Chama Kipya Kuundwa Karibuni!!

Chama Kipya Kuundwa Karibuni!!

Waberoya,
nimekupata.Ya chuo yaachwe.adimu sana.au unakuwa .... Forum.Heri ya mwaka mpya
Feedback
wahi kabla hawaja edit unless was closed thread.HaHaHaaa
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri wamedhoofika si kwa sababu ya msaliti, bali nafikiri hivi vyama haviko kwa ajiri ya kushika dola, bali wapo kwa ajiri ya kula pesa, maana wanapata ruzuku nzuri sana, ni pesa ndefu. Na ndio maana utaona vyama vyote mtafaruku unanzia kwenye uongozi. Maana ukiwa kiongozi wa juu, ndo ule mfereji wa ruzuku unakuwa unabubujukia kinywani mwa kiongozi.

Kama katiba mbona wanazo katiba nzuri tu, na hawazifuati ili kuhakikisha mfereji wa ruzuku lazima uwe mkabala na mdomo wa kiongozi, hivyo ndo ilivyo. Unaweza imba vingine utakavyo, lakini naamini uhaisia ndo huu.
Nilipobold, nafikiri hujui historia ya ujio wa vyama vingi na wala hujui NCCR-Mageuzi imetoka wapi na composition yake walikuwa akina nani na nani aliwateua, fanya homework kidogo utajua sababu ya kusambaratika kwa NCCR-Mageuzi rejea pia Kama Huru ilikuwa nini.

Kama mwenyewe umesema katiba zao ni nzuri tatizo ni ruzuku, je unakumbuka enzi za Mrema ilifikia hatua ya serikali kuingiza ruzuku kwenye akaunti binafsi ya Mrema? unalijua hilo na lengo lake lilikuwa nini kama si serikali kuchochea vurugu? wake up.

Haya ya akina Chacha Wangwe, Zitto and alike ni marudio tu ndio maana hadi sasa Chadema kimeweza ku-handle kwa utulivu wewe unaweza kuwaona kama wapigania demokrasi ndani ya vyama kumbe sivyo.
 
Hata wasijal pesa za dear Wa ujeruman ztasaidia kwny uanzishwaji wake...cpati picha huo uongoz base wote makanjanja tu
 
Kazi ipo nani wakujiunga na watu waliofukuzwa kwa usaliti
.Sidhani kama ni kweli.
 
Kazi ipo nani wakujiunga na watu waliofukuzwa kwa usaliti
.Sidhani kama ni kweli naona watu wanatafuta ruzuku tu.
 
Hata wasijal pesa za dear Wa ujeruman ztasaidia kwny uanzishwaji wake...cpati picha huo uongoz base wote makanjanja tu
 
Nilipobold, nafikiri hujui historia ya ujio wa vyama vingi na wala hujui NCCR-Mageuzi imetoka wapi na composition yake walikuwa akina nani na nani aliwateua, fanya homework kidogo utajua sababu ya kusambaratika kwa NCCR-Mageuzi rejea pia Kama Huru ilikuwa nini.

Kama mwenyewe umesema katiba zao ni nzuri tatizo ni ruzuku, je unakumbuka enzi za Mrema ilifikia hatua ya serikali kuingiza ruzuku kwenye akaunti binafsi ya Mrema? unalijua hilo na lengo lake lilikuwa nini kama si serikali kuchochea vurugu? wake up.

Haya ya akina Chacha Wangwe, Zitto and alike ni marudio tu ndio maana hadi sasa Chadema kimeweza ku-handle kwa utulivu wewe unaweza kuwaona kama wapigania demokrasi ndani ya vyama kumbe sivyo.

Mkuu
Kama kweli unapigania haki na ukombozi kwa taifa hili, jambo la awali kabisa kupigania ni upiganie ili ruzuku kwa vyama vya siasa ifutwe. Hapo utakuwa umetendea haki haki yako mwenyewe na kwa taifa kwa ujumla. Tatizo ni ruzuku, akina mrema wakati wanarushiana masumbwi tatizo lilikuwa lilelile nani awe kiongozi ili mfereji wa ruzuku utitirikie mkabala.

Sijui Prof Safari, alitolewa baru CUF kwa sababu aliutaka uenyekiti ili kupata mfereji kuwa mkabala na mfereji wa ruzuku. Mkipigania ruzuku ikafutwa hakika mtapata makamanda wa ukweli
 
Hongereni ccm .mtazidi kupeta Wakati wenzenu wanagawana kura NYie za kwenu ziko palepale.
 
imagine chama cha boko haram, al shaabab, osama, joseph kony, rick mashall, nasrallah, mullah omar, jona savimbi, zitto kabwe, kafulila, hamad rashid.

...hata wiki hawamalizi
 
Nafikiri wamedhoofika si kwa sababu ya msaliti, bali nafikiri hivi vyama haviko kwa ajiri ya kushika dola, bali wapo kwa ajiri ya kula pesa, maana wanapata ruzuku nzuri sana, ni pesa ndefu. Na ndio maana utaona vyama vyote mtafaruku unanzia kwenye uongozi. Maana ukiwa kiongozi wa juu, ndo ule mfereji wa ruzuku unakuwa unabubujukia kinywani mwa kiongozi.

Kama katiba mbona wanazo katiba nzuri tu, na hawazifuati ili kuhakikisha mfereji wa ruzuku lazima uwe mkabala na mdomo wa kiongozi, hivyo ndo ilivyo. Unaweza imba vingine utakavyo, lakini naamini uhaisia ndo huu.

mkuu umeimalizia jumapili yangu vizuri
 
Sasa Zitto atapumua uenyekiti huooo anaukwaa,

ushauri atangulize masilahi ya chama mbele na si Zitto kwanza atafanikiwa.

Zitto, hamadi rashid na kafulila hapo ngoma nzito hawa wote wanapenda madaraka kama habari hii ni ya kweli ngoja tusubiri!
 
Hongereni ccm .mtazidi kupeta Wakati wenzenu wanagawana kura NYie za kwenu ziko palepale.

CCM wameanza kugawana kura na vyama vingine ndio maana wanapenda kuona cdm inakufa au ingegawanyika lakini hilo halikufanikiwa. Waliofukuzwa wameenda wenyewe. Sasa subiri uchaguzi mdogo wa madiwani
 
Mungu anatupenda sana watanzania,yaani makosa ambayo tulitaka kifanya 2010 kwa kuwaamini chui waliojivika ngozi ya kondoo ,tungelia na kusaga meno,magereza yangekuwa yamejaa wafungwa wa kisiasa,wanaharakati wangeuawa kama nzige,hakuna ambae angethubutu kukosoa serikali yao,wasingetoka tena madarakani na muda huu Mushumbusi angekuwa waziri wa fedha,Mukya angekuwa nishati na madini, Kileo angekuwa Nishati na madini,Saanane angekuwa mambo ya nje,Mbowe waziri mkuu. na Mtei angerudi kuwa gavana wa Benki kuu.
Eeeh mungu tukulipe nini kwa kutuepusha na hiki kikombe? watanzania tukeshe makanisani na Miskitini tukimshukuru mungu kwa kutuepusha na janga hili,wenye chadema jaribuni tena huenda 2015 mkapata ili mtimize malengo yenu.
 
Umoja wa mayuda (UWAMA) ni jina zuri kwao! Kwa mnafiki Zitto kukimbilia mahakama ni kudeka, mtoto wa mama! Anafuliwa nguo na mama yake.
 
Last edited by a moderator:
Umoja wa mayuda (UWAMA) ni jina zuri kwao! Kwa mnafiki Zitto kukimbilia mahakama ni kudeka, mtoto wa mama! Anafuliwa nguo na mama yake. Hajaoa na anakosoa ndoa za wengine. Ngoja aoe tumchapie kwa gharama yoyote ile
 
Last edited by a moderator:
hiki chama kitakuja kwa ajilI ya kudhoofisha upinzani na sio kuimarisha.

watakuja na ulaghai mwingi kuhusu Chadema kanakwamba matatizo ya Mtanzania yamesababishwa na Chadema.

Viva Chadema najua unapigana vita toka pande zote lakini najua ipo siku utashinda tu.!!
 
Umoja wa mayuda (UWAMA) ni jina zuri kwao! Kwa mnafiki Zitto kukimbilia mahakama ni kudeka, mtoto wa mama! Anafuliwa nguo na mama yake. Hajaoa na anakosoa ndoa za wengine. Ngoja aoe tumchapie kwa gharama yoyote ile
Jamaa anakosoa ndoa za watu wakati hajawahi kuwa na familia anafikiri kuishi na hawala ni sawa na kuishi na mke wa ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo sidhani kama ni RUZUKU,tatizo letu kubwa waAfrika ni kupenda mno madaraka,kwenye mgogoro wa CHADEMA na Zitto pande zote zina makosa.Uongozi ulitakiw kusikiliza na kuwaacha wakosaji wajiadhibu wenyewe kwanza.Pili upande wa Zitto walikosea pia,hata kama ndoto ni kuwa Rais basi angetumia njia sahihi kwa kuomba ridhaa ya chama chake,kama kweli nia na lengo lake ni kutetea mali asili na mambo mengine na kama kweli ni mzalendo angejitahidi kujizuia kuhemuka na kutukana viongozi wenzake na pia kuropoka.Vinginevyo alitakiwa kuuweka uzalendo kwanza ili kunusuru chama chake na migogoro isiyo na sababu.
 
Back
Top Bottom