Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

Wewe nimekuzoea, najua tatizo hapo lugha, hata hujasoma unasaburilise. Wenzako wanasoma ili wajifunze kitu, mwambie Sugu akufafanulie kama anaweza manake najua yeye mzee wa ya ya, u u, hapo hapo, pale pale . full kufyatuka.

hivi huu ujinga utaendelea mpaka lini humu JF

mods ile kazi ya screening vipi
 
Magamba presha inapanda, Presha inashuka, Presha inapanda, Presha inashuka.....

Kama mna ubavu fukuzeni balozi wa Uingereza na mfunge ubalozi wao!
 
Well udugu wa Tanzania nna Uingereza ambayo David Cameron ni kiongozi wa nchi upo siku nyingi sana,na balozi wake hapa nchini ni mkaazi maalum, na Cameron alizungumza kama nchi na siyo Chama! Sijaona balozi wa Conservative(Tories) hapa kuwakilisha chama chake kwa CDM, hoja zao hawa magamba (shllow)zinadaiwa wanatumwa kama mashoga vile wanavyofanywa! mara uislamu/udini pigwa chini halafu mnakuja na upumbavu huu hapa!
 
Dalili nimeishaziona suala la ushoga Tanzana halina tatizo watu wengi wanaonekana wanapenda ushoga..
Kama kiongozi wa chama unasema ushoga hauna tatizo tunaongelea mambo ya msingi, hivi kweli ushoga sio mamba ya msingi?
 
Tanzania ilikuwa koloni la Uingereza bado mda sio mrefu humu jamvini kuna thread iliandika tawi la ccm Uingereza wafanya ufisadi wa pound laki mbili na nusu hivo huko kuna tawi la ccm
 

Mwaka huu kazi ipo. Naona wapaka Rangi makaburi wanazidi kuongezeka kila kukicha. Hivi Marumaru inasaidia nini kwenye kaburi??
 
Pia Nape alikuwa marekani sijui atakuwa amepita huko kufungua matawi maana Ameamua kufungua matawi nje ya TZ.
 
Magamba mtahangaika weee chadema inazidi kuwatia presha tuu.
Tafuteni kila aina ya msemo chadema iko palepale.
 
CDM inawanyima usingizi, yaani hamlli hamlali bila kuiongelea CDM, sasa itoe tamko kwani yenyewe ina dora, inakusanya ushuru? Think big, hata hivyo Malaya au mwizi akipeleka sadaka yake kanisani au msikitini haimfanya Padre/Mchungaji au Shekhe kuwa malaya au mwizi!
 
Wewe nimekuzoea, najua tatizo hapo lugha, hata hujasoma unasaburilise. Wenzako wanasoma ili wajifunze kitu, mwambie Sugu akufafanulie kama anaweza manake najua yeye mzee wa ya ya, u u, hapo hapo, pale pale . full kufyatuka.

Naona Posho zinafanya kazi.
 
crapppppppppppppppppppppppppp

Peleka kwa majirani zako wanajua kizungu wakuelezee hii habari ina maana gani sio kuona neno katholic masabuli yanawasha.
 
Hii habari ya Jim Murphy/scot/cameroon nimeshindwa ku-ilink na CHADEMA.
Labda nisome tena.
Ipo tafsiri yake?
 
Mkuu shukran sana kwani watu wanachanganya sana vitu bila kujua..Yaani ni vioja vitupu...
Conservative wanapinga Ushoga siku zote na sehemu zote kwa kufuata maadili yao wakati Liberal ndio walohalalisha Ushoga huko Uingereza na kuifanya kuwa sheria baada ya Bill kupitishwa.. Na imekuwa sheria ya nchi kutokana na wawakilishi wengi wa Liberal kuwezesha kupatikana kwa kura nyingi zaidi na hivyo Cameron hawezi kupinga leo Ushoga wakati sheria ya nchi yake inamlazimisha kuukubali. Na kama sikosei Ushoga wa wanawake haukuwa illegal UK, hivyo hata utunzi wa sheria hii ulihusu zaidi Ushoga wa jinsia moja ya kiume..

Sasa labda niwaulize nyie Liberal na CCM yenu ambao leo mnaupinga Ushoga hali mkiwa Liberal na hao Chadema Conservative wanaupinga imekuwaje?..Membe na CCM mko upande gani maanake mna wabunge zaidi ya 2/3 mnaweza kabisa kuupitisha na kuwa sheria! Lakini badala yake mmekuwa wakali kupita kiasi, ghafla mnageuka na kuwa conservative!
 
Soma yafuatayo upate ukweli

Uingereza inapunguza misaada kwa Tanzania kutokana na tathmini ya haki za binadamu ambazo Tanzania imerithia. Matukio mengi yametokea tangu uchaguzi wa mwakajana ambayo yamekiuka haki za binadamu ikiwa ni pamoja na mauaji, kubambikiza kesi wanasiana na kudhulumu na kuwaua wananchi bila sababu za msingi. Kama kutupa majeneza ya watu waliowaua barabarani na serikali hadi leo kutotoa tamko wala kufanya chochote. kuzuia jambo hilo, na mtoto wa mkulima kutamka bungeni kwamba serikali itachukulia hatua pamoja na uchunguzi hakuna linaloendelea.

Serikali ya CCM imetafuta weak point mahali pa kutetea ukiukwaji wa haki za bianadamu na ubakaji demokrasi nchini kwa kukomalia ushoga badala ya hoja nyingine ambazo ni nyingi zinazofanya majumuisho ya maamuzi ya hao wafadhili. Kwa hali halisi ilivyo serikali inatabatapa, ukweli unabaki uingereza haitarudi nyuma, na pengine nchi nyingine zitaunga mkono kutokana na ubakiji huo wa demokrasi nchini.
 
wewe ujui usemalo, na mawazo yako ni finyu sana, unashindwa kuelewa nini kua CHADEMA kitapaswa kutawala nchi kwa misingi ya katiba ya nchi? km katiba yatu hairuhusu hilo basi huo ndio msimamo wa nchi, regadless chama gani kitatawala, chadema kina viongozi makini na wafuasi makini, hilo tatizo lenu la mtindio wa ubongo linawahusu nyie wana ccm
 
na yule JK wenu aliyenunuliwa suti, perfume na viatu kisha kalazwa hotelini mpaka leo hatulii kabla hajapanda ndege kwenda huko vipi.

napata wasiwasi kama tutapona na ushoga ka viongozi wenyewe ndo hao. lo!

mh mh mh,hapa mwanitisha. mh mh! dah ! ebu ngoja nikatafakari kauli hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…