tendwa mbona bange alivuta siku nyingi tu na bado anaendelea kupiga msuba.mwalimu wangu wa uraia amewahi kuniambia maneno haya: "bangi ukivuta leo itakusumbua na kukuendesha miaka 20 ijayo".. Amini usiamini,.. Hapa tz kuna ofisi zinaendeshwa kwa nguvu ya bangi za miaka 20 iliyopita.
mkuu ze marco, kuwa bonafide genuine ni one thing!, addmissibility as evedence before the court of law is something else and establishing 'actus reus' na 'mens rea' is something else and finally proving beyond reasonable doubt is quite another! And its not that simple kama establishing the bonafide genuine kwa macho tuu!.
Pasco
Vijana inabidi watafute sehemu nyingine ya kujipatia viroba mapemaNi kweli inaweza kuwa ngumu de jure, lakini kwa vile chadema wamejimilikisha kesi binafsi ya Lwakatare kwahiyo de facto hukumu ya Lwakatare inakuwa hukumu ya chadema.
Chadema kitaonekana chama cha ajabu kuliko vyote duniani iwapo Lwakatare akikutwa na hatia wataamua kumkana. Kwahiyo mkanda ukishathibitika kisheria kuwa ni "bonafide genuine" basi chadema wanakuwa na kesi ya kujibu kama chama. Na hapo ndipo Tendwa atakuwa standby na kalamu yake nyekundu...
pumba kabisaItathibitika pasipo shaka, .......Wasalaam.
Pasco
Safarini Dodoma.
TUKO tatizo la
Ze Marcopolo ufahamu wake kuhusu MUNGU wa Mbinguni upo chini sana.anajua sana mipango ya shetani.Ndungu Ze Marcopolo hakuna watu waliopata taabu,shida,dhiki ,maumivu kama watu wa MUNGU.Fuatilia habari za Mitume na Manabii maisha yao na aina ya vifo walivyokufa katika vitabu vya MUNGU.Nakupa mfano mmoja tu kati ya mingi Wana wa Israeli walikaa utumwani misri kwa miaka 400.
kaka ni modern politics zipi unazozungumzia wewe? za kutengenezeana kesi za ughaidi? za matusi ya nguoni ndani ya vyombo vya kutunga sheria? hatujawahi kuona CCM ikihaha ku-deal na vyama vya msimu.Mtu yeyote atakayefurahia chadema kufutwa atakuwa haipendi nchi yetu. Lakini hii haimaanishi kuwa chadema ipewe licence ya kuvunja sheria zenye adhabu ya kufutwa. Kinachojadiliwa hapa ni iwapo chadema itakutwa na hatia ya kupanga na kutekeleza utekaji.
Halafu hii tabia ya wafuasi wa chadema kuonyesha kuwa Mungu kachagua chadema inaonyesha mapungufu makubwa sana kwenye fikra. Hii yote ni kutaka sympathy based on faith, jambo ambalo modern politics linalikataa kwa sababu ndio linalozaa wanasiasa desperate wanaotumia misingi ya imani kuomba kura. Mungu hana chama Tanzania, na hata angekuwa nacho kisingekuwa chadema. Chama cha Mungu hakiwezi kukaa miaka 21 kwenye upinzani.
Ndugu yangu Pasco
Sio kila apumuae ni mzima,
Ulishindwa kumhoji kama analo faili la usajili wa ccm?
Hivi msajili wa vyama kwa mujibu wa katiba ya nchi hii anaruhusiwa kujiunga na chama chochote cha siasa?Kauli hii, imetolewa leo na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji John Tendwa
Ni kweli inaweza kuwa ngumu de jure, lakini kwa vile chadema wamejimilikisha kesi binafsi ya Lwakatare kwahiyo de facto hukumu ya Lwakatare inakuwa hukumu ya chadema.
Chadema kitaonekana chama cha ajabu kuliko vyote duniani iwapo Lwakatare akikutwa na hatia wataamua kumkana. Kwahiyo mkanda ukishathibitika kisheria kuwa ni "bonafide genuine" basi chadema wanakuwa na kesi ya kujibu kama chama. Na hapo ndipo Tendwa atakuwa standby na kalamu yake nyekundu...