Chama gani kipo makini? Nataka kujiunga nacho

Chama gani kipo makini? Nataka kujiunga nacho

Fanya fafuatayo;
1. Tafuta ilani ya kila chama, ISOME.
2. Oanisha mwenendo wa chama na ilani yake.
3. Angalia viongozi wa juu wa KILA chama, na uwajibishwaji
wa viongozi wabovu wa kila chama.
4. Kupitia sehemu mahalia (local) yaani jimboni angalia ahadi zilizotolewa na Viongozi wa awamu angalau tatu zilizopita(kwa maana ya kiongozi mkuu wa chama alipokuja jimboni (KAMA ALIKUJA) na mbunge wake, kwamba ni ahadi ngapi zilizotolewa na utekelezwaji wake (angalau kwa asilimia).

5. Angalia Bunge la JMT uwakilishi wa mbunge wako wa sasa na wabunge wa majimbo mengine, ukiangalia
-hoja zinavyojengwa
-maswali yanayoulizwa
-majibu yanayotolewa
-umakini wa wabunge
-nidhamu ya wabunge(ndani ya bunge)

Baada ya hapo nina uhakika kama unania ya DHATI ya kutafuta chama, utakuwa umekipata.

Umemjibu sawa sawa kabisa, ila jibu lake lazima itakuwa aje CHADEMA>
 
Ndugu wana jf. Mm n mtanzania na sijajiunga na chama chochote,Nataka kujiunga na chama makini ambacho kwao hawana ufisadi na Rushwa wanaipinga kwa dhati. Wadau nijiunge na chama gani?

Swali Lako ni sawa nakumuliza mwanaume kuwa niko single sijaoa na sina mwananke katika Maisha yangu, wote niliokutana nao ni malaya hivvyo naomba mnichagulie mke.
 
achana na mambo ya vyama wewe!unataka kugombea madaraka?kama hapana we hakikisha unapiga kura kwa chama makini!!
 
Ndugu wana jf. Mm n mtanzania na sijajiunga na chama chochote,Nataka kujiunga na chama makini ambacho kwao hawana ufisadi na Rushwa wanaipinga kwa dhati. Wadau nijiunge na chama gani?

we ni jembe ingia popote uijenge chama isiwe ccm. Umajiunga kwa maslahi au kuijenga.?
 
Unabalaa kweli kijana wangu, wenzio tunajitoa vyamani wewe unatafuta mlango wakuingilia. Bola uwe mpiga kura huru (usie na chama) maana kupiga kura ni haki yako kikatiba.
 
Policcm huyu katumwa.magamba mkubwa wewe.tokaaa endaa
 
Nivema kujua umri wako, mahaliulipo, mfumowako wa maisha, akili yako, ndipo upewe chama kinacholingana na wewe , sawa!
 
Ndugu wana jf. Mm n mtanzania na sijajiunga na chama chochote,Nataka kujiunga na chama makini ambacho kwao hawana ufisadi na Rushwa wanaipinga kwa dhati. Wadau nijiunge na chama gani?
Nenda udp,bawacha au uwt.
 
jiunge na magamba ule wali kama cc tunavyojisevia iyela,km harusin vile na nilikuwa na njaa sasa npo poa naenda zang kwa makamanda.
 
Bwana cc tuna mengi ya kufanya we unaishi wapi manake dunia yenyewe imeshajua mkombozi wawatz ni pipooooooooooo we nenda kwa magamba wenzio.
 
Back
Top Bottom