Chama Chetu Chajenga Nchi

Chama Chetu Chajenga Nchi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Jionee mwenyewe msafara wa magari ya CCM Mkoani Kigoma image001.jpg
 
Mr Rocky umenikumbusha aisee........angalia ndani nadhani kuna dereva na abiria tu kwa kila gari..............kweli Tanzania itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno
Amavubi kwani hujui hicho chama kinajenga nchi
Walitudanganya tuu wanasafiri na treni wakati magari yalitangulia yakiw ana dereva tuu
 
Fidel hili ni moja ya makundi ambayo sina imani nayo kabisa, mwaka 2010 walikua wanatembea na msafara wa JK kulipwa vizuri na kulazwa posh Hotel, kwa Arusha niliwashuhudia pale Kibo Palace, ilihali makoti yao yameandikwa JK.....................HAPA WANASHADADIA PER DIEM ZA NGUVU.....................
 
Kila gari ukiuza unajenga zahanati na nyumba ya muuguzi
 
MADEREVA WALIKULA VICHWA PALE KIZOTA DODOMA KAMA KAWA.
mi nilifikiri wanajinadi kupunguza gharama kumbe walizidisha mara 3 kwani kwa kupanda treni walijilipa nighty 4 kabla ya kufika kigoma.
 
BzB3++jUpNFXAAAAAElFTkSuQmCC
wHhiA6g349cRgAAAABJRU5ErkJggg==
Kila gari ukiuza unajenga zahanati na nyumba ya muuguzi[/QUOTE]ONA SASA
 
staili ya kushikana ya Kameruni
 
Teh! teh! naona raia kambambia mwenzake...

IMG_3368.jpg
 
Amavubi kwani hujui hicho chama kinajenga nchi
Walitudanganya tuu wanasafiri na treni wakati magari yalitangulia yakiw ana dereva tuu

Hawakutudanganya! Si walienda kwa train? Sasa ukitegemea hizo safari nyengine mwisho wa treni wangekwenda vipi? Na hayo magari si kawaida kuwa na madereva? sasa tulichodanganywa hapo nini?
 
Mr Rocky umenikumbusha aisee........angalia ndani nadhani kuna dereva na abiria tu kwa kila gari..............kweli Tanzania itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno

Jamani hayo si yao wenyewe? Au ni ya serikali, iwapo ni ya serikali hawakuwa sahihi.
 
Hawakutudanganya! Si walienda kwa train? Sasa ukitegemea hizo safari nyengine mwisho wa treni wangekwenda vipi? Na hayo magari si kawaida kuwa na madereva? sasa tulichodanganywa hapo nini?

Yeah tulidanganywa wanatumia usafiri wa umma na ndo maana walipanda train na wakifika Kigoma wangetumia usafiri huo huo wa umma kwa kupanda magari ya kawaida kutoka pale pale Kigoma kwani Kigoma hakuna magari
Yes kila gari lina dereva na lilitoka dar likiwa na dereva peke yake mpaka Kigoma kwenda kumsubiri Boss anayekuja na train
Kwani wangetumia magari yao kutoka dar mpaka kigoma kulikuw ana shida gani
Maana gari linatoka dar kwa gharama za mafuta kwenda kumsubiri boss Kigoma aliyejifanya anapunguza gharama kumbe hakuna kitu
 
Unajuwa mwenzangu frustrations zetu zisitupofuwe. Kwani waliosafiri kwa treni walikuwa viongozi wa Serikali au viongozi wa CCM? Ukikusudia hao mabig boss wao hawakusafiri kwa treni bali kwa ndege na ndio maana hizo gari zimewafuata uwanja wa ndege!
Kama tuna la kulalamika basi tulalamike kwa haki ili tuonekane kuwa kweli tunajali na sio tunachukia.
 
Hapo hakuna kupunguza gharama mkuu sana sana ni gharama mara mbili
mkuu wa mkoa ana gari kama hilo na wakuu wa wilaya karibu wote wana VX au V8 zao na wakuu wa polisi wanatumia the same type ya magari kama hayo ambayo yangeweza kuwachukua watu kama hao ila kwa kutupofusha kuwa wanapunguza gharama kupakia train wakati magari yao yako kwenye barabara yanaunguza mafuta kwenda kuwafuata ni kiinimacho

Ni viongozi wa chama hatukatai ila wanahubiri kile ambacho hawawezi kutekeleza na wanawaambia wananchi kile ambacho hawafanyi
Gharama za hao wanaoenda kuwahutubia za maisha yao ziko juu kiasi kwamba wanashindwa kuhimili mlo mmoja kwa siku na then kiongozi ambaye unawahutubia kuwa maisha mema yanakuja huku umeenda na V8 uwanjani ni uwongo mtupu
 
Back
Top Bottom