Chawad......kimetohoa kwa CUF na CHADEMA.....nakitabiria kung'ara kwenye medani za siasa hapa nchini
Mwenyekiti: Zitto Kabwe,wasimasahu sixgates hata katibu kata maana amekomaa sana kumtetea@zitto and co
Waberoya hulka ya usaliti huwa haina tiba, Kaini alimsaliti ndugu yake matokeo yake unayajua, Yuda alimsaliti Yesu matokeo yake unayajua, ndiyo maana jeshini huwa wananyongwa kwa vile wanajua wakiwaacha kuna siku wanaweza hata kuanzisha uasi jeshini.
Ukifuatilia nyendo za Zitto nafikiri tabia ya usaliti haikuanzia Chuo kikuu inawezekana toka akiwa mdogo shule za msingi, dalili zinaonesha kabisa asipopata anachokitaka anaweza hata kuingia msituni.
Mwenyekiti: Zitto Kabwe,
Katibu Mkuu: Rashid hamad
Katibu Mwenezi: Kafulila
Mambo ya muungano na katiba: Mansoor Yussuf Himid
Jumuia ya Wanawake: Bi. Shonza
Jumuia ya chipukizi: Mwampemba
Baraza la wazee: Arfi
Mkuu wa usalama: Brigedia Nyakarungu
Wapambe: sixgates, .........nk nk.
Unadhani alipokuwa mshauri wa waasi wa m.23 ilikuwa bure?Nakumbuka wakati machar anaanza kuongoza uasi South Sudan nilisoma maelezo fb kwenye page ya zzk akionesha kama kufurahia hali hiyo!Waberoya hulka ya usaliti huwa haina tiba, Kaini alimsaliti ndugu yake matokeo yake unayajua, Yuda alimsaliti Yesu matokeo yake unayajua, ndiyo maana jeshini huwa wananyongwa kwa vile wanajua wakiwaacha kuna siku wanaweza hata kuanzisha uasi jeshini.
Ukifuatilia nyendo za Zitto nafikiri tabia ya usaliti haikuanzia Chuo kikuu inawezekana toka akiwa mdogo shule za msingi, dalili zinaonesha kabisa asipopata anachokitaka anaweza hata kuingia msituni.
Mkuu hofu yngu ni kupatikana chama cha kigoma.
Hebu dadavua vizuri kwenye bold, niliwahi kusikia Zitto kuhusishwa na M23 hivi ni kweli?Unadhani alipokuwa mshauri wa waasi wa m.23 ilikuwa bure?Nakumbuka wakati machar anaanza kuongoza uasi South Sudan nilisoma maelezo fb kwenye page ya zzk akionesha kama kufurahia hali hiyo!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Waberoya uliona nn ukatuletea ile topic ya wasaliti chuo kikuu? Maana wapo Riz ZZK Lyas na wengine wengi.
Waberoya hulka ya usaliti huwa haina tiba, Kaini alimsaliti ndugu yake matokeo yake unayajua, Yuda alimsaliti Yesu matokeo yake unayajua, ndiyo maana jeshini huwa wananyongwa kwa vile wanajua wakiwaacha kuna siku wanaweza hata kuanzisha uasi jeshini.
Ukifuatilia nyendo za Zitto nafikiri tabia ya usaliti haikuanzia Chuo kikuu inawezekana toka akiwa mdogo shule za msingi, dalili zinaonesha kabisa asipopata anachokitaka anaweza hata kuingia msituni.
Mkuu hiki chama kinasubiri wale watakaoachwa ccm maana ccm wanataka kuwafukuza Team lowasa au Team Sitta.
Sasa hivi tuko kwanza kwenye mapinduzi ya zanziba. Wakati mkifuatilia mapinduzi ya zanziba polisi wa arusha sana sana wa kituo cha usa fuatilieni jambazi lilopigwa risasi na polisi mpakani maeneo ya holili likatoroka liko arusha hospitali ya sharak linatibiwa kwa usiri mkubwa sana kwani amegawa hela kwa daktari na manerse(sisters) ili wasipeleke repot polis (hospitali iko 1km kutokea arusha mjini kabla ujafika makumira university)
Waberoya uliona nn ukatuletea ile topic ya wasaliti chuo kikuu? Maana wapo Riz ZZK Lyas na wengine wengi.
Unadhani alipokuwa mshauri wa waasi wa m.23 ilikuwa bure?Nakumbuka wakati machar anaanza kuongoza uasi South Sudan nilisoma maelezo fb kwenye page ya zzk akionesha kama kufurahia hali hiyo!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nimesha mpigia rpc