Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT): Hatutaichagua CCM

Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT): Hatutaichagua CCM

Hao CWT nao wezii tu kama CCM, wanataka kujikosha hizi dakika za mwisho na kutafuta kick.....

Kwanza watwambie michango inamnufaishaje mwanachama...Nimeshuhudia MTU anastaafu halafu mwakilishi wa Chama la wezi Tanzania (CWT) ametoa elfu 50....I was like..seriously!!!! huyu mama ameanza kuchangia huko toka yupo kigoli, Leo hii anastaafu hata meno hana mnampa elfu 50 huku nyinyi mnajenga majengo marefu tusojua yanamnufaisha nani?

Tena wanyamaze kabisaa, wawakome walimu....Mara mia CCM kuliko hao Majambazi....Nina hasira.

Wewe ni Mwalimu? Utukome kabisa huwezi kubadilisha mawazo yetu 2005 tulichagua mume wa Mwalimu kwa matumaini angetuangalia kwa jicho la tatu, tulichoambulia hatuna hamu naooo, na yapo mengi tu tuliyopanga kufanya. This time hatudanganyiki.
 
CWT haina msaada wowote kwa walimu zaidi ya kukata pesa zao na kujilimbikizia. CWT iliundwa chini ya serikali ili kuwapunguza nguvu walimu ya kudai maslahi yao
 
Ingawa matumaini mwisho angaza...hawa walimu kwakweli wana haki ya kuitosa CCM...
 
walimu mnatumiwa kopo la choon vile, akishamaliza kukutumia anakupiga yeke huko.. mpaka wakat mwngne anapokuja kukutumia tena.
shtuken mapema walimu, mmekuwa mnadharaulika sana hapa nchin ili hali nyie ni watu muhimu sanaaa
 
Wewe ni Mwalimu? Utukome kabisa huwezi kubadilisha mawazo yetu 2005 tulichagua mume wa Mwalimu kwa matumaini angetuangalia kwa jicho la tatu, tulichoambulia hatuna hamu naooo, na yapo mengi tu tuliyopanga kufanya. This time hatudanganyiki.

Umeelewa nlichoandika? Ukome kujibu vitu bila kuelewa...
 
CWT haina msaada wowote kwa walimu zaidi ya kukata pesa zao na kujilimbikizia. CWT iliundwa chini ya serikali ili kuwapunguza nguvu walimu ya kudai maslahi yao

Halafu Leo wakuja na kitamko chao, Alowaambia walimu walikuwa hawajui mtu wa kumchagua hadi wao wawapangie ni nani?

Wasitafute Kick kabisaaa...
 
Wewe ni Mwalimu? Utukome kabisa huwezi kubadilisha mawazo yetu 2005 tulichagua mume wa Mwalimu kwa matumaini angetuangalia kwa jicho la tatu, tulichoambulia hatuna hamu naooo, na yapo mengi tu tuliyopanga kufanya. This time hatudanganyiki.

Upo sahihi kabisa mkuu.
 
Ccm ni mzigo aubebeki jamani tubadilike Jk aliweka pat na wasanii ili wapige kampeni kwa magufuli Hapa mpango mzima nikupiga chini Ccm akuna cha magufuli Wa makomeo Hapa nguvu zote kwa president lowassa wananchi tumechoka na Ccm kwa hadi feck
 
walimu mnatumiwa kopo la choon vile, akishamaliza kukutumia anakupiga yeke huko.. mpaka wakat mwngne anapokuja kukutumia tena.
shtuken mapema walimu, mmekuwa mnadharaulika sana hapa nchin ili hali nyie ni watu muhimu sanaaa

Mkuu sio waalimu wasasa,waalimu sasa wana umoja na ndivyo walivyoamua,Tokea tu baada ya MEI MOSI juzi,waalimu walishaamua kuitupilia mbali CCM.
 
Habarini wadau,

Tokea Alhamisi asubuhi mpaka jana jioni kulikuwa na meeting katika ofisi mpya ya CWT iliyojengwa kwa mfuko wa waalimu kuanzia june 2013, Kwakweli ingawa halikuwa katika agenda,ila Ghafla waalimu kwa pamoja walilizungumzia na walikubaliana kutomchagua Mgombea yeyote wa CCM.

Asilimia 80% ya waalimu walisema kuwa CCM imekuwa ikiwadanganya waalimu kama watoto wadogo,yaani wakitoa ahadi ambazo hawazitekelezi kwa miaka yote.

Aliyekuwa katibu wa CWT Mkoa naye alisema tatizo la kutopandishiwa mishahara au kupandishiwa kwa asilimia ndogo sana,Waalimu kutopandishwa madaraja na Malimbikizo ya mshahara ndilo limewafanya waalimu wasiwe na imani na serikali ya CCM tena.

Naye Mwalimu mkuu kwa muda wa miaka 15 kazini alisema kuwa: Hatuwezi kuwapigia kura viongozi wa serikali wanaotudharau na kudharau fani yetu ya ualimu,aliendelea kusema kuwa Waalimu wa taifa hili wamekuwa wakipuuzwa na hata kutukanwa tofauti na wafanyakazi wa taasisi zingine,na wamekuwa wakionekana bora tu wakati kipindi cha kampeni na sensa ya watu na makazi.

Mwishoni kwa kumalizia,Katibu wa CWT kwa waalimu wa shule za msingi yeye alisema tu wanachotaka ni Mabadiliko,ije serikali nyingine labda itawajali waalimu kwa kazi zao ngumu na zisizo na overtime wala marupurupu.

Walimu ni kama watumishi wengine ndani ya nchi hii hawana special needs kama mataahira kinachofanyika kwao ni kilekile kinachofanyika kwa watumishi wengine wasijone wao ndiyo wateule, hivi mwalimu anaweza kufundisha akiwa mgonjwa hivi mwalimu anaweza kuingia darasani wakati mabomu yanapigwa nyuma ya nyumba yake? au mwanaye kapigwa risasi, Serikali nyingine wanayoitaka niya Dr Magufuli itawafaa sana ni kweli shemeji yao kwaachia jembe.
 
  • Thanks
Reactions: AAS
Walivo wajinga Ccm wanadaii@ vijijini ndiko watapata kura mahana wajaelimika mm nawambia hivi Ccm uku vijijini wanasira nanyie mbaya mnoo jk alikuja na Sera zake kasi mpya nguvu mpya sasa katuacha na umaskini wakutosha migomo kila kona ya nchi hii Leo tena tuwape kura yanini jamani tufanye mamuzi magumu
 
Walimu ni kama watumishi wengine ndani ya nchi hii hawana special needs kama mataahira kinachofanyika kwao ni kilekile kinachofanyika kwa watumishi wengine wasijone wao ndiyo wateule, hivi mwalimu anaweza kufundisha akiwa mgonjwa hivi mwalimu anaweza kuingia darasani wakati mabomu yanapigwa nyuma ya nyumba yake? au mwanaye kapigwa risasi, Serikali nyingine wanayoitaka niya Dr Magufuli itawafaa sana ni kweli shemeji yao kwaachia jembe.

Unavyoongea hayo unayajua haya kweli:-

-Mwalimu mwenye degree moja analipwa mshahara wa laki 6 bila makato WAKATI Daktari analipwa Mil 1 na nusu na katika diploma na certificate kuna gap kubwa sana

-Mwalimu wa Tanzania hana overtime,wala marupurupu yoyote

-Mwalimu wa Tanzania anafanya kazi kwa muda mrefu kuliko wafanya kazi wengine wanaoishia saa9 au 10:30

-Waalimu wa Tanzania wana malimbikizo ya mishahara ambayo haijalipwa na serikali hii mpaka leo

-Mwalimu wa Tanzania akifanya Masters ya Education,haitamwezesha kuongezewa mshahara,hivyo hana tofauti na mwl. wa degree tu.

Jua kwanza hayo hapo juu ndio uropoke.
 
tatizo la walimu ni walimu weny ewe,unakuta kakuu ka shule eti kamewageuza walimu kama misukule hivi kakiongea wanashangilia tu hamna kuhoji wala nini,halafu wanapenda kushabikia upumbavu,ukiwakuta marking wanavyopelekeshwa utashangaaa,walimu Wa Tanzania wengi ni mzigo.ukienda Anne Marie mbezi kwa msuguri ndiyo utashangaa mkuu Wa shule -----,walimu mabwege tu na mwenye shule anawatenda apendavyo.mwalimu Wa Tanzania hawezi kujikomboa tusidanganyane.watatumika kumbeba magufuli na Kisha watatupwa kama kondomu
 
Unavyoongea hayo unayajua haya kweli:-

-Mwalimu mwenye degree moja analipwa mshahara wa laki 6 bila makato WAKATI Daktari analipwa Mil 1 na nusu na katika diploma na certificate kuna gap kubwa sana

-Mwalimu wa Tanzania hana overtime,wala marupurupu yoyote

-Mwalimu wa Tanzania anafanya kazi kwa muda mrefu kuliko wafanya kazi wengine wanaoishia saa9 au 10:30

-Waalimu wa Tanzania wana malimbikizo ya mishahara ambayo haijalipwa na serikali hii mpaka leo

-Mwalimu wa Tanzania akifanya Masters ya Education,haitamwezesha kuongezewa mshahara,hivyo hana tofauti na mwl. wa degree tu.

Jua kwanza hayo hapo juu ndio uropoke.

We ndiye mjinga na CCM itashinda utake usitake hata hivyo nina mashaka na elimu yako na vyeti vyako kwani unashindwa kutofautisha digrii yako ya kukariri baba yako alizaliwa wapi (art) unalinganisha na mtu aliyesomea jinsi baba yako alivyoumbwa na kuzaliwa na viungo vyake vyote vinavyofanya kazi (sayansi) haitatokea hata siku moja MD akalipwa sawa na mtu kama wewe uliyekimbia sayansi kwa kutaka ulaini eti unataka equalization kasome uone kama hutalipwa hiyo milioni unayoililia. Kadigrii kenyewe unakasoma miaka mitatu tu umeajiriwa mwenzako anasota miaka mitano hasemi, pole sana endelea kulalamika na kuropoka kama unaona ni sahihi, umehongwa huko unakuja kuwasemea walimu umetumwa kuwasemea hapa jf?
 
Back
Top Bottom