Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kinatoa Mikopo ya Elimu ya Juu kwa waliokosa fika ofisi ndogo Lumumba

HAWANA JIPYA HAWA NCHI IMEWASHINDA MAPEMA SANA AWAMU HII,KULIKO AWAMU ZOTE TOKA UHURU...WAMEBAKIA TU NA MOVIES/SEASONS/DRAMMA/COMMEDY NA MAISHA YA WATZ.
 
Tumia akili ya kuzaliwa. CCM ina miradi mingi sana kila mwezi mapato yapo hivyo wanaweza kuwa na pesa. Sio wengine hawawazi miradi ya chama nj ubinafsi tu.
serikali ya ccm ikose hela za kuwakopesha wanafunzi ila chama cha ccm kinayo hela.haya ni zaidi ya maajabu.
 
Leteni source ya mapato yenu.. nakumbuka Kikwete alikuwa analalamika wakati mlipokuwa na mkutano maalum Dodoma kama siyo mwaka jana mwishoni ni mwaka huu mwanzoni kwamba mapato hayatoshi kukidhi gharama za uendeshaji..

Mwenyekiti mpya amepata vyanzo vingine vya mapato?
wanaiba hela za wananchi halafu wanapeleka ccm kutoa mikopo.huu ni utakatishaji .ccm washtakiwe kwa utakatishaji.
 
wanaiba hela za wananchi halafu wanapeleka ccm kutoa mikopo.huu ni utakatishaji .ccm washtakiwe kwa utakatishaji.
Hata Escrow kuna wakuu walisema siyo hela za uma na hata sasa hivi wakuu na ccm wanadai hizo za mikopo si za uma lakini atakuja mwingine wenyewe wataanza kusema ni za uma
 
Yani Serikali Ya Ccm Haina Uwezo Ila Chama Kina Uwezo Hu Ni Upuuzi Mkubwa,hela Za Hslb Mnachukua Mnatoa Kw Niaba Ya Chama,km Huo C Udicteta Na Unduli Na Unazi Ni Nn?WAKE UP TANZANIANS tunaangamizwa nakubaguliwa na ccm.imefika mda mtadai kutibiwa hosp lazima uwe nakadi ya ccm nabadaye mtasema bila kadi ya ccm hurusiwi kufunga ndoa,pole pole tutafika huko
 
Polepole ni msemaji/muongeaji mzuri sana lakini ana maono ya chini sana. Hii ni kugombanisha chama kwa wananchi na wasomi, bodi ionekane inanyima mikopo ili chama kifanye siasa..hapa tunakosea!
Mkuu kwani ni maamuzi yake?hili suala ni baya kwa chama,zaidi check and balance inakuwaje hapo?kuna loop hole ya watu kupiga pesa sana hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama kitatoa mikopo kwa watu hao kupitia ruzuku yake au Mwenyekiti wa Chama atatumia ile kofia ya ukuu wa Nchi kuwaamrisha BODI YA MIKOPO wawape mikopo hao vijana wenye matatizo ya ulemavu? Hao vijana inabidi wabebe kadi zao za CCM as well as za Wazazi wao.
 
Uhaba wa wanachama

Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom