Chama cha Mapinduzi kidumu milele

Chama cha Mapinduzi kidumu milele

Kipaji kingine Cha ujinga ndohiki Sasa... Unasifu kuchaguliwa mtu gani hasa?
*Yule alosema wanawake wasiwapigie kura wanaume?
  • nasasa anaongoza vijana. je, ni mfano bora kwa hao vijana?
  • X wa kina daimondi na kiba atawafundisha vijana kujiheshimu?
  • Je atawasihi kujenga familia bora kuheshimu waumezao au usingo maza
  • Au unasifia yule anayetuhumiwa kuteka,kutesa,kutishia kuchapa viboko watumishi,
  • kudhulumu nyumba na kutisha maisha,
  • kupigwa marufuku kuingia marekani
  • kuleta maigizo ya kusukuma mikokoteni? Nasasa anaambiwa akainue utalii??
  • Au yule alotukana wazazi waliolitumikia taifa kwa miaka mingi kisa wanashauri.
  • sasa kapewa jumuia ya wazazi kuongoza?
  • ANAYO hekima ya kuongoza wazazi?
  • Au yule alishindwa kuwapa Arusha stendi mpaka Leo Jiji la kitalii halina stendi?
* Au yule msomihoi wa CPA asoweza kufanya miradi Bali kulilia vyeo mchana usiku,dar ilimshinda na Mwanza akaizorotesha?

What is your analysis? Au mradi tusifu kuonesha kipaji cha uchawa kupenda pachafu ili anyonye damu??
Huyo ni chawa tu hata hajitambui
 
Back
Top Bottom