kwani kila mara unapoandika maneno ya uongo na matusi dhidi ya Chadema unapata nini? Unajiita Independent thinker lakini kazi yako ni kuiandama Chadema tu.Mbona huandami ccm,nccr,udp,tlp,cuf,updp au chausta.Ndio maana hata hao wasio member wanakupuuza kwa sababu wanajua kila post yako ni kutukana,kukejeli na kukashifu chadema.Huna kazi nyingine.Pole sana!
Kwa ufupi msimamo wa chadema ni huu hapa
"Wanaunga Mkono USENG..
wee mdini upo? Bakwata wameshatoa tamko kuhusu mgogoro wa Chadema na OCD Zuberi Mwombeji?
Kumbe tayari majibu mnayo sasa kinachowahangaisha kitu gani muwasho?.Kwa ufupi msimamo wa chadema ni huu hapa
"Wanaunga Mkono USENG..
Kwa ufupi "Chadema wanaunga mkono useng.."
Kama ni mwana cdm bisha..
Usitake kuuteka umma wa watanzania kwa hoja dhaifu, kauli ya waziri mkuu wa uingereza ilikuwa inawakilisha maoni ya serikali na si chama kama unavyotaka tuamini.Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Issue ndogo sana hii wala haiwezi kuumiza kichwa makamanda. Majibu ya chadema juu ya kitu kama hiki kila mmoja anaweza kuyatabiri hata kabla hawajaja hapa kutamka. chadema hamna mkurupukaji wala Hawafanyi siasa za kubahatisha kama za ccm. They are very honest and transparent to everything na wala hawamuogopi mtu wala kubembeleza kama ccm. Kama unataka kujua kuwa hawabembelezi na wala hawaogopi mtu kawaulize akina Rasta kule Arusha.
Chadema siyo CCM inayobembeleza watu kama inavyofanya kwa mafisadi wake. CCM ndo wangepata Shida kwenye issue kama hii maana Si wakweli na hubembeleza watu hata kama ni wachafu.
Kimsingi hatunasababu ya kuwa na hofu na cdm juu ya kitu kama hiki maana hiki ni chama cha maslahi ya watanzania waliowengi na msimamo wa waliowengi katika katika issue hii ndiyo msimamo wa cdm bila hata chenga kama za membe.
Kumbe tayari majibu mnayo sasa kinachowahangaisha kitu gani muwasho?.
Unazungumzia Kuhusu Lema.
Na kama ni ni Hivyo basi jua kuwa Chadema Washatoa Tayari, Mbowe alishaongea Pia Dr. Slaa. Zitto Ni mgonjwa asingeweza kuongelea. Geita na sehemu zingine wanatoa kuongeza nguvu.
Na wakati mwingine ujue kuna mgawanyo wa majukumu
Chadema kama chama makini hakuna tatizo kuwa rafiki na chama kinachotetea haki za mashoga?
Samahani mkuu!
Normally i do not argue with people of your mental thinness but this time and I hope only this time I'll go against that rule.
* how far have you gone academically??? kila wakati ninaposoma(kwa bahati mbaya!!) threads zako hili ni swali ninalojiuliza. Mimi ninafahamu vijana wa 1996/7 ambao wako FI/II ambao wanaandika kiswahili kinachoeleweka kuliko wewe. Umeishia darasa la ngapi mkuu???
Unajua often times uwezo wa kufikiri ni directly proportional na shule yako ndio maana ninakuuliza hilo swali.
Kabla Dr Slaa hajajibu mimi ninafikiri anayepaswa kuongea ni Kikwete na atoe tamko la kuikataa misaada yote inayotoka ktk serikali ya UK halafu baada ya hapo utakuwa na haki ya kuhitaji hata tamko la CHADEMA. Najua hilo haulioni simply because you can't fly that high,can you???