Chama Kipya Kuundwa Karibuni!!

Nilitaka nijibu
lakini nikaiogopa avatar yako.

Heri ya mwaka mpya Feedback
Sasa Zitto atapumua uenyekiti huooo anaukwaa,

ushauri atangulize masilahi ya chama mbele na si Zitto kwanza atafanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
maskini Rungwe amebaki mwenyewe CHAUMMA,uvumilivu wote anavuna usaliti
Waberoya,
kuna thread ya 2010 uliwataja 'hawa' kuwa walihusika na mapinduzi Udsm 2002/03
 
Last edited by a moderator:
Vimeshaundwa vyama vingi sana kabla ya hichi kipya! nothing new
 
HAWA JAMAA HAWAWEZI KULA KWENYE ZIZ MOJA. NAFUU KILA MTUA APATE CHUMBA CHAKE
 
maskini Rungwe amebaki mwenyewe CHAUMMA,uvumilivu wote anavuna usaliti
Waberoya,
kuna thread ya 2010 uliwataja 'hawa' kuwa walihusika na mapinduzi Udsm 2002/03
Bei Mbaya umenikumbusha, ile thread Waberoya alimponda sana Zitto kuwa ni msaliti wa demokrasia akishirikiana na Ridhwani na akina Omalyas ngoja niitafute.
 
Huyo msajili hafanyi due deligence? Mtu aliyefukuzwa Chama fulani ina maana hana adabu. Sasa akianzisha chake si ndio balaa tupu. Hawa ndio huzalisha maalshabab. Think deep mr Msajili.
 
Hongera zao!
Hoep watakuwa wapinzania makini, wakiwa Vibaraka hakika tuatwapinga milele.

Mkuu umakini utatoka wapi? Ikiwa %kubwa ya hao waanzilishi ni wahanga wa vyama vilivyopo hiyo spirit wanayotoka nayo huko walikofukuzwa watahama nayo! Uctegemee jambo jipya! Kujenga chama kikakubalika c shughuli ndg! hao CDM wanazaidia ya 20yrs hadi wa2 timamu kuwakubali mi nadhani hilo wazo la ccm kutaka kugawa kura kwenye chaguzi Rejea ZAIRE kipindi cha MOBOTU,,,!
 
Nimefuatilia, ni kweli kwamba huyu mtu amelazwa katika hospitali hiyo baada ya kupigwa risasi na Polisi. Alipigwa risasi eneo la Karangai wakati walipokuwa wamebeba mkaa wa magendo katika lori ambalo liliposimamishwa na polisi halikusimama, polisi walilifuatilia wakalipiga risasi matairi likapinduka yeye na wenzake wakashuka toka garini wakaanza kutimua mbio ndipo alipopigwa risasi, polisi waliambiwa na mtoa taarifa kuwa walikuwa ni majangili wamebeba pembe za ndovu na wana bunduki, lakini gari lilipopekuliwa halikukutwa na vitu hivyo. Hivyo utaona si kweli kuwa alipigwa risasi huko Holili, hata hivyo majeruhi huyo anayo asili ya huko Rombo/Holili jina linahifadhiwa kwani matibabu ni suala la faragha ya mgonjwa. Mtoa taarifa umefanya vizuri kutoa taarifa hizi japo zinakasoro kadhaa, zimebeba ukweli mmoja tuu, kuna mtu mwenye jeraha la risasi anatibiwa katika hospitali hiyo.
 
maskini Rungwe amebaki mwenyewe CHAUMMA,uvumilivu wote anavuna usaliti
Waberoya,
kuna thread ya 2010 uliwataja 'hawa' kuwa walihusika na mapinduzi Udsm 2002/03

Bei Mbaya umenikumbusha, ile thread Waberoya alimponda sana Zitto kuwa ni msaliti wa demokrasia akishirikiana na Ridhwani na akina Omalyas ngoja niitafute.

haa ha haaa mambo ya chuo yale

lakini niliandika kwa mtindo wa kutaka majibu, nilipata majibu yangu na niliridhika sina misimamo ya kibishi

Zitto alijibu na nikapata uhakika kutoka kwa watu kadhaa, zitto at that time alikuwa na conflict na uongozi wa chuo wakatumia loophole ile kumsimamisha-wengine tukajua alisimamishwa kwa sababu ya yale mapinduzi. sidhani pale kama kuna issueza za usaliti
 
Huyo msajili hafanyi due deligence? Mtu aliyefukuzwa Chama fulani ina maana hana adabu. Sasa akianzisha chake si ndio balaa tupu. Hawa ndio huzalisha maalshabab. Think deep mr Msajili.
Ndugu yangu hii ndiyo Tanzania hata huko asipokuwa mwenyekiti sheria zinamruhusu kuanzisha chama kingine hadi ndoto yake itimie.
 
Mi nadhani hii sheri ya kuansishwa vyama vipya vya siasa inatakiwa iangaliwe upya! kwani mwishowe tutakuwa na vyama 300, hivi 23 ni vingi mno vipunguzwe vibaki 4 tu!

Interesting sababu ya kuanzisha chama ni kuwa umefukuzwa??

vyama vya siasa vilivyopo vina impact gani??

sijaona bado kama kua impact yeyote ile
 
vitaendelea kuongezeka tu, unakadiliwa mpaka mwaka 2025 tutakuwa na vyama vya siasa mia mbili, yaani itafikia jirani kwa jirani tu mnaanzisha chama, simply kwa sababu mmebishana kikaoni

demokrasia bado sana afrika

Waberoya uliona nn ukatuletea ile topic ya wasaliti chuo kikuu? Maana wapo Riz ZZK Lyas na wengine wengi.
 
Waberoya hulka ya usaliti huwa haina tiba, Kaini alimsaliti ndugu yake matokeo yake unayajua, Yuda alimsaliti Yesu matokeo yake unayajua, ndiyo maana jeshini huwa wananyongwa kwa vile wanajua wakiwaacha kuna siku wanaweza hata kuanzisha uasi jeshini.

Ukifuatilia nyendo za Zitto nafikiri tabia ya usaliti haikuanzia Chuo kikuu inawezekana toka akiwa mdogo shule za msingi, dalili zinaonesha kabisa asipopata anachokitaka anaweza hata kuingia msituni.
 
Ndugu yangu hii ndiyo Tanzania hata huko asipokuwa mwenyekiti sheria zinamruhusu kuanzisha chama kingine hadi ndoto yake itimie.

Ndg nimecheka sana! Inaonekana kuna watu wamezaliwa kuwa wenyeviti duh,,,!
 
Mi nadhani hii sheri ya kuansishwa vyama vipya vya siasa inatakiwa iangaliwe upya! kwani mwishowe tutakuwa na vyama 300, hivi 23 ni vingi mno vipunguzwe vibaki 4 tu!

Mkuu hofu yngu ni kupatikana chama cha kigoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…