Chama cha Kilaghai Tanzania...




Asante sana
 
Muuulize mwanachama wa chadema maana anatakwimu zote anaogopa kuZitoa maana atajulikana!!

Hakuna haki ya kuongea bila data; nimuulize mwanachama wa cdm mimi nawajulia wapi hao wanachama wa cdm? au kujibu huu uzi unaona mimi cdm mimi sio kabisa fatilia vizuri michango yangu mimi naangusha shoka kokote halafu unatakiwa ujibu swali huo ufisadi wa cdm ndio unarudisha nyuma maendeleo ya nchi? ndio unakalisha chini wanafunzi madawati hakuna? kwanini ukomalie vitu visivyokupunguzia shibe badala ya kupambana na yale ya wazi ya uporaji wa rasilimali za nchi?
 
Sijui kwanini hii dhambi ya ufisadi ipo kila kona!!! Sielewi chanzo!! Mnisaidie jamii forum

Chanzo cha maadili mabovu Chadema ni ukabila,udini,uzinzi na kupenda sana pesa kuliko utu na maslahi ya kitaifa.
 
Ukijiona wewe si Mchagga ndani ya CDM ujue umeingia choo cha kike,hata Arusha wanaosumbua ni Wachagga.Kwa Wachagga ukiwa wewe ni Mchagga alafu ni CCM wanakuona unapata Dhambi!!!!

Kale ka chadema, kameandaliwa maalum kwa wachaga, hata hao wanakaskazini wengine hawalijui hilo! Siku wakigundua ni too late!
 
Umeshapingilia huo umbea wako, weka paragraphs vizuri, acha nafasi kila inapobidi na appropriate punctuations then nitakujibu

Bado upo kwenye Elimu ya imla!! Kiswahili ni lugha tajiri sana na inakuwa kila kukicha na hii ndio style mpya ya kuandika bila kutumia tasihishi za zamani na hizi zinatumika hasa kwenye mitandao ya komputa sawa kijana!!!
 
INAWEZEKANA wala si la kushangaaa maana hata slaa akifukuzwa chadema ata rudi CCM

Na ndiko alikojuwa, aliponyimwa nafasi ya kugombea ndio akajiunga na saccos kwa mashariti magumu sana, sijui kama Mhe Mwenyekiti, Mbowe atamvumilia mara hii akikosa tena u rais!
 

INAWEZEKANA wala si la kushangaaa maana hata slaa akifukuzwa chadema ata rudi CCM

Kwani jengo makao makuu si Mali ya chama?
 
Hiki chama kimejaa mafisadi wengi sana. Chakushangaza tumewafukuza huku ccm kwakuwa walitenda ufisadi wa kutisha wamekimbilia chadema na kuwa wasafi. Hiki chama ni kichafu na hakisafishiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…