Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,131
- 44
Moderator, usichanganye thread hii na ile nyingine ya Burudani ya Richard- hii ni SIASA kabisa.
WanaCCM wenye maadili naowaombeni radhi, msinilaumu- kosa ni letu kukubali kuongozwa na Malaya.
Spana ikifungua kokote huitwa Spana Malaya, Mwanamke au Mwanaume akifanya ngono ovyo ovyo huitwa Malaya, CCM kwa kuwa na viongozi wanaopenda kudandia matukio kujipatia umaarufu wa kisiasa ni vyema kikaitwa Chama Cha Malaya(CCM).
Hivi Chiligati Waziri wa Vijana na Katibu wa Uenezi CCM anataka tuamini kwamba ushindi wa CCM ni sera ya malezi ya Vijana ya Chama Cha Malaya(CCM)?
Na huu Umoja wa Vijana wa Chama Cha Malaya(UVCCM) nao umesahau kabisa misingi ya TANU Youth League(TYL)? Nakumbuka enzi zetu umalaya uliadhibiwa kwa bakora leo unaenziwa kama ushujaa!
Hebu msome hapa:
Kati ya waliokuwa wa kwanza kumtumia salamu za pongezi ni CCM, ambacho Katibu wake wa NEC (Itikadi na Uenezi), Kapteni Mstaafu John Chiligati alimpongeza Richard kwa ushindi huo.
"Chama Cha Mapinduzi kinauona ushindi huo kuwa ni ushindi wa Watanzania wote. hali hii inatokana na malezi mazuri wanayopewa vijana wa Tanzania hasa kwa kuzingatia sera nzuri za Chama Cha Mapinduzi kuhusu vijana," inasema taarifa yake kwa vyombo vya habari.
Umoja wa Vijana wa CCM pia umeandaa mapokezi makubwa ya shujaa huyo wa BBA ll.
Chanzo: http://www.mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=2886
Chiligati, unakubali Makamba akufanye nawe uonekane Malaya?
Dada Asha