Chama Kipya Kuundwa Karibuni!!

Chama Kipya Kuundwa Karibuni!!

Naomba kiwe kokolo kichukue uchafu wote ndani ya upinzani wa kweli, maana mamba wamekuta wakifanyakazi na kenge kibao.
 
Mwenyekiti: Zitto Kabwe,
Katibu Mkuu: Rashid hamad
Katibu Mwenezi: Kafulila
Mambo ya muungano na katiba: Mansoor Yussuf Himid
Jumuia ya Wanawake: Bi. Shonza
Jumuia ya chipukizi: Mwampemba
Baraza la wazee: Arfi
Mkuu wa usalama: Brigedia Nyakarungu
Wapambe: sixgates, .........nk nk.
Starehe na maafa: Chris Lukosi
 
chama cha wataka uenyekiti,lazima kife kabla hakijaanzishwa,maana hakuna ataekubali kuwa chini ya mwenzie,kila mtu anataka uenyekiti.labda kiwe na wenyeviti sita
 
Back
Top Bottom