mastersajenti
Senior Member
- Dec 4, 2015
- 165
- 24
Kwanini Dr. Hosea kama in fisadi CCM haikumfukuza?
chadema ni chama ambacho kilipiga kelele kuhusu ufisadi katika hii.leo kinatetea ufisadi kwa kuwa fisadi papa lowasa alipohamia chadema.
nawauliza watanzania chama kama hicho kinafaa kutawala nchi?
ni kuwaogopa kama ukoma.
naamini chadema wa kweli alikuwa Dr slaa tu hawa waliobaki ni nyumbu wakiongozwa na kubenea
Nimewahi kuandika kuhusu watanzania kukosa chama mbadala
chadema ni chama ambacho kilipiga kelele kuhusu ufisadi katika hii.leo kinatetea ufisadi kwa kuwa fisadi papa lowasa alipohamia chadema.
nawauliza watanzania chama kama hicho kinafaa kutawala nchi?
ni kuwaogopa kama ukoma.
naamini chadema wa kweli alikuwa Dr slaa tu hawa waliobaki ni nyumbu wakiongozwa na kubenea
Mafisadi kwa mujibu wa Mahakama gani? Nani mwenye mamlaka ya kuamua kuwa huyu ni muhalifu au vinginevyo?
KUBENEA ANAMTETEA MKURUGENZI WA HALMASHAURI ALIYESIMAMISHWA KWA UBADHRIFU. ...
Anyway tusubiri watakavyowatetea kina Bade.... Dr. Hosea na wengineo
Chadema ni manyumbuuuu
Asante ndugu mtoa mada, halaf leo uongozi wajuu wa CDM ni wale mafisad walio changia kwa namna 1 ama nyingine kutuhujumu, kipindi walipo kuwa madarakan,
wewe ulifikiri kuna chama pale wale ni wasaka maisha tu.
na ndio maana watu wenye akili walikipiga chini kwenye uchaguzi
Hatuichagui ccm kwasababu ni bora ila tumekosa chama mbadala.
Hao nao matapeli tu hawana tofauti na walioko ccm.