Njaa ni kitu kibaya sana!!! Kwa hiyo hapa malipo yako ni kiasi gani kwa leo?????!!!!! Kama huridhiki kwa nini usiende mahakamani? Povu la nini hapa???!!!
Natamani sana mleta mada ungetuambia baada ya uchambuzi wako nini kifanyike, wananchi waisuse chadema na kurudi ccm au tuiache ccm iendelee kuuza twiga wetu nje ya nchi na kugawana rasilimali zetu?
CHADEMA ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya ulaghai. Chama kama hiki mtu yeyote atakayetaka kukiunga mkono kwa hoja anajikuta anakwazika.
Hii imesababisha CHADEMA kuungwa mkono zaidi na makundi mawili ya watanzania:
1. wale ambao ni bendera fuata upepo.
2. wale wenye malengo ya kupanda haraka na kwa urahisi kwenye arena za kisiasa za kitaifa.
(...)
4. Taarifa za Josephine Mushumbusi kulipwa mamilioni ya shilingi za chama kwa kazi anayoiita ya kujitolea. Wadau walihoji kuwa na wao wangependa kujitolea kwenye shughuli za chama ili walipwe hayo mamilioni. Ilidhihirika kuwa Josephine alipata fursa hiyo kwa upendeleo.
6. Kumekuwa na taarifa za matumizi mabaya ya pesa ...
7. Katibu Mkuu wa CHADEMA ni miongoni mwa washutumiwa wa ufisadi wa mamilioni ya pesa za mradi wa maji wa Karatu.
8. Viti Maalum vya ubunge vimetolewa kwa upendeleo ....Ubunge wa viti maalum kutokana na "kufahamiana" na mwenyekiti wa chama. Hili limewavunja moyo wengi walioanza kuiamini chadema.
11. Hesabu za pesa ... imekuwa ni jambo la siri kubwa ndani ya CHADEMA.
mimi nashangaa aina ya watu kama wewe, na mada dhaifu mnazozipost humu.
vyama vya upinzani na wanaharakati wanakisakama chama cha mapinduzi na serikali yake kwa kuwa ndo chama tawala, chenye dola na kinashindwa kuongoza nchi ili wakiangushe wakae wao madarakani, na wakosoaji wanajipambanua dhahiri kwa misimamo na malengo yao
ni vema basi unapoandika tuweke wazi wewe ni nani, je ni mtanzania mzalendo, ni mwanaCCM,masalia PM7, mwanaCHADEMA, au mwanaharakati???, na je katika maandiko yako, unakejeli??,unaponda?? unakebehi??,unashutumu??, unatoa ushauri, angalizo, ili tuweweze kujadili
kwa mfano rahisi ukisema mimi ni Mwanchama wa Chadema, ninakerwa na mfumu huu wa uongozi wa chama. wasomaji tutajadili kwa mtazamo huo
au ukisema mimi ni mwana CCM, napingana na itakadi na sera za CHADEMA, tutakupa jibu stahiki
sasa unataka tujadili nini??? tuseme ndiyo au hapana??? au unatoa taarifa tu??? kama ni taarifa ili iweje?? na nini kifanyike. vinginevyo unatupotezea muda kuna issues za msingi za kujadili,
- nchi haina umeme wa uhakika,
- huku ubungo hatuna maji,
- wadogo zetu 95% wamefeli,
- kuna chuo cha ugaidi ukerewe
- kuna vikundi vya uharamia vinavyofadhiliwa na ikulu kudhuru wapinzani
Mkuu wewe ndiyo umeelewa vibaya sentesi inavyobainisha, jaribu kuisoma vizuri tena, utaelewa ina maana gani.Sitaki kuamini si yumo humu, aje athibitishe kama ni kweli.
Nijuavyo mimi kujitoa kwake ni kwa sababu ya Mafanikio ya SERA za MACCM na ndivyo alivyotuambia hapa JF sasa haya mengine ni tuhuma za uongo sio vizuri kumfanya mwenzio aonekane ni mwenye tamaa na uroho.
Ina maaana huko kwa MACCM mmempa tenda gani?
Chris Lukosi amekuwa akishutumiwa kuwa sababu ya kujitoa kwake chadema ni kunyimwa tenda hii,
Hili ni Jukwaa la Siasa mkuu Hiroshima, kama hauna hoja kaa kimya.
Kitendo cha wewe kuishabikia CHADEMA tayari umeshaonyesha upungufu wa akili kichwani mwako kwahiyo usitake kutudhihirishia upunguani wako.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
We niweke kwenye kundi lolote unalopenda kwa upeo wako lakini ukweli ni kwamba siasa za majitaka kwa Tanzania ya sasa hazina nafasi kabisa. Huwezi wewe na wenzio Shonza na Mwampamba kuniambia Dr Slaa ni mtu mbaya, wakati huo huo mko kwenye CHAMA KIMOJA NA CHENGE NA ROSTAM. Haiingii na haitaingi kwenye akili ya Mtanzania yeyote kuwa watu kama akina Chenge au Riziwani Kikwete wamepata utajiri wa kihalali na sisi tuunge mkono chama chao cha Mapinduzi. Labda mtawapata walevi tu kuamini itikadi yenu
Mkuu [MENTION]Ommunist[/MENTION] tujuze juu ya hiyo kitu ardhi nani amewalaghai hao watu. Maana tunaambiwa ni CDM hapa.Katika hali isiyotarajiwa Leo katika kijiji cha Kasharara Kata Karambi Jimbo la Muleba Kusini wananchi zaidi ya 100 wamekabidhi kadi za CCM mbele ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ndugu Mhaji pamoja na Katibu wake Wilbroad Msafiri.
Viongozi hao walikuwa wameenda kusuruhisha mgogoro wa ardhi ambao unanuka harufu ya UFISADI lakini wakakumbana na guvu ya umma na kuambulia kurudi na rundo la kadi za wanachama waliochoka kuona maisha bora kwa kila Mtanzania yakiwa yameandikwa tu nyuma ya tisheti zao huku wao wakiendelea kupigika.
Mkuu mbona unataka kulinyima jukwaa fursa ya kujadili mambo? Yaani ulitaka ZeMarcopolo aende kuwatafuta wanachama wa CHADEMA mitaani na kuwaambia hayo? Nadhani hapa kuna wana CHADEMA ambao wanaweza kutusaidia kujibu huu "upuuzi" wa mtoa hoja.Ni upuuzi kujihusisha na hoja za kipuuzi kwa sababu wapuuzi wanatafuta wapuuzi wenzao kuchangia michango yao ya kipuuzi. Mfano tujiulize; huyu ZeMarcpolo anataka kufanikisha nini wakati yeye yuko kwenye chama chake kisicho cha kilaghai?
Mfano mwingine kuhusu hii hoja ingekuwa busara kwenda kwa wananchi hususan wanachama wa Chadema na kuwatahadhalisha kuhusu ulaghai wa hiki chama.
Mfano mwingine, hata kama ni mkakati wa CCM hapa jukwaani kutoa hoja mbadala kuiathiri CDM; hoja zilizopewa nahau ya "ulaghai" zinaishia kupingwa kwa nguvu zaidi kwa sababu lengo na mtoa hoja na hoja zake anajulikana amekengeuka kwa sababu anazozijua.
NI UPUUZI KUJIBU HOJA YA KIPUUZA lakini nifanyeje
ZeMarcopolo,
Wote nyie wababahishaji, kama wewe siyo mbabahishaji lete hoja zenye mashiko.
Ngoja nikukumbushe: Watanzania hatuhangalii nani anasema upuuzi gani, tunataka kuaminishwa huduma bora za jamii, Elimu, Afya na upatikanaji wa maji na umeme wa uhakika. Hatuitaji barabara mnazozizungumza kila siku bila haibu,nani anasafiri?
Tunataka reli yetu irudi kwa uhakika.
Hata haibu hamuoni, barabara hazina viwango wala hazivutii. Nenda Kenya uliza barabara mpya ziko wapi, utapenda na kuvutiwa. Siyo ninyi propaganda kila kukicha.
CHADEMA ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya ulaghai. Chama kama hiki mtu yeyote atakayetaka kukiunga mkono kwa hoja anajikuta anakwazika.
Hii imesababisha CHADEMA kuungwa mkono zaidi na makundi mawili ya watanzania:
1. wale ambao ni bendera fuata upepo.
2. wale wenye malengo ya kupanda haraka na kwa urahisi kwenye arena za kisiasa za kitaifa.
Nitayachambua makundi haya mawili kama ifuatavyo:
1. Wale ambao ni bendera fuata upepo. Katika kundi hili kuna watu wa aina tatu:
i) Wale ambao wamedanganyika na propaganda kuwa chadema ni chama cha kikabila au cha kikanda na kwa vile wao wanatoka kwenye kanda hizo basi wanajisikia ukaribu zaidi na chadema. Hapa utaona kuwa propaganda za kukichafua chama kuwa ni cha kikabila au cha kikanda kimeweza kuwaongezea chadema nguvu katika maeneo inayoshutumiwa kuyapendelea.
ii)Wale ambao wamelaghaika na propaganda za kuwa chadema ni chama cha udini. Kuna waumini wengi wameviunga mkono vyama vya chadema na CUF kwa sababu tu wamekuwa wakisikia kuwa vyama hivyo vinashabiiana na dini zao. Hawa ni bendera fuata upepo ambao hawachuji ukweli wa taarifa na hawajiulizi chama kinaweza kuwanufaishi vipi kama waumini wa dini husika.
iii)Kundi la tatu katika bendera fuata upepo ni vijana ambao wanaona kuwa chadema ni kama fashion. Ukikaa nao chini vijana hawa kuwauliza kwanini wanaiunga mkono chadema hawana lolote la kuongea. Mfano wa watu waliomo kwenye kundi hili ni members wa jamiiforums ambao hurusha matusi kwa kila mtu anayehoji jambo juu ya chadema.
10. CHADEMA kukanusha kauli ya Nape kuwa wanapewa msaada na chama cha siasa cha Ujerumani, baadae ikadhihirika kuwa ni kweli wanapokea msaada huo. Hii imedhihirisha kuwa CHADEMA sio wawazi katika utendaji wao. Wadau wanajiuliza chama hicho cha siasa kinataka nini Tanzania mpaka kikipinge chama kilichoasisiwa na wapigania Uhuru na kutaka chadema iingie madarakani? Ikumbukwe kuwa muasisi wa CHADEMA Mzee Mtei, alikataa kushiriki harakati za kupigania uhuru na pia alikataa kujitolea kuijenga nchi baada ya Uhuru.
11. Hesabu za pesa zinazochangwa na walalahoi kwa ajili ya M4C imekuwa ni jambo la siri kubwa ndani ya CHADEMA.
Akiliyako imeishia hapo katika kufikilia sitakulaumu hata kidogo ila unamatatizo makubwa hivi umejitahidi kuangalia nyumba ya jiran yako ikifuka moshi kumbe ya kwako inaungua moto, upende usipende chadema ndiyo kimbilio na tumaini la ukombozi kwa tanzania.
Hivi ufisadi unaofanywa na makada wa ccm kaika nchi hii huuoni
EPA, RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, RADA, NA MIKATABA MIBOVU YA LASILIMALI ZETU NA WAWEKEZAJI AMBAYO HUTUONGEZEA UMASIKINI NA UTEGEMEZI hivi vyote huoni amakweli Nyani haoni kundule.
Tunapoludi ktika swala la upendeleo hv ww ulitaka apewe nani hivyo viti maalumu, huko kwenu huoni wewe nahisi ni mwehu kabisaa. Hebu jaribu kuichunguza NEC imejaa familia za watawala akiwepo raisi wa sasa na wastaafu wewe ni mwehu kwelikweli.
Wewe nazidi kusema ni mwehu kwa sababu, pamoja na kujitoa ufahamu najua kabisa ukirudi nyumbani na kutafakali hii serikali ya ccm na mr dhaifu unaona kabisa tunakoelekea siko na siku moja nchi itapigwa mnada kwa kushindwa kulipa madeni ambayo hayakuwa na tija ila kwa udhaifu wa serikali ya ccm tumeshindwa kukusanya kodi kwa wafanya biashara na kuwatafuta kodi kwa bodaboda na mama ntilie na kuacha makada wa ccm wakifa nya biashara bila kulipa kodi.
Ww ni mwehu kwa sababu hapo ulipo unasubilia 2015 ifike ndo uanzekufanyishwa kazi ya kuwarubuni wanachi kwa rushwa ili mgombea wenu apite halafu watakuacha mpaka 2020 ndio watakukumbuka tena wakati huu watoto wako na watoto wa ndugu zako wakipata elimu mbovu kwenye shule za kata. mama yako na bibi yako wakatihuo hawapati huduma za afya kule kijijini kwenu Pesa za huduma hizo uliyempigia debe kamua kuzipeleka ususi. Nazidi kukuona mwehu wa kutupwa (first class fara)