Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kinatoa Mikopo ya Elimu ya Juu kwa waliokosa fika ofisi ndogo Lumumba

Ni aibu kufanya uanachama wa Chama Cha Makinikia kuwa ndiyo sababu ya kupewa mikopo.Aibu ubaguzi juu utawatafuna CCM.
 
Bado naamini CCM ilikuwa na nafasi ya kutumia UKUBWA wake kuona jinsi gani inaweza 'kushawishi' kuondolewa kwa 'complications' katika namna ya kuomba mkopo. Siyo kila mtu anaweza kufika LUMUMBA.
 
Chama%20Cha%20Mapinduzi.jpg

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wake, Humphrey Polepole kimetangaza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wamekosa mikopo ya kuendelea na masomo na wanafunzi ambao ni yatima.

Taarifa iliyotolewa na Polepole inasema kuwa wanafunzi hao wanapswa kufika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili waweze kusaidiwa shida zao hizo za mikopo, jambo ambalo limepokewa tofauti na baadhi ya watu wakidai kuwa suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi ni jukumu la bodi ya mikopo.

Taarifa.jpg

Kutokana na mitazamo ya watu kuwa tofauti katika jambo hili, Humphery Polepole aliibuka na kusema kuwa upinzani wa Tanzania ni mtihani mkubwa kwani wanapojaribu kutatua matatizo ya watu wanakujua juu na wasipotatua matatizo pia wanakuja juu.

"Tukikaa kimya kwa shida za watu inakuwa tatizo, tukishughulika na shida za watu inakuwa tatizo kubwa. Huu upinzani mtihani" alisema Polepole
upinzani tanzania bora ufutwe
 
Wameanza na mikopo ya kichama kwenye elimu na kisha uchama kwenye ajira kwamba ili uajiriwe kwenye baadhi ya taasisi ni lazima upitie Lumumba kuhakikiwa kadi ya uanachama.
 
Mbona na wao wanaruhusiwa kutoa mikopo kwani Mabilioni ya Lowassa yalitumbuliwa na Akina Mbowe yote?
ora uongee maana hawana cha maana kazi kupinga kila kitu yan lengo ni watoto wa masikin wanyanyasike ili wao wapate hoja za kisiasa
 
Chama%20Cha%20Mapinduzi.jpg

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wake, Humphrey Polepole kimetangaza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wamekosa mikopo ya kuendelea na masomo na wanafunzi ambao ni yatima.

Taarifa iliyotolewa na Polepole inasema kuwa wanafunzi hao wanapswa kufika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili waweze kusaidiwa shida zao hizo za mikopo, jambo ambalo limepokewa tofauti na baadhi ya watu wakidai kuwa suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi ni jukumu la bodi ya mikopo.

Taarifa.jpg

Kutokana na mitazamo ya watu kuwa tofauti katika jambo hili, Humphery Polepole aliibuka na kusema kuwa upinzani wa Tanzania ni mtihani mkubwa kwani wanapojaribu kutatua matatizo ya watu wanakujua juu na wasipotatua matatizo pia wanakuja juu.

"Tukikaa kimya kwa shida za watu inakuwa tatizo, tukishughulika na shida za watu inakuwa tatizo kubwa. Huu upinzani mtihani" alisema Polepole
Serikali ikose fedha halafu chama kiwe na fedha?????
Serikali gani ya wanyonge inawanyima wasio na uwezo na yatima mkopo????
What a shame!:
 
Yaani tangia twaweza waliposema hamupendwi na wenye uelewa na wasomi mnataka kuwapumbaza hawa wadogo zetu kwa kuwaongopea mtawapa mikopo wakati ni haki yao kikatiba kupata elimu mlaaniwe ccm
Haki ya kupata elimu na haki ya kupata mkopo ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Chama%20Cha%20Mapinduzi.jpg

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wake, Humphrey Polepole kimetangaza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wamekosa mikopo ya kuendelea na masomo na wanafunzi ambao ni yatima.

Taarifa iliyotolewa na Polepole inasema kuwa wanafunzi hao wanapswa kufika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili waweze kusaidiwa shida zao hizo za mikopo, jambo ambalo limepokewa tofauti na baadhi ya watu wakidai kuwa suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi ni jukumu la bodi ya mikopo.

Taarifa.jpg

Kutokana na mitazamo ya watu kuwa tofauti katika jambo hili, Humphery Polepole aliibuka na kusema kuwa upinzani wa Tanzania ni mtihani mkubwa kwani wanapojaribu kutatua matatizo ya watu wanakujua juu na wasipotatua matatizo pia wanakuja juu.

"Tukikaa kimya kwa shida za watu inakuwa tatizo, tukishughulika na shida za watu inakuwa tatizo kubwa. Huu upinzani mtihani" alisema Polepole
programmer95 umetoka kula ban la muda mrefu,sasa umerejea!Unaandika na kujijibu!
 
Serikali ikose fedha halafu chama kiwe na fedha?????
Serikali gani ya wanyonge inawanyima wasio na uwezo na yatima mkopo????
What a shame!:
Kipi Cha Ajabu Serikali wakati Inasoma Budget kuna Maneno Waziri anasema Deni La Ndani. Ambapo unakuta wamekopa NSSF mbona huwa Uhoji kuwa Serikali haina fedha lakini NSSF ina fedha
 
Back
Top Bottom