Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Unaposema kuna ambao wamedanganyika na kuhadaika na propaganda, bila shaka unalenga kutuambia kuwa kuna walaghai fulani walifanikiwa kufanya kazi ya kulaghai, na wadanganyifu fulani waliofanikiwa kudanganya.1. Wale ambao ni bendera fuata upepo. Katika kundi hili kuna watu wa aina tatu:
i) Wale ambao wamedanganyika na propaganda kuwa chadema ni chama cha kikabila au cha kikanda na kwa vile wao wanatoka kwenye kanda hizo basi wanajisikia ukaribu zaidi na chadema. Hapa utaona kuwa propaganda za kukichafua chama kuwa ni cha kikabila au cha kikanda kimeweza kuwaongezea chadema nguvu katika maeneo inayoshutumiwa kuyapendelea.
ii)Wale ambao wamelaghaika na propaganda za kuwa chadema ni chama cha udini. Kuna waumini wengi wameviunga mkono vyama vya chadema na CUF kwa sababu tu wamekuwa wakisikia kuwa vyama hivyo vinashabiiana na dini zao. Hawa ni bendera fuata upepo ambao hawachuji ukweli wa taarifa na hawajiulizi chama kinaweza kuwanufaishi vipi kama waumini wa dini husika.
Umeajiriwa na halmashauri gani?
Naomba ni inbox anuani yako tafadhali.
Asante sana kwa ushirikiano.
yes umeongelea sana mapungufu ya cdm na umekuwa ukifanya hivyo kila siku. Lakini ajabu ni kwamba hujawahi kulalamika kuhusu wananchi kukosa huduma bora za matibabu, umekuwa ukibeza juhudi za wabunge kama mh mnyika za kudai maji kwa wote, unachekacheka tu ukiambiwa akina mama wanalala wanne wanne wakati wa kujifungua. Hujaonyeshwa uchungu wala kuguswa na watoto 240,000 walopata div 0 na ambao future yao haijulikani na serikali haijasema lolote hadi sasa watoto hao watasaidiwa vipi kwa future yao na ya tanzania.
View attachment 86579
hujawatetea hawa watu, je watu hawa kuendelea kulala wengi wodini hadi kuambukizana magonjwa na wengine kufariki au kupoteza vichanga vyao ni jambo dogo kuliko jambo la dr slaa kujikopesha hizo fedha unazosema??
Je kukosekana huduma hospitali ni jambo dogo kuliko chadema kutokuwa na ofisi mpanda?? Kwa nini nyie masalia huwa hamuongelei matatizo halisi ya mtanzania? Ni kwa kuwa mmelipwa na ccm kuwasaliti watanzania wenzenu kwa kujaribu kuzuia ukombozi
Huu uzi umejibiwa kisomi na si Kinazi kama ulivyoletwa.
majibu ambayo yamemvua nguo mleta uzi
Kwani mtumishi wa umma lazima awe halmashauri!! Niko TANESCO!
Mtu wa Shamba,Unaposema kuna ambao wamedanganyika na kuhadaika na propaganda, bila shaka unalenga kutuambia kuwa kuna walaghai fulani walifanikiwa kufanya kazi ya kulaghai, na wadanganyifu fulani waliofanikiwa kudanganya.
Hao walaghai na wadanganyifu ni akina nani?
Kama wameweza kulaghai Watanzania kuwa Chadema ni chama cha kidini, na kudanganya watanzania kuwa Chadema ni chama cha kikabila, na wewe kila siku unaonekana kuwaunga mkono hao wadanganyifu na walaghai, ni nini kitatufanya tukuamini hata haya unayoandika kama si UDANGANYIFU na ULAGHAI?
Umevutwa nini kuwa upande wa wadanganyifu na walaghai?
Mkuu, mapendekezo yapo mengi tu. Chukua muda soma attachment niliyokuwekea utaona mapendekezo yenye mantiki.Solution pekee iliyopendekezwa na chadema kwenye hili ni kufanya maandamano!!!
Mkuu, mapendekezo yapo mengi tu. Chukua muda soma attachment niliyokuwekea utaona mapendekezo yenye mantiki.
Ndugu zangu wanachadema, nimefuatilia michango ya watu wengi sana ninaoamini ni mashabiki/wanachama wachadema lakini sijaona ukamilifu wa majibu ya hoja husika,
Hoja iliyombo kwaharaka ni kama ya kipumbavu vile lakini kwajicho la tatu inahitaji busara na umakini mkubwa wakuijibu.
Mwalimu wangu alinifunza kuwa hakuna upumbavu ulio upumbavu mtutupu.
Mimi bado natafakari nitakuja kujibu kama mwanachama wa chama makini cha chadema.
By ZeMarcopolo
1. Wale ambao ni bendera fuata upepo. Katika kundi hili kuna watu wa aina tatu:
i) Wale ambao wamedanganyika na propaganda kuwa chadema ni chama cha kikabila au cha kikanda na kwa vile wao wanatoka kwenye kanda hizo basi wanajisikia ukaribu zaidi na chadema. Hapa utaona kuwa propaganda za kukichafua chama kuwa ni cha kikabila au cha kikanda kimeweza kuwaongezea chadema nguvu katika maeneo inayoshutumiwa kuyapendelea.
ii)Wale ambao wamelaghaika na propaganda za kuwa chadema ni chama cha udini. Kuna waumini wengi wameviunga mkono vyama vya chadema na CUF kwa sababu tu wamekuwa wakisikia kuwa vyama hivyo vinashabiiana na dini zao. Hawa ni bendera fuata upepo ambao hawachuji ukweli wa taarifa na hawajiulizi chama kinaweza kuwanufaishi vipi kama waumini wa dini husika.
Unaposema kuna ambao wamedanganyika na kuhadaika na propaganda, bila shaka unalenga kutuambia kuwa kuna walaghai fulani walifanikiwa kufanya kazi ya kulaghai, na wadanganyifu fulani waliofanikiwa kudanganya.
Hao walaghai na wadanganyifu ni akina nani?
Kama wameweza kulaghai Watanzania kuwa Chadema ni chama cha kidini, na kudanganya watanzania kuwa Chadema ni chama cha kikabila, na wewe kila siku unaonekana kuwaunga mkono hao wadanganyifu na walaghai, ni nini kitatufanya tukuamini hata haya unayoandika kama si UDANGANYIFU na ULAGHAI?
Umevutwa nini kuwa upande wa wadanganyifu na walaghai?
Mkuu usikwepe hapa. Kuna swali la msingi sana.Mtu wa Shamba,
Unapoongea na watu makini inabidi ujipange na uwe mwangalifu na maneno yako.
Unaniuliza hao walaghai ni kina nani, halafu hapohapo unaniambia kuwa ninawaunga mkono walaghai.
Hapa unaonyesha kuwa unawafahamu hao walaghai mpaka ukafahamu kuwa mimi "nawaunga mkono kila siku". Basi tutajie ni kina nani hao walaghai.
Siku nyingine ukiwa na swali, uliza halafu usubiri jibu. Unaweza kujifunza mengi ukijenga tabia ya usikivu.
Matokeo ya Form IV ni symptom ya tatizo kubwa zaidi, ambalo ni mfumo wa Elimu. Kwenye bandiko hilo kuna uchambuzi wa udhaifu wa mfumo wa Elimu na mapendekezo ya namna ya kukabiliana nalo. Huwezi kuongelea matokeo ya Form IV bila kuchambua mfumo mzima wa Elimu Tanzania.Tunazungumzia matokeo ya form four 2012. File ulilotuma lina mambo yasiyohusiana na matokeo ya form four ya 2012.
Kilichopendekezwa na chadema kuhusu matokeo mabaya ya form four 2012 ni maandamano ambayo yamepangwa kufanyika tarehe 25 March Jumatatu siku ya kazi na masomo kwa wanafunzi.
Matokeo ya Form IV ni symptom ya tatizo kubwa zaidi, ambalo ni mfumo wa Elimu. Kwenye bandiko hilo kuna uchambuzi wa udhaifu wa mfumo wa Elimu na mapendekezo ya namna ya kukabiliana nalo. Huwezi kuongelea matokeo ya Form IV bila kuchambua mfumo mzima wa Elimu Tanzania.
Kwa nchi ya kidemokrasia, maandamano ni namna halali ya wananchi kueleza hisia zao za kuunga mkono au kupinga jambo fulani, na ni haki ya kikatiba. Katika nchi ya kidikteta ndipo maandamano huchukiwa na watawala iwapo yana lengo la kuwakosoa.
Njaa mbaya sana,kuandika ujinga huu wote posho haizidi buku mbili.
For the first time naona kamanda hajatokwa povu na kaamua kutumia busara zakeKwenye ukweli, uongo hujitenga...
Chadema pitieni para 11.
Pesa za M4C ambazo mnawachangisha walala hoi mbona imekuwa siri kubwa wafuasi wenu hawajui chochote watangazieni kiasi cha pesa mlichokusanya.