THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,479
- 5,374
Tulia wanikute Mapopoma haoHakuna watu wanakera pale Simba kama
Mashabiki wa Phiri na Chama.
Hawa watu ndio mbumbumbu wenyewe sasa.
Na sio mda utawaona hapa.
Lakini kawafunga simba si ndio?Wydad iliyofungwa hadi na Galaxy nyumbani kwao? Au Wydad ipi?
Wydad anbao baada ya kufungwa kwenye African football league, wamecheza michezo minne na kushinda mechi moja tu? Mpira ni mpira wa wazi mpira wa Wydad umeporomoka mno.
Sijui mleta mada alitaka kocha afanyeje.Kwanza uelewe kuwa Onana aliumia ndiyo maana alifanyiwa Sub... na kocha alionekana kumuuliza "What's wrong"...
Chama,baleke,saidoo,bocco, etc,Robertino alisema chama hayupo kwenye mfumo wake na akawa hamtumii Heeeeee mashabiki waliongea balaa. Ikahitimishwa kuwa kama chama hayupo kwenye mfumo wa Robertino basi Robertino abadili mfumo ili aingie kwenye mfumo wa chama!
Ila simba kuna mashabiki maandazi asee
vp zile slogan za kocha aingie kwenye mfumo wa chama ziliishiagaHabari za Jumapili wanajukwaa.
Nianze kwa kusema tu kwamba kiuhalisia Jana Simba wamecheza vizuri sana kabla ya Sub Moja haijafanywa, na swala la simba kufungwa 1 tu na Wydad linadhihirisha kua Soka La Bongo Limekua.
Tusilete porojo eti Wydad wabovu au Al Ahly kutoa Sare na Yanga basi Ahly wabovu hapan soko letu limekua na Team hizi zimewekeza Kweli kweli.
Ila kitu nachotaka kukiongelea hapa ni Role ya Chama pale UNYAMANI,Huyu jamaa huenda Mashabiki wa Simba wataanza kukubaliana na Zoran aliesema Chama hafai na wakampigia kelele,akafata Robetinho akawa anampiga Sub wakapiga Kelele,
Saiv Benchika anafanya hivohivo anampiga Bench inaonyesha Kua kweli Chama sio Material ya simba ila Simba na mashabiki zao MBUMBU ndio wana force wao simba wawe Material ya CHAMA.
Kwa walio angalia Match ya Jana moja Ya Sub iliyoharibu game ya Simba ni ile Kumtoa ONANA na kumuingiza CHAMA.
Ukweli baada ya Chama kuingia simba ikawa na defensive mind zaidi ikawa inapoteza mipira zaid pale mbele Chama sio mzuiaji ila kwa game yake anavyochezaga ni mfumo wakujilinda sana coz mipira mingi ilianza kurudi nyuma sana na Chama akawa hana speed pia akawa hawez ku hold mpira anapokonywa mali inaenda.
Mwisho Kukataliwa na Walimu wa 3 inadhihirisha Chama sio Material yenu ila kwa umbumbu wenu ndio mnalazimisha mukae kwenye mfumo wa Chama.
#DOMINIKA NJEMA
nanaChama,baleke,saidoo,bocco, etc,
Hawastahili kuwepo simba
Yaani mpaka mthemee..!!Habari za Jumapili wanajukwaa.

Wydad iliyofungwa hadi na Galaxy nyumbani kwao? Au Wydad ipi?
Wydad anbao baada ya kufungwa kwenye African football league, wamecheza michezo minne na kushinda mechi moja tu? Mpira ni mpira wa wazi mpira wa Wydad umeporomoka mno.
Mimi nikajua unasema MiqsoneHabari za Jumapili wanajukwaa.