Awsom
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,085
- 307
- Thread starter
- #41
We ndiye mjinga na CCM itashinda utake usitake hata hivyo nina mashaka na elimu yako na vyeti vyako kwani unashindwa kutofautisha digrii yako ya kukariri baba yako alizaliwa wapi (art) unalinganisha na mtu aliyesomea jinsi baba yako alivyoumbwa na kuzaliwa na viungo vyake vyote vinavyofanya kazi (sayansi) haitatokea hata siku moja MD akalipwa sawa na mtu kama wewe uliyekimbia sayansi kwa kutaka ulaini eti unataka equalization kasome uone kama hutalipwa hiyo milioni unayoililia. Kadigrii kenyewe unakasoma miaka mitatu tu umeajiriwa mwenzako anasota miaka mitano hasemi, pole sana endelea kulalamika na kuropoka kama unaona ni sahihi, umehongwa huko unakuja kuwasemea walimu umetumwa kuwasemea hapa jf?
Wewe ndege,kibaraka wa elfu 7 ya nape usifikiri mimi nina elimu ya magumashi kama yako na ndio maana unasacrifice utu wako na kusahau shida walizo nazo watanzania kwa ajili ya elfu 7 ya lumumba....endelea kuwatumikia wezi wa rasilimali za nchi.