Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Wewe siyo mtanzania, possibly ni mdogo wake DENTIST-Kinana.
Kwa hiyo kama ni mdogo wa DENTIST hizi ndio kazi zao...
View attachment 95092
Kinana Strikes Again
Wewe siyo mtanzania, possibly ni mdogo wake DENTIST-Kinana.
Swali Lako ni sawa
nakumuliza mwanaume kuwa niko single sijaoa na sina mwananke katika
Maisha yangu, wote niliokutana nao ni malaya hivvyo naomba mnichagulie
mke.
Njoo M23
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
polisccm
chadema
Karibu UPDP MAENDELEO
PPT Maendeleo
Tanzania hii hamna chama makini, vyote ni vyama vya waganga njaa.
Kwa jinsi nilivyoona michango na akili yako UNASTAHILI KUWA GAMBA
Mwisho nitapiga Kura, Okey sera zake zinasemaje kwa kifupi tu?
Ngoja kwanza nduguyangu,
mkombozi bado haja zaliwa. CCM mafisadi na ndio walio tufikisha hapa
tulipo. CDM ni magaidi (kama ujuavyo) hawataki nchi itawalike wapo
tayari kuingia ikulu hata kwakumwaga damu. Nakushauri nduguyangu ngojea
hoja ya mgombea binafsi ipite, humo ndiko aliko mkombozi wetu
Chadema
kama huwezi kuchambua mbivu na mbichi basi hutufai. mia