Kuanzia JumanneChama cha wamiliki wa mabasi kimetangaza mgomo kuanzia jumatatu kupinga sheria kandamizi ya usafirishaji inayoyotarajiwa kupitishwa bungeni hivi karibuni.
source: itv habari.
Inafanana na ile ya kwamba Binti akipata mimba mzazi anaenda jela hahaaaDuh, kosa la dereva mmiliki wa gari anahusishwa je? Yaani dereva akafanye uhuni wake huko then mmiliki akafungwe?
Tanzania sijui tunaenda wapi?
Sema ndio wabunge wenu wa ccm sampuli za kina lusinde, ndipo walipofikia.Ndiko wanasheria wetu walikofika
Endeleeni mtakuja ona matokeo yake.iparamasa, OKW BOBAN SUNZU, Mwanahabari Huru, Salary Slip & Co., watapenda sana hii habari! Waje wadandie kama kawaida yao.
Kutoka kigoma mpaka Dar au kusafirisha kutoka wapi kwenda wapi?magari ya jeshi yapo..yatasafirisha abiria
Ngiri wa lumumba.Kosa afanye Dereva jela aende mmiliki wa Gari,kweli huu ni ubashite uliovuka ukihiyo.
Ingekuwa vema sana kabla ya kuanza kurusha lawama tusome hiyo sheria inasemaje kisha ndio maoni yaje. Ngoja niisakeOk, basi hapo Rais atalazimika kuwajibika kwa makosa ya dereva wa ikulu
Kama mzazi atafungwa mtoto akibeba mimba akiwa shule.Duh, kosa la dereva mmiliki wa gari anahusishwa je? Yaani dereva akafanye uhuni wake huko then mmiliki akafungwe?
Tanzania sijui tunaenda wapi?