Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Kaka mie chadema damu tena kuliko wewe lakini kuna vitu lazima tujifunze, sio kila kilichoko CCM ni kibaya, kama ni hivyo basi hata akina slaa nao ni wabaya kwa sababu wametoka ccm, Mie sipendi kuona kuna maneno ya kijinga kamma ya shibuda yanayohusu ukabila na pia maneno ya wengine ya kudai chadema ni chama cha kanisa. mie ni mkatoliki na nina hasira kubwa kwa yaliyotokea zanzibar, ukifuata topics zangu utaona, mie binafsi sipendi huu muungano na watu ambao hawana akili timamu kila kukicha kelele. lakini ili chadema kiwe chama bora inabidi watumie mbinu za nyerere za kutoupa ukabila na udini nafasi ya kuzungumziwa ndani ya chama na hii ndio silaha kubwa itakayoifanya chadema ichukue nchi 2015
Kama wewe kweli ni mwanachadema nakupa BRAVO!!!!
umesema ukweli dhahiri na usio na chenga!! big up mzalendo