Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,517
- 1,869
Pongezi kwa anguko la uchumi?Wewe ni li chadema nini? Mbona hutaki pongezi kwa jpm?
Pongezi kwa anguko la uchumi?Wewe ni li chadema nini? Mbona hutaki pongezi kwa jpm?
Tanapa ni jina la taasisi thread nyingi unalitumia tafadhali si sahihi ni sawa na kusema TCRA...TRA..NSSF etc kua makini and matureHabari mbaya kwa TANAPA!!
Hata Democrats ya Obama inaunga mkono ushoga na ugaidi. Na ndio wafadhili wakubwa wa UKAWAWakipongeza sio mapebari, wezi, waongo na dhulumati au sio?
Vise vers its true wangekuwa wamemkosoa baacichaa na mange wangekesha kutwa kushangilia na kusema wenye akili zao wameshamuona hafai ila kwa hii habari ni kaa LA moto kwao hahahahaha JPM endelea kufanya kazi kwaajili ya waTanzania achana na watoto mayai hawa na hakuna kuwaita Ikulu kuwagawia juice na bahasha za kaki....Na maccm yangetokwa povu kuwatukana hao wazungu matusi yote!
wivu wa kike huu ..marekani wanaunga mkono ushoga so nchi ambazo haziungi mkono ushogo zisi associate na marekani in any way?! hahahahaha imekuuma eeeh wenye akili zao hao Sasha comment katafute na wewe habari za kumkosoa kama mnavofanya na yule mange wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Weka PichaHata Democrats ya Obama inaunga mkono ushoga na ugaidi. Na ndio wafadhili wakubwa wa UKAWA
kwa nn nyie baavichaa mnahaingaika na mange kutafuta habari za kumtukana Rais wa waTanzania ?? mpaka mnatunga za CNN wakati trump alishawaambia CNN. ni fake news !! juzi mmeshngilia fake news ya Kenya jubilee why ? go to hellSwali langu kuu kabisa ni je!? Kwanini pongezi zimekuwa muhimu na zinatafutwa kokote zinakopatikana iwe kihalali ama isivyo kihalali kwa awamu hii??
duh! mbona umeniquote kwa hasira hivyowivu wa kike huu ..marekani wanaunga mkono ushoga so nchi ambazo haziungi mkono ushogo zisi associate na marekani in any way?! hahahahaha imekuuma eeeh wenye akili zao hao Sasha comment katafute na wewe habari za kumkosoa kama mnavofanya na yule mange wenu
Bahati njema ni kuwa katika matamko yVise vers its true wangekuwa wamemkosoa baacichaa na mange wangekesha kutwa kushangilia na kusema wenye akili zao wameshamuona hafai ila kwa hii habari ni kaa LA moto kwao hahahahaha JPM endelea kufanya kazi kwaajili ya waTanzania achana na watoto mayai hawa na hakuna kuwaita Ikulu kuwagawia juice na bahasha za kaki....
Anguko la uchumi kwa takwimu za kupika?Pongezi kwa anguko la uchumi?
Maudhui ya swali umeielewa ? Na ndio hiyo ninayo hitaji ijibiwe.Wewe ni li chadema nini? Mbona hutaki pongezi kwa jpm?