yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
UNASEMAJE? Hivi wewe unaakili kweli? umefanya utafiti wapi, mwezini? ukiwa unaishi ulaya? chini au juu ya mbingi ya dunia? mwee!!!!!! machikini, wewe angalia kitu kimoja tuuu usiende mbali, kuna udini hata kabla hakijaitwa ccm, hayo yote hayana maana, chama cha kimatabaka/ kinatetea tabaka tajiri, wahindi, matajiri, viongozi...
nenda shule huna kitu kichwani dogo
nadhani kuna ufinyu wa fikra pevu ktk hii hoja yko.huwezi kufanya kosa kwa kuiga angalia sheria kwakua, enzi hzo kulikua na matabaka basi ndio tuyaendeleze mpaka leo? Nyerere alishakataza haya mambo iweje yanaanza upya?