Chama kinachotetea ufisadi hakifai kutawala nchi

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
chadema ni chama ambacho kilipiga kelele kuhusu ufisadi katika hii.leo kinatetea ufisadi kwa kuwa fisadi papa lowasa alipohamia chadema.

nawauliza watanzania chama kama hicho kinafaa kutawala nchi?
ni kuwaogopa kama ukoma.
naamini chadema wa kweli alikuwa Dr slaa tu hawa waliobaki ni nyumbu wakiongozwa na kubenea
 
wewe ulifikiri kuna chama pale wale ni wasaka maisha tu.
na ndio maana watu wenye akili walikipiga chini kwenye uchaguzi
 
Ccm Ndio wapinga ufisadi?rejea uchaguzi wa mameya pamoja na kushinda urais bado hawajiamini fungua akili usiwe kama Nyumbu
 
Asante ndugu mtoa mada, halaf leo uongozi wajuu wa CDM ni wale mafisad walio changia kwa namna 1 ama nyingine kutuhujumu, kipindi walipo kuwa madarakan,
 
Mafisadi kwa mujibu wa Mahakama gani? Nani mwenye mamlaka ya kuamua kuwa huyu ni muhalifu au vinginevyo?
 
chadema ni chama ambacho kilipiga kelele kuhusu ufisadi katika hii.leo kinatetea ufisadi kwa kuwa fisadi papa lowasa alipohamia chadema.

nawauliza watanzania chama kama hicho kinafaa kutawala nchi?
ni kuwaogopa kama ukoma.
naamini chadema wa kweli alikuwa Dr slaa tu hawa waliobaki ni nyumbu wakiongozwa na kubenea

Hata Mnyika, Mdee na Msigwa wanapinga ufisadi......sema wanamuogopa Mbowe
 
kosa kuu 2015 - cdm kuitosa agenda ya ufisadi iliyokuwa silaha kali dhidi ya ccm na serikali yake. ccm kuiokota silaha hiyo na kuitwanga cdm kipigo kikali sana. cdm haifai kushika dola. historia itaihukumu cdm kwa kosa hili.
 
KUBENEA ANAMTETEA MKURUGENZI WA HALMASHAURI ALIYESIMAMISHWA KWA UBADHRIFU. ...

Anyway tusubiri watakavyowatetea kina Bade.... Dr. Hosea na wengineo

Wewe unadhani kwanini hawakuwatetea hao uliowataja na badala yake wanamtetea natty? Kupambana na ufisadi hakuondoshi misingi ya haki. Kufikiri tu kila anayetajwa na kutuhumiwa basi wewe unapokea na kumeza kama ilivyo huo ni unguruwe.
 
Nadhani sasa watanzania tunajitoa ufahamu. Hivi mtu akituhumiwa basi na hukumu ilishatoka? Wanasiasa mafisadi walio hukumiwa ni daniel yona na basil mramba. Tuhuma kama tuhuma haziwezi mfanya mtu aka kosa hata haki yake.
nakumbuka wakati wa mjadala wa escrow kule bungeni mh. Sendeka alisema kabisa kuna watu waliwahukumu bila kuiba hata senti moja.
Rais mstaafu JMKikwete aliwahi kuulizwa ni kitu gani ana kijutia akasema ni kitendo cha kimfukuza kazi mtumisui wa serikali baada ya kutuhumiwa. Baada ya uchunguzi wa kina na muda kupita ikabainika alifukuzwa kimakosa.

Kubenea katuonyesha nakala za upande huo basi tusubiri na upande wa serikali nao kama una uhakika wafungue shauri lake mahakamani.
Innocent till proved guilty
 
Na Chama kilichozalisha mafisadi, kuwalea kuwalinda Na kuwapa madaraka makubwa katika nchi yetu CCM kichukiwe milele
 
Back
Top Bottom