Chama Chetu Chajenga Nchi

Chama Chetu Chajenga Nchi

MADEREVA WALIKULA VICHWA PALE KIZOTA DODOMA KAMA KAWA.
mi nilifikiri wanajinadi kupunguza gharama kumbe walizidisha mara 3 kwani kwa kupanda treni walijilipa nighty 4 kabla ya kufika kigoma.

I ghope night allowances zilitoka kwenye mfuko wa cham na si serikalini...
 
nyerere.jpg

Enzi zetu ilikuwa simple tu kwenye chama chetu asili
 
Hapo hakuna kupunguza gharama mkuu sana sana ni gharama mara mbili
mkuu wa mkoa ana gari kama hilo na wakuu wa wilaya karibu wote wana VX au V8 zao na wakuu wa polisi wanatumia the same type ya magari kama hayo ambayo yangeweza kuwachukua watu kama hao ila kwa kutupofusha kuwa wanapunguza gharama kupakia train wakati magari yao yako kwenye barabara yanaunguza mafuta kwenda kuwafuata ni kiinimacho

Ni viongozi wa chama hatukatai ila wanahubiri kile ambacho hawawezi kutekeleza na wanawaambia wananchi kile ambacho hawafanyi
Gharama za hao wanaoenda kuwahutubia za maisha yao ziko juu kiasi kwamba wanashindwa kuhimili mlo mmoja kwa siku na then kiongozi ambaye unawahutubia kuwa maisha mema yanakuja huku umeenda na V8 uwanjani ni uwongo mtupu
Hilo suala la gharama usijidanganye! Kila mwanasiasa anajidai kuwa kuna haki amepewa na hata huko upinzani tumeshawashuhudia wenyewe kwa wenyewe wakigombania hizo zinazoitwa haki zao!
Hao viongozi hawatoki hewani ni sisi wenyewe tunaowachaguwa na kigezo kimoja tunachojali ni uwezo wa mgombea . Ulishawahi kumuona mjasiria mali akawa mbunge? Sasa iwapo tunawachagua kwa muonekano wao,kipesa, kielimu, kipersonality na ujuzi wa kuchezea maneno ulitegemea kweli wapande chai harage wanapokuja kwetu?
 
Back
Top Bottom