Chama cha Wamiliki wa Mabasi chatangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
3,995
2,000
Chama cha Wamiliki wa Mabasi(TABOA) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Malori na Chama cha Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo nchi nzima kuanzia siku ya jumatatu ili kushinikiza serikali kutopitisha sheria ya usafirishaji inayotarajiwa kusomwa mara ya tatu na kupitishwa siku ya Jumanne wiki ijayo.

Akitoa maazimio hayo yaliyofikiwa katika mkutao mkuu maalumu wa chama cha wamiliki wa Mabasi, Malori, Daladala na Baji, katibu mkuu wa TABOA Bwana. Eneo Mrutu amesema sheria inaloyolenga kupitishwa haikuwashirikisha wadau na haitenganishi makosa ya dereva na mmiliki, hali inayosababisha kosa lililofanywa na dereva linasababisha mmiliki kufungwa jela.

Aidha amewaomba wabunge bila kujali itikadi za vyama vyao kutopisha sheria hiyo mpaka ifanyiwe marekebisho kwa kuwa inalenga kuharibu sekta ya usafirishaji nchini.

Chanzo: ITV
Sheria nyingine bwana ni za kipuuzi kabisa
 
Augustoons

JF-Expert Member
Oct 31, 2007
411
195
mkuu, mfano niko dodoma baada ya wizara kuhamia kule nimeliacha daladala ninapiga safari za gongo lamboto chanika, dereva hajavaa sare unakuja kunisomba ofisini na kunisweka lupango, hii itakuwa sawa? Na mfuso wa mchanga gari limepata shoti taa haziwaki dereva kaamua kwenda nalo hivyo hivyo napo uje unikamate, sawa? kuna hizi tairi za michelini hazina kashata trafik anakwambia ni kipara nazo nikamatwe? au sijakuelewa?
Nadhani kikubwa SUMATRA wanachotaka ni kwamba wakikupa leseni ya usafirishaji basi wewe kama miliki utii yale masharti. Yaani wewe ndio umsimamie dereva wako, sio wewe uache gari haina usimamizi uwe busy na kupokea hela tu ila kinachotokea barabarani usijali
 
Augustoons

JF-Expert Member
Oct 31, 2007
411
195
*KINACHOSABABISHA MGOMO WA WAMILIKI WA MABASI NCHINI NI MAJUKUMU MAPYA KWA WASAFIRISHAJI AMBAYO WAMILIKI WANAYALALAMIKIA CHINI YA KANUNI MPYA ZA SUMATRA*.

*Majukumu haya yanapatikana katika rasimu ya Kanuni mpya za Usafirishaji Abiria* (THE TRANSPORT LICENSING (PUBLIC SERVICE VEHICLES) REGULATIONS, 2017)

Kifungu cha 21: *WAJIBU WA MMMILIKI/MWENYE LESENI/MTOA HUDUMA*

Mtoa huduma anatakiwa kuhakikisha yafuatayo kwenye gari na watumishi wake:

(a) Gari lake ni zima na linafaa kwa huduma;

(b) Dereva wa gari lake linalofanya kazi kama daladala au gari binafsi la kukodishwa asiwe chini ya miaka 25 na Zaidi ya miaka 60;

(c) Dereva wa gari linalotumika kama basi la shule au kusafirisha watu mkoa kwa mkoa hayupo chini ya miaka 30 na zaidi ya miaka 60;

(d) Dereva wake awe na leseni halali yenye madara;

(e) Dereva wake wa basi la mkoa kwa mkoa haendeshi gari kwa zaidi ya masaa nane mfululizo na haanzi kazi tena hadi awe amepumzika wala masaa sita;

(f) Kwa basi la mkoa kwa mkoa mtoa huduma ahakikishe, kuna dereva wa pili anayeweza kupokea usukani baada ya yule wa kwanza kuendesha masaa nane;

(g) Gari lake linalotoa huduma mkoa kwa mkoa liwe na mfumo wa ufuatiliaji mwendo (VTS) au kifaa kingine chochote cha kudhibiti mwendo;

(h) Gari lake la mkoa kwa mkoa liwe linafuata ratiba na kuwa na logbook;

(i) Basi lake linalotoa huduma kati ya mji na mji au nchi nan chi lisimame kwenye vituo vya basin a kwenye vituo vya mikoa;

(j) Anaandaa orodha ya abiria kwa kila safari nakala mbili, nakala moja inabaki ofisini nyingine iwepo kwenye basi;

(k) Wafanyakazi wake wote wanavaa sare safi na nzuri;

(l) Kwa basi linalotoa huduma kwenye mji na mji na nchi na nchi, wafanyakazi wake wawe na vitambulisho wakati wote vinavyoonekana wazi;

(m) Gari lake liwe na mikanda safi na inayofanya kazi;

(n) Kwenye gari kuwa na kisanduku cha huduma ya kwanza chenye dawa muhimu;

(o) Kwenye gari kuwe na dustbin na uchafu wote uwe unaondolewa kwenye gari;

(p) Anauza tiketi zake kielektroniki au kwa mfumo wa kawaida kama itakavyoelekezwa na mamlaka;

(q) Kwa upande wa daladala, mmiliki ahakikishe gari lake limepakwa rangi ya ruti na limeandikwa nauli upande wa kulia mwa gari;

(r) Kwa basi la shule kuwe na rangi ya njano na maandishi BASI LA SHULE;

(s) Basi lake halibebi abiria zaidi ya uwezo;

(t) Abiria wote wafunge mikanda wakati wote wa safari;

(u) Basi lake lisimame maeneo yaliyoidhinishwa na yenye huduma za choo;

(v) Logbook na ratiba vinatunzwa vizuri;

(w) Gari lake linatembea kwenye ruti iliyoandikwa kwenye leseni;

(x) Basi lake halikatishi ruti kabla ya kufika mwisho wa safari;

(y) Dereva na wafanyakazi wake wanatii na kufuata masharti haya ya leseni ya usafirishaji;

(z) Abiria waelezwe taratibu za kiusalama kabla ya safari kuanza;

(aa) Abiria anapewa tiketi halali;

(bb) Tiketi zisiuzwe mahali pengine popote isipokuwa ofisini, kwenye ofisi ya wakala au ndani ya bus au kwa kutumia mfumo w akielektroniki;

(cc) VTS, Tachograph na mifumo mingine yote haiharibiwi;

(dd) Abiria hawanyanyaswi;

(ee) Kutii masharti mengine kama yatakavyowekwa na mamlaka.

Kutotekeleza majukumu hayo hapo juu ni kosa kwa mujibu wa kanuni za SUMATRA, na kila kosa hapo juu linajitegemea na lina adhabu yake.

*KUFUNGIWA AU KUSIMAMISHWA KWA LESENI YA USAFIRISHAJI*

Kwa mujbu wa kanuni ya 22 ya rasimu ya kanuni mpya, leseni ya usafirishaji inaweza kusimamishwa na SUMATRA endapo mmiliki atatenda makosa yafuatayo:

(a) atarudia kosa hilo hilo kwa Zaidi ya mara mbili;

(b) atakataa amri halali kutoka kwa afisa wa SUMATRA

(c) atamzuia polisi au afisa wa SUMATRA kufanya ukaguzi kwenye gari

(d) atasababisha ajali itakayopelekea kifo au majeruhi;

(e) sababu nyingine mamlaka itakayoona inafaa.

*MAKOSA MENGINE KWA MMILIKI KWA MUJIBU WA RASIMU YA KANUNI MPYA*

1. Kushindwa kutoa tiketi kwa abiria (Kanuni 26)

2. Kutoza nauli kubwa kuliko ile iliyoidhinishwa na SUMATRA (kif.25)

3. Kushindwa kutoa usafiri mbadala kwa abiria kulingana na masharti yaliyomo kwenye tiketi na kushindwa kusafirisha abiria ndani ya nusu saa bdaa ya muda wa kuanza safari uliondikwa kwenye tiketi.

4. Kushindwa kurejesha nauli baada ya kushindwa kuwasafirisha abiria.

5. Kumtoza mwanafunzi nauli Zaidi ya nusu ya bei ya nauli ya mtu mzima

6. Kumtoza abiria nauli ya mzigo usiozidi kilo 20

7. Kutoweka alama yenye jina la abiria kwenye mzigo wa abiria

8. Kuwanyanyasa abiria ikiwemo wanafunzi.

9. Kutotunza mzigo wa abiria na kusababisha upotevu wake na kukataa kumlipa

10. Gari kutokuwa na ratiba na logbook au kukataa kuionesha ilipotakiwa kuoneshwa

11. Kukatisha ruti au kupita kwenye ruti isiyo ya gari hilo.

12. Kufanya bishara ya usafirshaji abiria bila kuwa na leseni ya usafirishaji ya SUMATRA

*ADHABU*

Makosa yote haya adhabu yake ni faini isiyopungua kiasi cha shilingi laki mbili (200,000) na isiyozidi laki tano (500,000) au kifungo cha muda usiopungua mwaka mmoja na usiozidi miaka miwili au vyote kwa pamoja.

Hata hivyo kanuni zinaruhusu kuwa pale ambapo mmiliki atakapokutwa na kosa na kukiri kosa hilo, kulipa nusu ya faini kwa kosa husika bila kupelekwa mahakamani. Hivyo basi, kama faini kwa kosa ni shilingi laki mbili, mmiliki akikubali kosa kabla ya kupelekwa mahakamani ataandikiwa shilingi 100,000 (compounding), kama asipokubali na akakutwa na hatia mahakamani basi atalipa faini kamili au kwenda jela.

*ZINGATIA*

1. Mengi ya makossa yaliyotajwa hapo juu hasa katika kifungu cha 21 kabla ya kanuni hizi mpya kuandaliwa faini zake alikuwa analipa dereva. Kwa sasa SUMATRA ainataka kuondokana na utaratibu wa kukabiliana na dereva ambaye si mpewa leseni (Licensee) na badala yake ikabiliane na mmiliki ambaye ndiye mpewa leseni(Yaani aliyeenda kuomba leseni SUMATRA). Kwa hiyo mmiliki sasa ndiye atakuwa na wajibu wa kuhakikisha masharti ya leseni yanafuatwa.

2. Jedwali la nne la kanuni hizo mpya zimetenga makossa katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni makosa yanayohusu mabasi ya mji kwa mji, maarufu kama mabasi ya mikoani. Hawa adhabu zao zinaanzia kati ya shilingi 100,000 hadi 250,000. Vivyo hivyo kwa upande wa kundi la pili la makossa yanayohusu mabasi ya mijini maarufu kama daladala, adhabu kwa makossa yao ni kati ya shilingi 100-250,000 kutegemeana na kosa.

3. Hizi ni kanuni tu, yaani sheria ndogo ndogo zinazotungwa chini ya sheria mama ya utoaji leseni kwa kiingereza TRANSPORT LICENSING ACT,Cap. 317. Kiuratatibu kanuni hizi huwa hazipelekwi bungeni kwa njia ya muswada(bill), bali kanuni hizi hupelekwa kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo ambako zikishapitiwa na kujiridhisha zinapelekwa kwa Waziri wa Uchukuzi, ambaye akisha saini zinakuwa sheria, na kuanza kutumika rasmi.

4. Makosa ya dereva chini ya sheria ya Usalama Babarabarani yaani ROAD TRAFFIC ACT cap.168, kama vile kuovateki vibaya, kutofunga mkanda, kuovaspidi,kugonga na kuua au kujeruhi, nk yanabaki kama yalivyo na hayawi makossa ya mmmiliki.

Natumai hadi hapa utakuwa umepata kufahamu kuhusu baadhi ya mambo yanayoletwa na kanuni hizi mpya na ambayo yanalalamikiwa na wamiliki wa mabasi kiasi cha kutaka kufanya mgomo. Hivyo utaweza kushiriki mjadala wake kiurahisi. KARIBUNI TUENDELEE NA MJADALA.

RSA TANZANIA-USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE.
 
  • Thanks
Reactions: y-n

Augustoons

JF-Expert Member
Oct 31, 2007
411
195
Kwa hili la TABOA naona kama wamejitia kidole wao wenyewe, anaefahamu hili atakuwa shahidi kwa wengine

Mbona hawa wamiliki wa malori, ikitokea dereva yupo safarini busta ikapasuka dereva anatakiwa kulipa! Akipasua tair analipa, akivunja kioo analipa, msiba mzito upo kwa wenye tanker. Dereva akipata shoti tu ya lita kadhaa za mafuta analipishwa, madereva hawa hawa siku zote wengi wao ni vibarua tu, ni kampuni chache mno zimewaajiri.

Wamiliki hawa wao hawataki hasara wala kuwajibika kwa namna yoyote ile wakat unakuta asilimia 90 ya matatizo ya gari yanasababishwa na matajiri hawa
Ni kweli kwa kiasi kikubwa hawataki wao kuwajibika wanataka dereva awajibike zaidi
 
Augustoons

JF-Expert Member
Oct 31, 2007
411
195
Chama cha Wamiliki wa Mabasi(TABOA) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Malori na Chama cha Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo nchi nzima kuanzia siku ya jumatatu ili kushinikiza serikali kutopitisha sheria ya usafirishaji inayotarajiwa kusomwa mara ya tatu na kupitishwa siku ya Jumanne wiki ijayo.

Akitoa maazimio hayo yaliyofikiwa katika mkutao mkuu maalumu wa chama cha wamiliki wa Mabasi, Malori, Daladala na Baji, katibu mkuu wa TABOA Bwana. Eneo Mrutu amesema sheria inaloyolenga kupitishwa haikuwashirikisha wadau na haitenganishi makosa ya dereva na mmiliki, hali inayosababisha kosa lililofanywa na dereva linasababisha mmiliki kufungwa jela.

Aidha amewaomba wabunge bila kujali itikadi za vyama vyao kutopisha sheria hiyo mpaka ifanyiwe marekebisho kwa kuwa inalenga kuharibu sekta ya usafirishaji nchini.

Chanzo: ITV
*KINACHOSABABISHA MGOMO WA WAMILIKI WA MABASI NCHINI NI MAJUKUMU MAPYA KWA WASAFIRISHAJI AMBAYO WAMILIKI WANAYALALAMIKIA CHINI YA KANUNI MPYA ZA SUMATRA*.

*Majukumu haya yanapatikana katika rasimu ya Kanuni mpya za Usafirishaji Abiria* (THE TRANSPORT LICENSING (PUBLIC SERVICE VEHICLES) REGULATIONS, 2017)

Kifungu cha 21: *WAJIBU WA MMMILIKI/MWENYE LESENI/MTOA HUDUMA*

Mtoa huduma anatakiwa kuhakikisha yafuatayo kwenye gari na watumishi wake:

(a) Gari lake ni zima na linafaa kwa huduma;

(b) Dereva wa gari lake linalofanya kazi kama daladala au gari binafsi la kukodishwa asiwe chini ya miaka 25 na Zaidi ya miaka 60;

(c) Dereva wa gari linalotumika kama basi la shule au kusafirisha watu mkoa kwa mkoa hayupo chini ya miaka 30 na zaidi ya miaka 60;

(d) Dereva wake awe na leseni halali yenye madara;

(e) Dereva wake wa basi la mkoa kwa mkoa haendeshi gari kwa zaidi ya masaa nane mfululizo na haanzi kazi tena hadi awe amepumzika wala masaa sita;

(f) Kwa basi la mkoa kwa mkoa mtoa huduma ahakikishe, kuna dereva wa pili anayeweza kupokea usukani baada ya yule wa kwanza kuendesha masaa nane;

(g) Gari lake linalotoa huduma mkoa kwa mkoa liwe na mfumo wa ufuatiliaji mwendo (VTS) au kifaa kingine chochote cha kudhibiti mwendo;

(h) Gari lake la mkoa kwa mkoa liwe linafuata ratiba na kuwa na logbook;

(i) Basi lake linalotoa huduma kati ya mji na mji au nchi nan chi lisimame kwenye vituo vya basin a kwenye vituo vya mikoa;

(j) Anaandaa orodha ya abiria kwa kila safari nakala mbili, nakala moja inabaki ofisini nyingine iwepo kwenye basi;

(k) Wafanyakazi wake wote wanavaa sare safi na nzuri;

(l) Kwa basi linalotoa huduma kwenye mji na mji na nchi na nchi, wafanyakazi wake wawe na vitambulisho wakati wote vinavyoonekana wazi;

(m) Gari lake liwe na mikanda safi na inayofanya kazi;

(n) Kwenye gari kuwa na kisanduku cha huduma ya kwanza chenye dawa muhimu;

(o) Kwenye gari kuwe na dustbin na uchafu wote uwe unaondolewa kwenye gari;

(p) Anauza tiketi zake kielektroniki au kwa mfumo wa kawaida kama itakavyoelekezwa na mamlaka;

(q) Kwa upande wa daladala, mmiliki ahakikishe gari lake limepakwa rangi ya ruti na limeandikwa nauli upande wa kulia mwa gari;

(r) Kwa basi la shule kuwe na rangi ya njano na maandishi BASI LA SHULE;

(s) Basi lake halibebi abiria zaidi ya uwezo;

(t) Abiria wote wafunge mikanda wakati wote wa safari;

(u) Basi lake lisimame maeneo yaliyoidhinishwa na yenye huduma za choo;

(v) Logbook na ratiba vinatunzwa vizuri;

(w) Gari lake linatembea kwenye ruti iliyoandikwa kwenye leseni;

(x) Basi lake halikatishi ruti kabla ya kufika mwisho wa safari;

(y) Dereva na wafanyakazi wake wanatii na kufuata masharti haya ya leseni ya usafirishaji;

(z) Abiria waelezwe taratibu za kiusalama kabla ya safari kuanza;

(aa) Abiria anapewa tiketi halali;

(bb) Tiketi zisiuzwe mahali pengine popote isipokuwa ofisini, kwenye ofisi ya wakala au ndani ya bus au kwa kutumia mfumo w akielektroniki;

(cc) VTS, Tachograph na mifumo mingine yote haiharibiwi;

(dd) Abiria hawanyanyaswi;

(ee) Kutii masharti mengine kama yatakavyowekwa na mamlaka.

Kutotekeleza majukumu hayo hapo juu ni kosa kwa mujibu wa kanuni za SUMATRA, na kila kosa hapo juu linajitegemea na lina adhabu yake.

*KUFUNGIWA AU KUSIMAMISHWA KWA LESENI YA USAFIRISHAJI*

Kwa mujbu wa kanuni ya 22 ya rasimu ya kanuni mpya, leseni ya usafirishaji inaweza kusimamishwa na SUMATRA endapo mmiliki atatenda makosa yafuatayo:

(a) atarudia kosa hilo hilo kwa Zaidi ya mara mbili;

(b) atakataa amri halali kutoka kwa afisa wa SUMATRA

(c) atamzuia polisi au afisa wa SUMATRA kufanya ukaguzi kwenye gari

(d) atasababisha ajali itakayopelekea kifo au majeruhi;

(e) sababu nyingine mamlaka itakayoona inafaa.

*MAKOSA MENGINE KWA MMILIKI KWA MUJIBU WA RASIMU YA KANUNI MPYA*

1. Kushindwa kutoa tiketi kwa abiria (Kanuni 26)

2. Kutoza nauli kubwa kuliko ile iliyoidhinishwa na SUMATRA (kif.25)

3. Kushindwa kutoa usafiri mbadala kwa abiria kulingana na masharti yaliyomo kwenye tiketi na kushindwa kusafirisha abiria ndani ya nusu saa bdaa ya muda wa kuanza safari uliondikwa kwenye tiketi.

4. Kushindwa kurejesha nauli baada ya kushindwa kuwasafirisha abiria.

5. Kumtoza mwanafunzi nauli Zaidi ya nusu ya bei ya nauli ya mtu mzima

6. Kumtoza abiria nauli ya mzigo usiozidi kilo 20

7. Kutoweka alama yenye jina la abiria kwenye mzigo wa abiria

8. Kuwanyanyasa abiria ikiwemo wanafunzi.

9. Kutotunza mzigo wa abiria na kusababisha upotevu wake na kukataa kumlipa

10. Gari kutokuwa na ratiba na logbook au kukataa kuionesha ilipotakiwa kuoneshwa

11. Kukatisha ruti au kupita kwenye ruti isiyo ya gari hilo.

12. Kufanya bishara ya usafirshaji abiria bila kuwa na leseni ya usafirishaji ya SUMATRA

*ADHABU*

Makosa yote haya adhabu yake ni faini isiyopungua kiasi cha shilingi laki mbili (200,000) na isiyozidi laki tano (500,000) au kifungo cha muda usiopungua mwaka mmoja na usiozidi miaka miwili au vyote kwa pamoja.

Hata hivyo kanuni zinaruhusu kuwa pale ambapo mmiliki atakapokutwa na kosa na kukiri kosa hilo, kulipa nusu ya faini kwa kosa husika bila kupelekwa mahakamani. Hivyo basi, kama faini kwa kosa ni shilingi laki mbili, mmiliki akikubali kosa kabla ya kupelekwa mahakamani ataandikiwa shilingi 100,000 (compounding), kama asipokubali na akakutwa na hatia mahakamani basi atalipa faini kamili au kwenda jela.

*ZINGATIA*

1. Mengi ya makossa yaliyotajwa hapo juu hasa katika kifungu cha 21 kabla ya kanuni hizi mpya kuandaliwa faini zake alikuwa analipa dereva. Kwa sasa SUMATRA ainataka kuondokana na utaratibu wa kukabiliana na dereva ambaye si mpewa leseni (Licensee) na badala yake ikabiliane na mmiliki ambaye ndiye mpewa leseni(Yaani aliyeenda kuomba leseni SUMATRA). Kwa hiyo mmiliki sasa ndiye atakuwa na wajibu wa kuhakikisha masharti ya leseni yanafuatwa.

2. Jedwali la nne la kanuni hizo mpya zimetenga makossa katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni makosa yanayohusu mabasi ya mji kwa mji, maarufu kama mabasi ya mikoani. Hawa adhabu zao zinaanzia kati ya shilingi 100,000 hadi 250,000. Vivyo hivyo kwa upande wa kundi la pili la makossa yanayohusu mabasi ya mijini maarufu kama daladala, adhabu kwa makossa yao ni kati ya shilingi 100-250,000 kutegemeana na kosa.

3. Hizi ni kanuni tu, yaani sheria ndogo ndogo zinazotungwa chini ya sheria mama ya utoaji leseni kwa kiingereza TRANSPORT LICENSING ACT,Cap. 317. Kiuratatibu kanuni hizi huwa hazipelekwi bungeni kwa njia ya muswada(bill), bali kanuni hizi hupelekwa kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo ambako zikishapitiwa na kujiridhisha zinapelekwa kwa Waziri wa Uchukuzi, ambaye akisha saini zinakuwa sheria, na kuanza kutumika rasmi.

4. Makosa ya dereva chini ya sheria ya Usalama Babarabarani yaani ROAD TRAFFIC ACT cap.168, kama vile kuovateki vibaya, kutofunga mkanda, kuovaspidi,kugonga na kuua au kujeruhi, nk yanabaki kama yalivyo na hayawi makossa ya mmmiliki.

Natumai hadi hapa utakuwa umepata kufahamu kuhusu baadhi ya mambo yanayoletwa na kanuni hizi mpya na ambayo yanalalamikiwa na wamiliki wa mabasi kiasi cha kutaka kufanya mgomo. Hivyo utaweza kushiriki mjadala wake kiurahisi. KARIBUNI TUENDELEE NA MJADALA.

RSA TANZANIA-USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE.
 
9inone

JF-Expert Member
Jan 23, 2017
765
500

Poleni sana bandugu miaka hii kama ni mitano au kumi mtaisoma namba kwelikweli.
 
J U G A N I A

JF-Expert Member
May 30, 2015
651
250
Chama cha Wamiliki wa Mabasi(TABOA) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Malori na Chama cha Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo nchi nzima kuanzia siku ya jumatatu ili kushinikiza serikali kutopitisha sheria ya usafirishaji inayotarajiwa kusomwa mara ya tatu na kupitishwa siku ya Jumanne wiki ijayo.

Akitoa maazimio hayo yaliyofikiwa katika mkutao mkuu maalumu wa chama cha wamiliki wa Mabasi, Malori, Daladala na Baji, katibu mkuu wa TABOA Bwana. Eneo Mrutu amesema sheria inaloyolenga kupitishwa haikuwashirikisha wadau na haitenganishi makosa ya dereva na mmiliki, hali inayosababisha kosa lililofanywa na dereva linasababisha mmiliki kufungwa jela.

Aidha amewaomba wabunge bila kujali itikadi za vyama vyao kutopisha sheria hiyo mpaka ifanyiwe marekebisho kwa kuwa inalenga kuharibu sekta ya usafirishaji nchini.

Chanzo: ITV

hawana lolote hao ...mbwembwe tu
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,725
2,000
*KINACHOSABABISHA MGOMO WA WAMILIKI WA MABASI NCHINI NI MAJUKUMU MAPYA KWA WASAFIRISHAJI AMBAYO WAMILIKI WANAYALALAMIKIA CHINI YA KANUNI MPYA ZA SUMATRA*.

*Majukumu haya yanapatikana katika rasimu ya Kanuni mpya za Usafirishaji Abiria* (THE TRANSPORT LICENSING (PUBLIC SERVICE VEHICLES) REGULATIONS, 2017)

Kifungu cha 21: *WAJIBU WA MMMILIKI/MWENYE LESENI/MTOA HUDUMA*

Mtoa huduma anatakiwa kuhakikisha yafuatayo kwenye gari na watumishi wake:

(a) Gari lake ni zima na linafaa kwa huduma;

(b) Dereva wa gari lake linalofanya kazi kama daladala au gari binafsi la kukodishwa asiwe chini ya miaka 25 na Zaidi ya miaka 60;

(c) Dereva wa gari linalotumika kama basi la shule au kusafirisha watu mkoa kwa mkoa hayupo chini ya miaka 30 na zaidi ya miaka 60;

(d) Dereva wake awe na leseni halali yenye madara;

(e) Dereva wake wa basi la mkoa kwa mkoa haendeshi gari kwa zaidi ya masaa nane mfululizo na haanzi kazi tena hadi awe amepumzika wala masaa sita;

(f) Kwa basi la mkoa kwa mkoa mtoa huduma ahakikishe, kuna dereva wa pili anayeweza kupokea usukani baada ya yule wa kwanza kuendesha masaa nane;

(g) Gari lake linalotoa huduma mkoa kwa mkoa liwe na mfumo wa ufuatiliaji mwendo (VTS) au kifaa kingine chochote cha kudhibiti mwendo;

(h) Gari lake la mkoa kwa mkoa liwe linafuata ratiba na kuwa na logbook;

(i) Basi lake linalotoa huduma kati ya mji na mji au nchi nan chi lisimame kwenye vituo vya basin a kwenye vituo vya mikoa;

(j) Anaandaa orodha ya abiria kwa kila safari nakala mbili, nakala moja inabaki ofisini nyingine iwepo kwenye basi;

(k) Wafanyakazi wake wote wanavaa sare safi na nzuri;

(l) Kwa basi linalotoa huduma kwenye mji na mji na nchi na nchi, wafanyakazi wake wawe na vitambulisho wakati wote vinavyoonekana wazi;

(m) Gari lake liwe na mikanda safi na inayofanya kazi;

(n) Kwenye gari kuwa na kisanduku cha huduma ya kwanza chenye dawa muhimu;

(o) Kwenye gari kuwe na dustbin na uchafu wote uwe unaondolewa kwenye gari;

(p) Anauza tiketi zake kielektroniki au kwa mfumo wa kawaida kama itakavyoelekezwa na mamlaka;

(q) Kwa upande wa daladala, mmiliki ahakikishe gari lake limepakwa rangi ya ruti na limeandikwa nauli upande wa kulia mwa gari;

(r) Kwa basi la shule kuwe na rangi ya njano na maandishi BASI LA SHULE;

(s) Basi lake halibebi abiria zaidi ya uwezo;

(t) Abiria wote wafunge mikanda wakati wote wa safari;

(u) Basi lake lisimame maeneo yaliyoidhinishwa na yenye huduma za choo;

(v) Logbook na ratiba vinatunzwa vizuri;

(w) Gari lake linatembea kwenye ruti iliyoandikwa kwenye leseni;

(x) Basi lake halikatishi ruti kabla ya kufika mwisho wa safari;

(y) Dereva na wafanyakazi wake wanatii na kufuata masharti haya ya leseni ya usafirishaji;

(z) Abiria waelezwe taratibu za kiusalama kabla ya safari kuanza;

(aa) Abiria anapewa tiketi halali;

(bb) Tiketi zisiuzwe mahali pengine popote isipokuwa ofisini, kwenye ofisi ya wakala au ndani ya bus au kwa kutumia mfumo w akielektroniki;

(cc) VTS, Tachograph na mifumo mingine yote haiharibiwi;

(dd) Abiria hawanyanyaswi;

(ee) Kutii masharti mengine kama yatakavyowekwa na mamlaka.

Kutotekeleza majukumu hayo hapo juu ni kosa kwa mujibu wa kanuni za SUMATRA, na kila kosa hapo juu linajitegemea na lina adhabu yake.

*KUFUNGIWA AU KUSIMAMISHWA KWA LESENI YA USAFIRISHAJI*

Kwa mujbu wa kanuni ya 22 ya rasimu ya kanuni mpya, leseni ya usafirishaji inaweza kusimamishwa na SUMATRA endapo mmiliki atatenda makosa yafuatayo:

(a) atarudia kosa hilo hilo kwa Zaidi ya mara mbili;

(b) atakataa amri halali kutoka kwa afisa wa SUMATRA

(c) atamzuia polisi au afisa wa SUMATRA kufanya ukaguzi kwenye gari

(d) atasababisha ajali itakayopelekea kifo au majeruhi;

(e) sababu nyingine mamlaka itakayoona inafaa.

*MAKOSA MENGINE KWA MMILIKI KWA MUJIBU WA RASIMU YA KANUNI MPYA*

1. Kushindwa kutoa tiketi kwa abiria (Kanuni 26)

2. Kutoza nauli kubwa kuliko ile iliyoidhinishwa na SUMATRA (kif.25)

3. Kushindwa kutoa usafiri mbadala kwa abiria kulingana na masharti yaliyomo kwenye tiketi na kushindwa kusafirisha abiria ndani ya nusu saa bdaa ya muda wa kuanza safari uliondikwa kwenye tiketi.

4. Kushindwa kurejesha nauli baada ya kushindwa kuwasafirisha abiria.

5. Kumtoza mwanafunzi nauli Zaidi ya nusu ya bei ya nauli ya mtu mzima

6. Kumtoza abiria nauli ya mzigo usiozidi kilo 20

7. Kutoweka alama yenye jina la abiria kwenye mzigo wa abiria

8. Kuwanyanyasa abiria ikiwemo wanafunzi.

9. Kutotunza mzigo wa abiria na kusababisha upotevu wake na kukataa kumlipa

10. Gari kutokuwa na ratiba na logbook au kukataa kuionesha ilipotakiwa kuoneshwa

11. Kukatisha ruti au kupita kwenye ruti isiyo ya gari hilo.

12. Kufanya bishara ya usafirshaji abiria bila kuwa na leseni ya usafirishaji ya SUMATRA

*ADHABU*

Makosa yote haya adhabu yake ni faini isiyopungua kiasi cha shilingi laki mbili (200,000) na isiyozidi laki tano (500,000) au kifungo cha muda usiopungua mwaka mmoja na usiozidi miaka miwili au vyote kwa pamoja.

Hata hivyo kanuni zinaruhusu kuwa pale ambapo mmiliki atakapokutwa na kosa na kukiri kosa hilo, kulipa nusu ya faini kwa kosa husika bila kupelekwa mahakamani. Hivyo basi, kama faini kwa kosa ni shilingi laki mbili, mmiliki akikubali kosa kabla ya kupelekwa mahakamani ataandikiwa shilingi 100,000 (compounding), kama asipokubali na akakutwa na hatia mahakamani basi atalipa faini kamili au kwenda jela.

*ZINGATIA*

1. Mengi ya makossa yaliyotajwa hapo juu hasa katika kifungu cha 21 kabla ya kanuni hizi mpya kuandaliwa faini zake alikuwa analipa dereva. Kwa sasa SUMATRA ainataka kuondokana na utaratibu wa kukabiliana na dereva ambaye si mpewa leseni (Licensee) na badala yake ikabiliane na mmiliki ambaye ndiye mpewa leseni(Yaani aliyeenda kuomba leseni SUMATRA). Kwa hiyo mmiliki sasa ndiye atakuwa na wajibu wa kuhakikisha masharti ya leseni yanafuatwa.

2. Jedwali la nne la kanuni hizo mpya zimetenga makossa katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni makosa yanayohusu mabasi ya mji kwa mji, maarufu kama mabasi ya mikoani. Hawa adhabu zao zinaanzia kati ya shilingi 100,000 hadi 250,000. Vivyo hivyo kwa upande wa kundi la pili la makossa yanayohusu mabasi ya mijini maarufu kama daladala, adhabu kwa makossa yao ni kati ya shilingi 100-250,000 kutegemeana na kosa.

3. Hizi ni kanuni tu, yaani sheria ndogo ndogo zinazotungwa chini ya sheria mama ya utoaji leseni kwa kiingereza TRANSPORT LICENSING ACT,Cap. 317. Kiuratatibu kanuni hizi huwa hazipelekwi bungeni kwa njia ya muswada(bill), bali kanuni hizi hupelekwa kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo ambako zikishapitiwa na kujiridhisha zinapelekwa kwa Waziri wa Uchukuzi, ambaye akisha saini zinakuwa sheria, na kuanza kutumika rasmi.

4. Makosa ya dereva chini ya sheria ya Usalama Babarabarani yaani ROAD TRAFFIC ACT cap.168, kama vile kuovateki vibaya, kutofunga mkanda, kuovaspidi,kugonga na kuua au kujeruhi, nk yanabaki kama yalivyo na hayawi makossa ya mmmiliki.

Natumai hadi hapa utakuwa umepata kufahamu kuhusu baadhi ya mambo yanayoletwa na kanuni hizi mpya na ambayo yanalalamikiwa na wamiliki wa mabasi kiasi cha kutaka kufanya mgomo. Hivyo utaweza kushiriki mjadala wake kiurahisi. KARIBUNI TUENDELEE NA MJADALA.

RSA TANZANIA-USALAMA BARABARANI NI JUKUMU LETU SOTE.
Mkuu, tunaposema mwanafunzi ni wakuanzia darasa la ngapi hadi la ngapi? asijeingia mwanafunzi wa phd na nusu nauli. halafu hii ya dust bin yaani nikikutwa halipo nije kusombwa tajiri? kwa kanuni hizi watu kama shabiby watakuwa wanashinda mahakamani, hili halina dust bin, lile halina mikanda, huku mpiga debe katoa ticket feki, kule gari limewahi kituoni, hapa uchizi lazima uje.
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,725
2,000
Nadhani kikubwa SUMATRA wanachotaka ni kwamba wakikupa leseni ya usafirishaji basi wewe kama miliki utii yale masharti. Yaani wewe ndio umsimamie dereva wako, sio wewe uache gari haina usimamizi uwe busy na kupokea hela tu ila kinachotokea barabarani usijali
mie sijaelewa, basi likiwa halina dust bin faini yake ni laki mbili na nusu? halafu dereva atakayesababisha ajali faini yake ni elfu 30?
 
Augustoons

JF-Expert Member
Oct 31, 2007
411
195
Mkuu, tunaposema mwanafunzi ni wakuanzia darasa la ngapi hadi la ngapi? asijeingia mwanafunzi wa phd na nusu nauli. halafu hii ya dust bin yaani nikikutwa halipo nije kusombwa tajiri? kwa kanuni hizi watu kama shabiby watakuwa wanashinda mahakamani, hili halina dust bin, lile halina mikanda, huku mpiga debe katoa ticket feki, kule gari limewahi kituoni, hapa uchizi lazima uje.
Kanuni inatafsiri kabisa mwanafunzi ni nani.
“pupil” means a scholar of kindergarten, primary or secondary school;
“students” means scholars of post-secondary education;
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom