Waberoya unataka evidence zipi? hata kama hutaki kukubaliana na evidence zilizotolewa na Kamati kuu hata matamshi ya Zitto kwa viongozi wake hutaki kuyaamini? Zitto anasema yeye haongei na kifaranga(Lissu) anataka kuongea na mama wa vifaranga(Mwenyekiti).
Kwa hali ya kawaida unategemea mtu kama huyo aendelee kukaa na viongozi wake? watafanyaje kazi, evidence gani unataka, hata kama ni demokrasia but this is too much.
Feedback wengi mnaongea mengi sana nyuma ya pazia wanaojua ukweli na nini kinaendelea ni mbowe na zitto.
Ukitaka nijadili CDM na zitto tutachukua siku mbili tatu , tuwekane sawa na nikueleze kwa nini kila upande una matatizo na kwa nini CDM kama taasisi ndio looser. zitto awe msaliti au asiwe msaliti, kwa jinsi swala lilivyokuwa handled in the past three months damage ambayo wenyewe CC wameisababisha ni kubwa mno, tena sana kuliko hata zitto kama ameifanya kwa miaka kumi iliyopita
Kama kweli chadema ilikuwa inajua zitto ni msaliti toka huko, basi then haikutumika busara, nyoka akiingia ndani na ukajua yuko chumbani unachoma moto nyumba??
with that capability of handling conflicts do you think Slaa or Mbowe they are capable for the high office -magogoni?? how many conflicts does Mr. Kikwete is facing daily?? how many??
Nikikujibu kwa kukubaliana na wewe kuwa zitto ni msaliti, bado chadema ina makosa
Nikikujibu kwa kupingana na wewe kuwa zitto sio msaliti bado chadema ina makosa
Nikiwa kama wewe na kuangalia mtazamo wako wa CDM ilipo na inapoenda naona mbele giza, unless tupeane mikono na kutiana mioyo
Hivi unajua CCM wanafanya nini saa hizi?? why the hell in this planet the whole convoy of chadema mmejishusha chini kupambana na individual anayeitwa zitto? where is CDM's strengths anyway?? kama hujaona tatizo basi tuache ushabiki
Kwa tunaoijua chadema in and out...wengi mmeangalia results za sasa, tatizo liko from 2009 tulisema san hapa na kutukanwa sana
In other words kama unataka nikueleze ya ukweli, zito was excommunicated from chadema since 2009, na yeye aliona hilo na alilijua hilo
Tatizo la Demokrasia kwa vyama vyetu vyote Tanzania ni severe sana, haya ya kutunga hadithi kama akina shigongo na kanumba ni just RESULTS
Ukirudi nyuma tuanze kuelezea matukio ya mwaka 2008/2009 hautashtuka kuona ya leo
done