GE2025 Chama hakiwezi kupata viti maalum viwili, ni uongo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,442
Reaction score
2,217
Jamiiforums,

Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili.

Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo.

IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge.

Ukiwatoa wale wa kura za wabunge chini ya asilimia 5. Hii ya angalau asilimia 5 ambayo chama kimepata inapanda kidogo. Kwahiyo idadi ya chini chama cha Chaumma kingeweza kupata ni viti sita.

Viti viwili ni usanii na uongo na kushindwa hata kujua namba. Hakuna uwezekano huo wa viti viwili.
 
Kura za uraisi ndiyo zinazo determine kitu nafasi za viti maalum
 
Kwani kuna sheria TZ
 
Kura za uraisi ndiyo zinazo determine kitu nafasi za viti maalum
Hapana, ni kura za wabunge ambazo chama kimepata.

Kuna conditions mbili. Chama kipate angalau asilimia tano kura za wabunge na asilimia tano kura za uraisi.

Lakini kupata idadi ya viti maalum zinatumika kura za wabunge ambazo chama kimepata.
Kwenye udiwani zinatumika kura za udiwani ambazo chama kimepata kwenye Jimbo.
 
Huu haukua uchaguzi bali ilikuwa ni kulawitiana kwa zamu kwa washiriki wote.
 
Wengine hawataki kabisa bunge na serikali yake
Wengine wanataka viti viongezwe😅😅
 
Wewe umeelewa point yangu? Au hata kusoma haujui?
Hakuna anayetaka viti viongezwe. Tunachosema ni kuwaumbua ccm na INEC kwa uongo wao. Kwa mfumo wa Tanzania Chama hakiwezi kuwa na wabunge wawili wa viti maalum. Namba ya chini kabisa inaweza kuwa viti vitano. Kwahiyo ni sifuri au viti vitano kwenda mbele.

Chama hakiwezi kuwa na kiti kimoja, viwili, vitatu au vinne. Kimahesabu Hilo haliwezekani. Walichotangaza ni uongo tena wa mtu asiye na uwezo.
 
Jamiiforums,

Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili.

Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo.

IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge.

Ukiwatoa wale wa kura za wabunge chini ya asilimia 5. Hii ya angalau asilimia 5 ambayo chama kimepata inapanda kidogo. Kwahiyo idadi ya chini chama cha Chaumma kingeweza kupata ni viti sita.

Viti viwili ni usanii na uongo na kushindwa hata kujua namba. Hakuna uwezekano huo wa viti viwili.
Hii 5% umeitoa wapi? Katiba, sheria au kanuni?
 
Hayo matakwa ya katiba na sheria ya vyama ya mwaja 1992.

Ibara ya 66(i).b ya Katiba inataja utaratibu, idadi na mgawanyo wa wabunge wa viti maalumu baina ya vyama vilivyoshiriki uchaguzi. Sheria ya vyama vya siasa no.4 ya mwaka 1992 inasema chama chenye haki ya kupata viti maalumu ni ambacho kimefikisha angalau 5% ya idadi ya kura zote za wabunge pamoja na 5% ya idadi ya kura za Urais.
 
Siyo sheria ni busara ya mama tu imetumika. Samia ni msikivu
 
  • Kicheko
Reactions: vnn
Hayo matakwa ya katiba na sheria ya vyama ya mwaja 1992.

Ibara ya 66(i).b ya Katiba inataja utaratibu, idadi na mgawanyo wa wabunge wa viti maalumu baina ya vyama vilivyoshiriki uchaguzi. Sheria ya vyama vya siasa no.4 ya mwaka 1992 inasema chama chenye haki ya kupata viti maalumu ni ambacho kimefikisha angalau 5% ya idadi ya kura zote za wabunge pamoja na 5% ya idadi ya kura za Urais.
Ibara ya 66(i) haisemi idadi....

1762586231709.png

Anyways, kuna sheria mpya ya uchaguzi 2024, nimejaribu kuipitia sioni sehemu yoyote inayotaja 5%. Kuna uwezekano waliondoa baada ya sakata la Covid 19.

Sheria ya uchaguzi 2024
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Hapana, ni kura za wabunge ambazo chama kimepata.

Kuna conditions mbili. Chama kipate angalau asilimia tano kura za wabunge na asilimia tano kura za uraisi.

Lakini kupata idadi ya viti maalum zinatumika kura za wabunge ambazo chama kimepata.
Kwenye udiwani zinatumika kura za udiwani ambazo chama kimepata kwenye Jimbo.
ACT Wana wabunge wangapi viti maalum?..viti maalum ni kura za urais
 
Vizazi vijavyo vitatushangaa sana ila historia itatuhukumu kwamba tulikuwa wote mazoba na wajinga hata kama siyo kweli.

Awamu iliyopita walikaa bungeni watu 19 wasio na chama kinyume cha sheria, hilo likapita. Wameshauriwa miaka mingi waruhusu wagombea binafsi wamekataa. Yaani wanajiona wajanja na wababe kisa wana madaraka na dola.
 
Kura za uraisi ndiyo zinazo determine kitu nafasi za viti maalum
Sio kweli Tanzania tunatumia D'Hondt method of proportion. At least 5% ya kura zote za ubunge ndio unakua eligible kwa viti maalum.

CHAUMMA hawajafikisha 5% ya either kura za urais au ubunge. Sasa wametoa wapi viti viwili?
 
Ni Samia tu kaamua kuwapa ili kuonesha Tanzania napo kuna upinzani.
 
Back
Top Bottom