Chama cha Kilaghai Tanzania...

Hiki chama kimejaa mafisadi wengi sana. Chakushangaza tumewafukuza huku ccm kwakuwa walitenda ufisadi wa kutisha wamekimbilia chadema na kuwa wasafi. Hiki chama ni kichafu na hakisafishiki.

Asante sana!!
 
Hoja dhaifu! Watanzania wanaelewa kila kitu ww jidanganye hakuna cha kuzuia CDM Kuchukua dola 2015 na watanzania hawako tayari kusubiri tena miaka 20+ kujenga chama mbadala wa ccm.
 
michango ya m4c moro ilitngazwa siku y mkutano na ilitolewa kama rambirambi kwa akw familia ya ally zona aliyeuawa siku hiyo kwa kuongezea na pesa waliotoakm chama' naomba niwe nimejibu hapo
 
Hoja dhaifu! Watanzania wanaelewa kila kitu ww jidanganye hakuna cha kuzuia CDM Kuchukua dola 2015 na watanzania hawako tayari kusubiri tena miaka 20+ kujenga chama mbadala wa ccm.

Nchi gani mnaitaka? Muongoze kwa kutumia chopa
 
We kilaza kweli ndio maana uchumi unadolola maana unakalili nimesoma tax acts zote na situmii hesabu za vilaza waliokimbia hesabu wewe! Nimetumia random process wewe!! Kujua exactly figures!! Walio soma telecom wanaelewa!!
Hakuna random process bila sample space; jibu hoja kwa hoja acha kuwa hysterical kama mwanamke aliyeko labor word. Kama mimi nimekimbia hesabu hebu tukutane hapa Home ujionee ninavyotisha kwa derivations rediscovered za hadi kina EINSTEIN, GALILEO, GAUSS, etc; mradi usiwe mvivu wa kusoma cv yangu yote iko pale mzee. Hiyo telecom yako ni ipi ile ya kusafirisha vifurushi au hii ya electrical ninayofundisha?
 

Sample space lol! Hope hujui unalolisema difinition ya random process huijui!! Na wala sample space hujui na taxes acts hujasoma! Na difinition ya hesabu hujui! Na wanafunzi unaofundisha ndio maana wahindi wanachukua nafasi zao kwenye private companies! Rudi kaaanza engineering mathematics 1,2,3&4 alafu nitakuwa nakufundisha na wasiwasi na chuo ulichosoma! Maanna mtu akisoma telecom sahihi ni china na india or ulaya Sijui wewe umesomea wapi! Usiniambie umesoma chuo cha nyuki! Nitakutukana!!
 
Hoja dhaifu! Watanzania wanaelewa kila kitu ww jidanganye hakuna cha kuzuia CDM Kuchukua dola 2015 na watanzania hawako tayari kusubiri tena miaka 20+ kujenga chama mbadala wa ccm.

Tatizo ni matumizi mabaya ya chama je tukiwapa hazina itakuwaje???
 
michango ya m4c moro ilitngazwa siku y mkutano na ilitolewa kama rambirambi kwa akw familia ya ally zona aliyeuawa siku hiyo kwa kuongezea na pesa waliotoakm chama' naomba niwe nimejibu hapo

M4 michango ya njia Ya SMS je? Ilikuwa shilingi ngapi!!
 
kwa hiyo chadema ndio itawaongezea mshahara hao wafanyakazi mkuu, kama mshahara mdogo kwa nini hawaachi kazi?

rafiki kuna kipindi serikali yako ya CCM iliongeza mshahara ikasema kima cha chini ni shilling 120,000Tshs lakini kuna viwanda vinavyomilikiwa na waindi vyenye wafanyakazi zaidi ya mia tano vikawa vinawalipa wafanyakazi wake 80,000Tshs , wafanyakzi wakagoma and waliogoma kutafuta haki walifukuzwa

LOGICAL QNS
wewe ni mtanzania .............................if yes............................

kima cha chini cha mtanzania shilingi ngapi.................................

mwalimu wa shule ya msingi anapokea shilingi ngapi......................

Nenda kwenye viwanda vya waindi uliza casual labour wanalipwa shilingi ngapi

na walinzi kwenye makampuni ya ulinzi wanapokea shilingi ngapi


bro inch yako inaishi kwa kodi ya mwananchi

forexample

nalipa kama asilimia 28 to 30% ya mshahara wange kwenye PAYE

na bado kwa kila nachoenda kunua nailpia 18% as VAT kwenye simu na mengine mengi lakini kaka kuna watu wanasamewa kodi kweny inchi

there project nying zimefanyika lakini paka leo am still contribute on their capital cost kwasababu ya mkataba mbovu

kenya wana 3000MGW za umeme sisi tuna megawati 800MGW and still tuko na proud ya chama cha jembe na nyundo


KAMA BADO BASI CCM IKO KWA DAMU UTABADILIKA PALE UNAPOONA NDUGU ZAKO WANALALA NJA WHILE WATU WANASAMEHEWA KODI
 
nashukuru kwa kunikusha ahadi za kiongozi wangu
 
 
Sasa mapovu ya nini mzee waache wenye akili wapitie website niliyotoa waamue wenyewe; hizo engineering maths nne ndio za huko china? sana sana ni EM1 na EM2 baaac huko mbele ni specializations ingawa watu wa electrical wanaendelea kushusha maloop integral kwa kwenda mbele. Mimi nashusha hoja wewe unarusha u.h.a.r.o wa moto akili ndogo bhana. Na hakuna random process bila kuwepo sample space mwenye akili anaweza hata ku google na kujiridhisha kuliko kusikiliza kelele za jogoo anayewika mchana kweupe
 

Namaanisha probability with time ni Radom process na Spacemen hapo zipo bei ya kunulia bei ya kuuza na bei ya VAT inclusive na time ni muda wakuza bidhaa na muda wa kupeleka return! Ngoja nisikupe PHD proposal bure! Nikuachie Hapo! Kumbuka Q+1/Q=1 sasa usiniulize bei ya bithaa


Sent from my iPhone
 
Q must be very large for that matter; sasa mbona unachomoa na kuingiza na kuchomoa tena? si ulikataa sample space? sasa mbona unarudi tena kwa kupitia dirishani? uwe mstaarabu bhana na definition ya random processes iko hapa: http://www.cc.gatech.edu/~lebanon/notes/RPdefinitions.pdf Neno SAMPLE SPACE utaliona bila shida au at least utalielewa kama kweli mwanahisabati sio m-bangaizaji wa kichina na veta
 

safi sana>>>elimu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…