Chama Cha Upinzani BJP chashinda Uchaguzi India

Chama Cha Upinzani BJP chashinda Uchaguzi India

Ujumbe wako kwa ccm ni sawa na kumpigia mbuzi gita,wao wanaamini nchi hii ni yao na hati miliki wameifungia magogoni japo wana-renew kila baada ya miaka 10

Kama kweli upinzani umeshinda India hii ni sababu tu ya muamko wa raia pamoja na kuzijua haki zao za msingi na wajibu wao wa kuiadabisha mamlaka yao kwa mujibu wa katiba yao kupitia sanduku la Kura

Hapa kwetu ccm haitaki ww raia ujue haki zako za msingi ndiyo maana kwa sasa wanaandikisha wapiga kura kimya kimya hasa mikoani kupitia wenyeviti wa mitaa na mabalozi wa ccm....Inshaallaah ipo siku Upinzani utashika hatamu za nchi hii...Amen
 
Ujumbe wako kwa ccm ni
sawa na kumpigia mbuzi gita,wao wanaamini nchi hii ni yao na hati miliki
wameifungia magogoni japo wana-renew kila baada ya miaka 10

Kama kweli upinzani umeshinda India hii ni sababu tu ya muamko wa raia
pamoja na kuzijua haki zao za msingi na wajibu wao wa kuiadabisha
mamlaka yao kwa mujibu wa katiba yao kupitia sanduku la Kura

Hapa kwetu ccm haitaki ww raia ujue haki zako za msingi ndiyo maana kwa
sasa wanaandikisha wapiga kura kimya kimya hasa mikoani kupitia
wenyeviti wa mitaa na mabalozi wa ccm....Inshaallaah ipo siku Upinzani
utashika hatamu za nchi hii...Amen

Hapa hakuna cha upinzani wala nn,,,,mbona juzi ANC hamjasema,,,,subiri na Malawi wik ijayo maana Kenya mlisema matokeo yake ziiiii,,,sijui lakini unasemea upinzani upi kwa hapa kwetu kama ni huu wa UKAWA imekula kwenu maana kuna CD viongozi wa ukawa wanatoa mpaka hongo zisioneshwe,,,,mie naisubir Act-tz nione otherwise no opposition,,,Cccccmmm Oyeeeeeee!
 
Politics kweli mwanaharamu. Modi alinyimwa VISA ya kwenda US kwa sababu ya tuhumu za mauaji ya Waislam kule jimboi kwake Gujart, yaliyosababishwa na siasa zake. Sasa leo amechaguliwa na wananchi wa India, tena with a majority! President Obama ammemtuia mualiko rasmi kutembelea Marekani. I guess visiting China or Russia before the US is unacceptable.
 
Tunasubiri Malawi tuone kama yule Mama hatapiga mbizi ziwa nyasa!
 
Ushindi wa ANC ni salamu tosha kwa CHADEMA na UKAWA yao
Tume ya uchaguzi nchini Afrika ya Kusini imekamilisha zoezi la kuhesababu kura na kutangaza kwamba, Chama tawala cha ANC kimeshinda kwa asilimia 62.2% na kwamba, Chama cha upinzani cha Democratic Alliance kinachoongozwa na Bi Hellen Zille, kimepata asilimia 22.23% ya kura zote zilizopigwa, ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 5%, ikilinganishwa na kura za mwaka 2009. Chama cha Economic Freedom cha Julius Malema kinachotaka kuwagawia maskini utajiri wa nchi kimepata asilimia 6.35%.




Taarifa inaonesha kwamba, wananchi wa Afrika ya Kusini waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu uliomalizika walikuwa ni sawa na asilimia 73% ya wananchi millioni 25 wa Afrika ya Kusini. Hii ni sawa na asilimia 50% ya idadi ya wananchi wote waliojiandikisha kupiga kura. Rais Jacob Zuma anasema anapania kuboresha huduma msingi za kijamii kwa wananchi wengi wa Afrika ya Kusini.


Ushindi huu ni ishara tosha kuwa vyama vya upinzani barani Afrika vina safari ndefu ya kuviangusha vyama vinavyopigania ukombozi wa kweli wa wananchi wake. Hapa kwetu baada ya vyama vya CUF na CHADEMA kufa kifo cha mende, vimeamua kuunda jukwaa lisilo rasmi lijulikanalo kama UKAWA ambalo nalo limepoteza muelekeo kutokana na kukosa ajenda kwa wananchi. Viongozi wa UKAWA ni kama watu wasio na uwezo wa kufikiri kwani kwa sasa wakati watanzania wanajikita kwenye Bajeti Mpya ya Serikali, wao wapo busy na Katiba ambayo waliamua kuisusia wakati wa Bunge la Maalum. Hellen Zille namfananisha na Dr Slaa. Wakati wa uchaguzi uliopita, alitamba sana kuwa uchaguzi wa mwaka huu angeweza kushinda. Sasa kaangukia pua japo chama chake kimeongeza kidogo kura baada ya waafrika weusi kuanza kukiunga mkono na hasa kutokana na matatizo ya ndani ya ANC. Dr Slaa naye akiendelea kung'ang'ania kuwa atagombea 2015 atashindwa vibaya mno.


Hizo ni salamu tu kwa wapinzani kwamba hamna chenu ndani ya siasa za Bara ya Afrika. Sijui mtajifunza kutoka nchi gani maana kila kona mnazidi kukabwa tu.

Huwezi kufananisha ccm na ANC no compromise here, ccm nikama mchwa na wanafiki wakubwa wa maendeleo tofauti na ANC. Hoja zako uzipeleke Lumumba au kwenye lile bunge lenu la mipasho
 
Mkuu kumbe bado ni usiku kwako bado? Acha ndoto.
 
True opposition is found in India. Not like here where oppositions are running away from the discussion. You can not compare aour level of oppositions with that in India.
 
WanaJF,

Mwishoni mwa wiki iliyopita habari zilizotawala vyombo vya habari vya kimataifa ni kushindwa kwa kishindo katika uchaguzi kwa chama cha congress cha India. Hiki ni chama cha baba wa taifa la India na kimetawala India kwa takriban miaka 67.

Baadhi vyombo vya habari vimetaja baadhi ya mambo ambayo yamesababisha hiki chama kilichokuwa kimezoea kushika dola ni pamoja na kukumbatia rushwa na kukumbatia umaskini. Baadhi ya vyombo vinasema kuwa (Tafsiri isiyo rasmi), waziri mkuu Singh pamoja na kuwa si mla rushwa ila aliongoza serikali inayokula rushwa.

Je, CCM kama chama kilichoshika dola miaka zaidi ya 50, kinajiandaaje na hali kama hii (1) kama itatokea (2) Ili isitokee.

Je, CCM iko tayari kutekeleza kwa vitendo falsafa yake ya Ujamaa na kujitegemea ikiambatana na maisha bora (Sii bora maisha) Kwa kila mtanzania. Je, CCM inao uwezo na nia ya dhati ya kudhibiti rushwa iliyokithiri karibia kila sekta?
 
Mnachotakiwa kufanya ni kuwashawishi wapiga kura kwa hoja zenye mashiko na ahadi zinazotekelezeka na sio kukaa na kuota kuwa CCM itaanguka kama CONGRESS....kumbuka CONGRESS haikuondolewa kwa kuwa ina wala rushwa bali ni wapiga kura wameamua kubadili mlo.......sasa acheni kupiga mayowe...waacheni wapiga kura waamue wenyewe......
WanaJF,

Mwishoni mwa wiki iliyopita habari zilizotawala vyombo vya habari vya kimataifa ni kushindwa kwa kishindo katika uchaguzi kwa chama cha congress cha India. Hiki ni chama cha baba wa taifa la India na kimetawala India kwa takriban miaka 67.

Baadhi vyombo vya habari vimetaja baadhi ya mambo ambayo yamesababisha hiki chama kilichokuwa kimezoea kushika dola ni pamoja na kukumbatia rushwa na kukumbatia umaskini. Baadhi ya vyombo vinasema kuwa (Tafsiri isiyo rasmi), waziri mkuu Singh pamoja na kuwa si mla rushwa ila aliongoza serikali inayokula rushwa.

Je, CCM kama chama kilichoshika dola miaka zaidi ya 50, kinajiandaaje na hali kama hii (1) kama itatokea (2) Ili isitokee.

Je, CCM iko tayari kutekeleza kwa vitendo falsafa yake ya Ujamaa na kujitegemea ikiambatana na maisha bora (Sii bora maisha) Kwa kila mtanzania. Je, CCM inao uwezo na nia ya dhati ya kudhibiti rushwa iliyokithiri karibia kila sekta?
 
Unatatizo la unyani unyani nini?


10342453_640556319355017_645949634383546207_n.jpg
 
mwenzako akinyolewa.................
 
Mwenzio akinyolewa tiya maji, ccm jiandae kukabidhi nci dawa yenu iko jikoni inachemka
 
Back
Top Bottom