Chama Cha Malaya?

Status
Not open for further replies.
Ushwari wa ndani ya CCM, unakuwaje ishu ya taifa? Hivi CCM inatakiwa kuwa na ushwari upi huo baada ya kumaliza uchaguzi juzi bila matatizo, hivi ushwari unatakiwa uwe wa aina gani zaidi ya wananchi kuweza kukutana chini ya chama chao na kufanya uchaguzi mzito wa kujiongoza as mujibu wa sheria ya nchi yetu?


FMES

Ni umalaya huo huo wa kisiasa kusema kwamba uchaguzi uliisha bila matatizo wakati wapo waliolalamikia rushwa, kura za itifaki nk. Na pengine umalaya huo unatokana na wachache kuhongwa vyeo vidogo vya ujumbe wa kamati baada ya kunyimwa ukuu ambao walidhani wanastahili. Na kubadili huku misimamo ni ushahidi wa umalaya huo. Kulalamika kwa ndani, kusifia kwa nje. Ni Chama Cha Malaya?

Asha
 
ccm itasimama imara achilia mbali na matusi wanayomwagiwa, ccm itatenda haki na kamwe haitosubiri shukrani zenu !
so wewe uliyeanzisha hii mada, endelea hivyo hivyo !

ama kweli ukipenda chongo utaita kengeza hata hili ndugu yangu washabikia na kuunga mkono??mhm sasa naanza kuingia na wasi wasi na hiki chamachenu maana yaonyesha ka hamjachezewa akili basi kuna madwa mmepewa....
bado kijana wenu mwana ccm kuitwa ikulu na huyo mal**a wenu mkuu basi mje msherehekee ushindi...na bonge la party la kumpongeza millions of fweza za madafu to b spent..halafu watu kijijini wakiomba tu laki kadhaa wajenge kisima...wataambiwa mpaka wawekezaji waje from mars maana wa europe washaishaa
shame on u kuunga mkono n shame on chama chenu kushadadia mambo kama hayoo..
 
napia napenda nieleweke sio kwamba siungi uzalendo wa mtanzania mwenzetu kuongeza hela in circulation bongo ila tuuu hilo la chama as chama kusimama na kusema eti ni kutokana na malezi yao mazurii ndiyo maana kijana kashinda hapo tuu siungi mkono wala mguu..ni ujinga huoo hope aliyesimama kuwakilisha chama anajutia maneno yake...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom