Chama Cha Upinzani BJP chashinda Uchaguzi India

Chama Cha Upinzani BJP chashinda Uchaguzi India

Nyie mnafikiria nini mkuu. Mko tayari kuleta machafuko maadam mbakie madarakani.

Mkuu ungeanza kusoma uzi wangu toka mwanzo ukauelewa ndio ukacomment


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Ndugu, Hata unachokiandika hukielewi. Are you BAVICHA?.

Eti mgombea kiti cha Urais ameshinda Urais!.

Tatizo la watu kama wewe mnadhani mnafamu kila kitu, na matokeo yake hamtaki hata kujifunza either kwa kukosolewa au kujiendeleza.

Ninaamini hufahamu hata njia zinazotumika kumpata Rais na Waziri Mkuu wa India.

Halafu unatueleza eti chama kimeongoza kwa miaka 67 na kikubwa zaidi, siasa za India na Tanzania wapi na wapi.

Jielimishe kwanza kabla ya kudandia hoja nzito katika fikra zako.

Huu ni ushauri!.
Mpiga picha wa Jangili kinana naona umepagawa tulia dawa ikuingie muda wenu umefika
 
Sote tunajua kuwa India na Tanzania ni nchi ambazo zipo kwenye urafiki wa muda mrefu, na hasa wakati wa utawala wa Chama kikongwe ambacho majuzi tu kimepigwa mweleka na chama cha upinzani.
Swali: Je, kwa mweleka huo, unafikiri CCM wataweza kutoa pongezi kwa chama hicho kipya cha upinzani?
 
Back
Top Bottom