Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,965
Ndugu
wana jf. Mm n mtanzania na sijajiunga na chama chochote,Nataka kujiunga
na chama makini ambacho kwao hawana ufisadi na Rushwa wanaipinga kwa
dhati. Wadau nijiunge na chama gani? By elly. Mategemeo yangu ni kwamba Mtakaza michango yenu kwa kuniambia SERA za hivyo vyama mnavyofikiri ni makini,sio mm tu wapo wengi watashawishika na kujiunga na vyama makini. Sio wote wenye vyama vya siasa.
Jiunge na Chadema tu au CUF. Ukienda CCM hutoitendea nafsi yako haki kwani wao ni adui wa haki.