPA NITATULIA NA NITAMPENDA MILELE DAIMA HAPA ATAPATA MUME MWEMA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom