Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

BRIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
201
Reaction score
156
Nauliza swali eti ule undugu wa CHADEMA NA CHAMA CHA CONSERVATIVE kinachohimiza tuoane bado upo?na je chadema wanapataje misaada toka chama hichi kama masharti ndo hayo?
 
Naona undugu huo utakufa coz yawezekana wakataka mgombea wetu kutoka chadema 2015 awe shoga ili 2pewe vjisenti vya kufanzia kampeni...LOL
 
Tehetehe umasikini mbaya sana

hata NGOs nyingi pamoja na za wanaharakati zipo kwenye mlolongo huo huo (kupokea pesa kutoka UK) sijaona wakitoa tamko la kulaani kauli hiyo. Anglican walishakubali
 
tuichunguze vyema kauli ya huyo wazir mkuu wa uk, pengine kuna yalofichwa ya mawazir tz sababu ndo kasema wawe wazi kuliko kujificha.kwa ujumla wake waafrika wote tupinge suala hilo kwa nguvu zote.
 
Kweli chadema bado wana urafiki na hichi chama cha UK?

Kuna tatizo hapa
 
Nauliza swali eti ule undugu wa CHADEMA NA CHAMA CHA CONSERVATIVE kinachohimiza tuoane bado upo?na je chadema wanapataje misaada toka chama hichi kama masharti ndo hayo?
Hii hoja haina nguvu kujadiliwa maana hata kama mkikataa kwamba hamna ndoa ya jinsia moja ukweli ni kwamba hao watu wapo hapa kwetu Tanzania. Kwa hiyo ni swala la mda tu. Hii haiwezi kuvunja mahusiano ya kisiasa baina ya vyama hivo. Politics is always a dirty game. Viogozi wetu wa Africa wanapokea pesa chafu sana ambayo haina tofouti na hii ya mashoga. Fuatilia world politics utajua undani wake. Very dirty, people are dying everywhere just because of this politics.
 
[Nauliza swali eti ule undugu wa CHADEMA NA CHAMA CHA CONSERVATIVE kinachohimiza tuoane bado upo?na je chadema wanapataje misaada toka chama hichi kama masharti ndo hayo?]

Uhusiano wa conservative na cdm ulikuwepo wakati ule ambao conservative ano walikua wapinzani pale uingereza. saiv wao ni watawala,cdm bado ni wapinzani. so conservative watakua wanafanya kazi kwa karibu zaidi na ccm.
 
Mbona marafiki siku nyingi na bado urafiki wao umezidi kuwa imara..

Nadhani hata Pro-CDM JF wana mapenzi na Conservative
 
ANGONET( mashirika yasiyo ya kiserikali na asasi mkoaani arusha) YAZUIA MISAADA YENYE HARUFU YA USHOGA, ........kiongozi soma vyombo vya habari UNAYESMA NGO zimekaa kimnya... JF ni mtandao wa wetu wenye kufanya utafiti kabla ya kurusha kitu hewani.
 
Mbona marafiki siku nyingi na bado urafiki wao umezidi kuwa imara..

Nadhani hata Pro-CDM JF wana mapenzi na Conservative
Nasikia Mfadhili mkuu wa chama hiki ni Mwarabu wa Kempinsk na alishawahi kumnunulia Mwenyekiti wa "CDM" suti Tano. Sijui alimpimaje mwanaume mwenzie! Wakuu hilo ni Jiwe gizani atakayelia nhiii, ujue limempata
 
Ndugu zangu wa JF naomba muamini na muendelee kuamini kuwa Pesa ni mbaya! Jana Mama Nkya wa Tamwa kajikanyaga sana juu ya Ushoga eti lazima mambo kama haya yaongelewe kwenye katiba wananchi waamue wenyewe kama iruhusiwe au la! Yani Mama Nkya anaweka Rekodi kwa wafadhili wake hasa UK kuwa lazima wananchi waamue ila yeye hajui kama ushoga ni jambo baya au uzuri ila wananchi waamue! What a shame! Wanaharakati wetu wako kimagharibi zaidi kutumikia wafadhili ili waishi mjini!
 
Mbona mambo mengi tu yeye anakuwa kiherehere kuyaongelea kabla hata wananchi hawatoa msimamo, tena huongea kwa style kuwaongoza katika kile anachokiamini akitumia kofia yake ya uana harakati.
Na anaposema wananchi waamue kwani yeye ni balozi wa nchi gani hapa nchini?
 
Ndugu zangu wa JF naomba muamini na muendelee kuamini kuwa Pesa ni mbaya! Jana Mama Nkya wa Tamwa kajikanyaga sana juu ya Ushoga eti lazima mambo kama haya yaongelewe kwenye katiba wananchi waamue wenyewe kama iruhusiwe au la! Yani Mama Nkya anaweka Rekodi kwa wafadhili wake hasa UK kuwa lazima wananchi waamue ila yeye hajui kama ushoga ni jambo baya au uzuri ila wananchi waamue! What a shame! Wanaharakati wetu wako kimagharibi zaidi kutumikia wafadhili ili waishi mjini!

Urafiki wa CDM na Conservative ni wa muda mrefu na unadumu, tunaanza kupata wasiwasi sasa hata viongozi wa cdm waweza kuwa ni m*****a ndio maana wanapatana nao. na huyu mama Nkya anajulikana sana ni mnafiki na mtu ambae si wa kuaminika. Hata ndoa kwanza hana iliisha vunjika siku nyingi unategemea nn sasa kutoka kwa mtu huyu
 
Ushoga na tabia zinazofanana nao ni ushetani uliopitiliza. Lakini hawa watawala wasitudanganye, magazeti kibao yanaandika habari, visa na matukio mbalimbali ya mashoga hasa ktk miji ya Tanga, Dar na Zanzibar,serikali na jamii kwa ujumla wamechukua hatua gani kupambana na hali hiyo?! Kama waandishi wa kawaida wanawapata mashoga vyombo vyetu vinashindwa nini? Hawa watawala wahuni wanataka sifa toka kwa watu wasiotafakari mambo. Huko wanakopeleka bakuli kila leo walishahalalisha ushoga siku kibao mbona hatukuwatenga?!
Hebu tukumbushane ni nani yule aliyekuwa analipiwa chumba huko Kempisky na akafanyiwa shopping London?!
 
nasikia kunakiongozi wa juu kabisa alisha wahi kulipiwachumba na kununuliwa suti na mwanaume mwezie je wanajf habari hizi zina ukweli..
 
Urafiki wa CDM na Conservative ni wa muda mrefu na unadumu, tunaanza kupata wasiwasi sasa hata viongozi wa cdm waweza kuwa ni m*****a ndio maana wanapatana nao. na huyu mama Nkya anajulikana sana ni mnafiki na mtu ambae si wa kuaminika. Hata ndoa kwanza hana iliisha vunjika siku nyingi unategemea nn sasa kutoka kwa mtu huyu

na yule JK wenu aliyenunuliwa suti, perfume na viatu kisha kalazwa hotelini mpaka leo hatulii kabla hajapanda ndege kwenda huko vipi.

napata wasiwasi kama tutapona na ushoga ka viongozi wenyewe ndo hao. lo!
 
Back
Top Bottom