Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kinatoa Mikopo ya Elimu ya Juu kwa waliokosa fika ofisi ndogo Lumumba

Chama%20Cha%20Mapinduzi.jpg

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wake, Humphrey Polepole kimetangaza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wamekosa mikopo ya kuendelea na masomo na wanafunzi ambao ni yatima.

Taarifa iliyotolewa na Polepole inasema kuwa wanafunzi hao wanapswa kufika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili waweze kusaidiwa shida zao hizo za mikopo, jambo ambalo limepokewa tofauti na baadhi ya watu wakidai kuwa suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi ni jukumu la bodi ya mikopo.

Taarifa.jpg

Kutokana na mitazamo ya watu kuwa tofauti katika jambo hili, Humphery Polepole aliibuka na kusema kuwa upinzani wa Tanzania ni mtihani mkubwa kwani wanapojaribu kutatua matatizo ya watu wanakujua juu na wasipotatua matatizo pia wanakuja juu.

"Tukikaa kimya kwa shida za watu inakuwa tatizo, tukishughulika na shida za watu inakuwa tatizo kubwa. Huu upinzani mtihani" alisema Polepole
ndio polepale amejiongeza hapo mpaka mwisho
 
Hii serikali mpaka leo inawanyima Yatima na walemavu mikopo???????????
I cant believe this,zile ahadi za mbwembwe kwenye majukwaa kumbe zilikuwa hewa!!!!!
Mbona hata deadline ya kuomba Mikopo bado haijafika taarifa za Kunyimwa kakupa Mzazi wako wa Jinsia Gani?
 
Kipi Cha Ajabu Serikali wakati Inasoma Budget kuna Maneno Waziri anasema Deni La Ndani. Ambapo unakuta wamekopa NSSF mbona huwa Uhoji kuwa Serikali haina fedha lakini NSSF ina fedha
Umetoka nje,unachanganya mambo bila hata kuwa na uelewa!Kuwa na deni haina maana kuwa huna fedha!Hata akina Dangote wanakopa,wakati mwingine wanakopa kwenye taasisi wanazozizidi uwezo kipesa!Ccm ndio chama chenye serikali!Iweje serikali iwanyime mkopo Yatima,halafu chama ndio kionekane kinawapa mikopo?Huu ni mchezo wa kipumbav sana!
Only in Tz!
 
Umesahau kuwa CCM ni Taasis? Ina miliki Mali inafanya Biashara n.k?
 
Mbona hata deadline ya kuomba Mikopo bado haijafika taarifa za Kunyimwa kakupa Mzazi wako wa Jinsia Gani?
Taarifa amenipa mama yako,kanipia wapi hilo ni faragha!
Pili,umeleta taarifa hapa mwenyewe,inasema waliokosa mkopo,Yatima na ambao wazazi wao ni walemavu waende ofisi ya chama!
Sasa hapo ujijibu mwenyewe na ukilaza wako!
 
Umesahau kuwa CCM ni Taasis? Ina miliki Mali inafanya Biashara n.k?
Kuna haja gani ya kusomesha wanafunzi bure halafu wakihitimu kidato cha sita watelekezwe???Serikali iwajibike na isimamie ahadi zake za 2015 juu ya upatikanaji wa mikopo!
 
Chama%20Cha%20Mapinduzi.jpg

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wake, Humphrey Polepole kimetangaza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wamekosa mikopo ya kuendelea na masomo na wanafunzi ambao ni yatima.

Taarifa iliyotolewa na Polepole inasema kuwa wanafunzi hao wanapswa kufika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili waweze kusaidiwa shida zao hizo za mikopo, jambo ambalo limepokewa tofauti na baadhi ya watu wakidai kuwa suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi ni jukumu la bodi ya mikopo.

Taarifa.jpg

Kutokana na mitazamo ya watu kuwa tofauti katika jambo hili, Humphery Polepole aliibuka na kusema kuwa upinzani wa Tanzania ni mtihani mkubwa kwani wanapojaribu kutatua matatizo ya watu wanakujua juu na wasipotatua matatizo pia wanakuja juu.

"Tukikaa kimya kwa shida za watu inakuwa tatizo, tukishughulika na shida za watu inakuwa tatizo kubwa. Huu upinzani mtihani" alisema Polepole
kuingiza tu neno upinzani umeharibu kilakitu.Kwani bodi ya mkopo elimu ya juu HESLB iko chini ya utawala wa serikali ya chama gani kwanini msiongeze nguvu kule.au ndo kujipendekeza kinafiki
 
Chama%20Cha%20Mapinduzi.jpg

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wake, Humphrey Polepole kimetangaza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wamekosa mikopo ya kuendelea na masomo na wanafunzi ambao ni yatima.

Taarifa iliyotolewa na Polepole inasema kuwa wanafunzi hao wanapswa kufika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili waweze kusaidiwa shida zao hizo za mikopo, jambo ambalo limepokewa tofauti na baadhi ya watu wakidai kuwa suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi ni jukumu la bodi ya mikopo.

Taarifa.jpg

Kutokana na mitazamo ya watu kuwa tofauti katika jambo hili, Humphery Polepole aliibuka na kusema kuwa upinzani wa Tanzania ni mtihani mkubwa kwani wanapojaribu kutatua matatizo ya watu wanakujua juu na wasipotatua matatizo pia wanakuja juu.

"Tukikaa kimya kwa shida za watu inakuwa tatizo, tukishughulika na shida za watu inakuwa tatizo kubwa. Huu upinzani mtihani" alisema Polepole
Maigizo hayatakuja kuisha Tanzania!
 
Kuna hela za wauza unga zinataka kutakatishwa!!!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku! ccm inatoa fedha za mikopo? inatoa wapi? nashauri hata kama kuna yatima wasiende. msije mkasomweshwa na hela za........!
 
Chama%20Cha%20Mapinduzi.jpg

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wake, Humphrey Polepole kimetangaza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wamekosa mikopo ya kuendelea na masomo na wanafunzi ambao ni yatima.

Taarifa iliyotolewa na Polepole inasema kuwa wanafunzi hao wanapswa kufika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili waweze kusaidiwa shida zao hizo za mikopo, jambo ambalo limepokewa tofauti na baadhi ya watu wakidai kuwa suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi ni jukumu la bodi ya mikopo.

Taarifa.jpg

Kutokana na mitazamo ya watu kuwa tofauti katika jambo hili, Humphery Polepole aliibuka na kusema kuwa upinzani wa Tanzania ni mtihani mkubwa kwani wanapojaribu kutatua matatizo ya watu wanakujua juu na wasipotatua matatizo pia wanakuja juu.

"Tukikaa kimya kwa shida za watu inakuwa tatizo, tukishughulika na shida za watu inakuwa tatizo kubwa. Huu upinzani mtihani" alisema Polepole
Duh!!! Mkakati mzuri wa kuwapata wanafunzi kuwa wanachama wa ccm.
 
Back
Top Bottom