Chama Cha Upinzani BJP chashinda Uchaguzi India

Nadhani Congress na Ccm wanafanana kwa vitu vingi,ie;
Kurithishana madaraka,tumeona familia ya muasisi wa taifa la India imetawala siasa za India kwa miaka mingi,nchi imekuwa kama ya kifalme kwa viongozi kurithishana,jambo tunaloliona likitokea sana ktk siasa za tanzania mf; Rizone,Sioi sumari,Mgimwa,Nchimbi, Nape,nk.
Rushwa.
Uonevu kwa wananchi.
Na mengineyo,nadhani 2015 ndo mwisho wa CCM.
 
pia wahindi wamechoshwa na matabaka. ukiacha baina ya mtu na mtu bali hata shule zipo kina kayumba masomo lugha ya kienyeji na zile za wenye nazo. congress ilikumbatia matabaka haya kwamiaka 66 kana ccm imefanya hapa nhini. ndio maana modi alisisitiza hata muuza chai anaweza kuwa rais na kinacho matter ni hardwork na sio havard. nisuala la kujipanga na sio la msimu mmoja au mihemuko.
 
mgombea wa kiti cha urais wa chama cha upinzani cha BJP Mr Mod wa India ameshinda urais kwa asilimia zaidi ya 6O.ikumbukwe kwamba india ilikuwa inaongozwa na chama tawala kwa zaidi ya miaka 67.kutokana na ushindi huo naamini ccm itang'ooka tu
 
Mbio za sakafuni huishia ukingoni......msemo huu una maana kubwa sana....muda utatueleza.
 
Mwisho wa CCM ni mwaka 2015 baada ya hapo ni ukawa au Serikali mseto
 
mgombea wa kiti cha urais wa chama cha upinzani cha BJP Mr Mod wa India ameshinda urais kwa asilimia zaidi ya 6O.ikumbukwe kwamba india ilikuwa inaongozwa na chama tawala kwa zaidi ya miaka 67.kutokana na ushindi huo naamini ccm itang'ooka tu

Ameshinda Uraisi ama Waziri Mkuu?
 
Kuna kitu kimoja kwenye mijadala mingi ya kisiasa kati ya CCM na upinzani sijaona kikijadiliwa zaidi ya kuingia Ikulu, nafikiri huu ni wakati muafaka wa UKAWA kujipanga sio kwa kuingia Ikulu bali kujipanga kwa kuongeza viti vya upinzani Bungeni.

Kwanini nasema hivyo? Once upinzani itakapokuwa na viti vya kutosha may be 50% hapo ndipo utakapokuwa mwisho wa kupitisha miswaada ya kijinga na mwanzo wa kurekebisha sheria kandamizi, baada ya hapo njia nyeupe kuingia Magogoni. Ni mtazamo wangu

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Lakuvunda halina ubani na mpanda ngazi hushuka india na afarika ni vitu viwili tofauti mfano wetu halisi ni afrika kusini wala siyo india.
 
wapinzani wenyewe wote wachafu kimaadili wengi wao hawana nia njema na taifa hili siyo watu wenye kulenga kuwasaidia watanzania wao wamekaa kutafuta madaraka tu.
 
Mwisho wa CCM ni mwaka 2015 baada ya hapo ni ukawa au Serikali mseto

Pengine unaccm yako ambayo ndiyo utakuwa unaizungumzia lakini siyo hii ccm ya watanzania.
 
mgombea wa kiti cha urais wa chama cha upinzani cha BJP Mr Mod wa India ameshinda urais kwa asilimia zaidi ya 6O.ikumbukwe kwamba india ilikuwa inaongozwa na chama tawala kwa zaidi ya miaka 67.kutokana na ushindi huo naamini ccm itang'ooka tu
Ndugu, Hata unachokiandika hukielewi. Are you BAVICHA?.

Eti mgombea kiti cha Urais ameshinda Urais!.

Tatizo la watu kama wewe mnadhani mnafamu kila kitu, na matokeo yake hamtaki hata kujifunza either kwa kukosolewa au kujiendeleza.

Ninaamini hufahamu hata njia zinazotumika kumpata Rais na Waziri Mkuu wa India.

Halafu unatueleza eti chama kimeongoza kwa miaka 67 na kikubwa zaidi, siasa za India na Tanzania wapi na wapi.

Jielimishe kwanza kabla ya kudandia hoja nzito katika fikra zako.

Huu ni ushauri!.
 
Ushindi wa ANC South Africa ni salamu kwa nani?
 
wapinzani wenyewe wote wachafu kimaadili wengi wao hawana nia njema na taifa hili siyo watu wenye kulenga kuwasaidia watanzania wao wamekaa kutafuta madaraka tu.

Mkuu naungana na wewe 100% kila wakilala wakiamka wanafikiria Ikulu hivi unaweza kuingia Ikulu ikiwa huna hata robo ya viti vya ubunge?

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
mtani wangu @ Mwana Diwani sasa umekuwa naibu waziri punguza jaziba. Jifunze kuwa na busara kwa sasa unatumikia wananchi na sio wanaCCM pekee kama naibu katibu mkuu.
 
Jaribu kutafuta ushauri juu ya kile unachokiandika kwanza usitujazie utumbo huku!
 
wapinzani wenyewe wote wachafu kimaadili wengi wao hawana nia njema na taifa hili siyo watu wenye kulenga kuwasaidia watanzania wao wamekaa kutafuta madaraka tu.

Walioko madarakani wameoza kimaadili na wote wanataka kuliangamiza Taifa Kwa kunyonya wananchi. Nia yao ni kubaki madarakani hata kama hawajui wanafanya nini.
 
Mkuu naungana na wewe 100% kila wakilala wakiamka wanafikiria Ikulu hivi unaweza kuingia Ikulu ikiwa huna hata robo ya viti vya ubunge?

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app

Nyie mnafikiria nini mkuu. Mko tayari kuleta machafuko maadam mbakie madarakani.
 
Lakuvunda halina ubani na mpanda ngazi hushuka india na afarika ni vitu viwili tofauti mfano wetu halisi ni afrika kusini wala siyo india.
Ni mfano halisi kwavile Zuma ana ufisadi wa hali ya juu kama CCM n Kinana anayehangaika kutaja mizigo majukwaani
 
Ndugu, Hata unachokiandika hukielewi. Are you BAVICHA?.

Eti mgombea kiti cha Urais ameshinda Urais!.

Tatizo la watu kama wewe mnadhani mnafamu kila kitu, na matokeo yake hamtaki hata kujifunza either kwa kukosolewa au kujiendeleza.

Ninaamini hufahamu hata njia zinazotumika kumpata Rais na Waziri Mkuu wa India.

Halafu unatueleza eti chama kimeongoza kwa miaka 67 na kikubwa zaidi, siasa za India na Tanzania wapi na wapi.

Jielimishe kwanza kabla ya kudandia hoja nzito katika fikra zako.

Huu ni ushauri!.

Kwa nafasi yako, heri ukae kufix economy, am actually pleased umequit scarf angalau shingo imejitambua, sasa tunasubiri akili
 
mtani wangu @ Mwana Diwani sasa umekuwa naibu waziri punguza jaziba. Jifunze kuwa na busara kwa sasa unatumikia wananchi na sio wanaCCM pekee kama naibu katibu mkuu.

Mweleze huyu, kucha yuko FB kupost porojo, hivi kazi za ofisini anafanya muda gani? Baba zima na sharubu anajikunja FB kupost upuuzi, bungeni anapiga kelele na kurushia mate wenzie agggggrrrr this dude is way off his cheap league
 
Back
Top Bottom