Chama Cha Labour Cha Uingereza chaipongeza Serikali ya Magufuli

Chama Cha Labour Cha Uingereza chaipongeza Serikali ya Magufuli

Trump2

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,553
Reaction score
2,610
Chama cha Labour cha nchini Uingereza kimepongeza juhudi za Rais Magufuli na Serikali yake kwa utendaji mzuri katika kulinda na kugawanya rasilimali kwa watu wake.

dar.jpg

Source: DarMpya
 
Chama cha Labour cha nchini Uingereza kimepongeza juhudi za Rais Magufuli na Serikali yake kwa utendaji mzuri katika kulinda na kugawanya rasilimali kwa watu wake.

View attachment 628575

Source: DarMpya
Swali langu kuu kabisa ni je!? Kwanini pongezi zimekuwa muhimu na zinatafutwa kokote zinakopatikana iwe kihalali ama isivyo kihalali kwa awamu hii??
 
Labour ni chama kinachounga mkono ushoga kwahiyo sishangai.
Naam! Conservative na Republicans ndio vyama sio haya ma-free masons. Ni aibu kupongezwa na Labour au Democrats.
 
Swali langu kuu kabisa ni je!? Kwanini pongezi zimekuwa muhimu na zinatafutwa kokote zinakopatikana iwe kihalali ama isivyo kihalali kwa awamu hii??
Zimelipiwa hizo Mkuu.
 
Sipati picha habari hii ingekuwa ni taarifa ya kuikosoa serikali ya JPM......TANAPA yangefurika hapa kwa maelfu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom