Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT): Hatutaichagua CCM

Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT): Hatutaichagua CCM

hatujawahi kusema wala hatuna mpango wa kuchagua chama cha kijani!!! Mwaka huu watajua kuwa tupo au tumeenda rikizo
 
Waalimu hawawezi kuchagua watu waliotemwa ccm kwa sababu ya ufisadi
 
Hilo linafahamika kuwa almost 70% ya walimu wanailaumu serikali na huenda wasiichague, lakini ubaya utakuwa kama watapata majukwaa vijiweni na kuiponda serikali hadharani
 
Ni kweli mwaka huu ccm hawana kura za walimu..hata huko vijijini wao ndo wamesaidia kuhakikisha wananchi wanapata uelewa wa kuipiga ccm chini
 
Back
Top Bottom