Chama cha ACT-Tanzania kuongoza dola 2015

Chama cha ACT-Tanzania kuongoza dola 2015

ACT_TANZANIA haiwezi kuchukua dola 2015, ila nahisi kitakua chama kikuu cha upinzani baada ya CHADEMA kupoteza mvuto. Upinzani Tanzania bado sana, siasa mbovu za kuchafuana badala ya hoja. Hawa wahuni MAGAMBA wataendelea kututawala tu hilo halina ubishi japo MAGAMBA nao watafika mwisho. Hii SACOS ya WACHAGA nayo ndo ivo tena inaelekea kufa.

Mi naona alichokiandika huyu mwehu kaijage hamna tofauti na ulichokiandika ww, htimisho ww na yeye wote wehu. Asante
 
ACT_TANZANIA bado sana! CHADEMA kilikua chama kizuri tatizo kimejaa vijana wahuni na wavuta bange wengi, wanajua matusi tu, hawana busara, hawana hoja kabsa! CHADEMA na MAGAMBA tofauti ya ni ndogo mno (u-chief). Ila wote ni wau.waji na wanafiki tu.
Target yako mbovu sana , kuna kitu unalenga hapa
 
ACT Tanzania, Nyie kama kweli mnataka kujua siasa za Tanzania anzeni kukabiliana na CCM ndio mtajua maana ya siasa Tanzania. Unaona hapa umekuja kwenye mtandao tu kuonesha nia ya kuwanyang'anya dola CCM, walewale waliokuwa wanakuunga mkono sasa wanakugeuka.

Mna safari ndefu, na kadiri mnavyokua mtaelewa. Kwa sasa kubalini tu kupata msaada wa CCM na mcheze mziki wao wa kudhoofisha upinzani. Walau mtapata vihela vya CCM, na wanachama wasioelewa maana ya upinzani Tanzania.

Hata hivyo, Watanzania tutawakubali kama mtaenda Dodoma, Iringa, Pwani, Mtwara na sehemu nyingine ambazo CCM wamejijenga. Tutawakubali tukiona ACT Tanzania ni chama cha Checks and Balances, kusimamia utawala bora kwa wale wenye mamlaka juu ya rasilimali zetu.

Waaaambie HAO
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.

ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Hivi inakuwaje mtu unaamua kujitoa ufahamu hivi?
 
ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
Kumbe na wewe ni wale wanaofananisha urais na simba na yanga, wewe ni Mwl.Kaijage wa wapi!?, mbona unatutia aibu!

Day dreaming will not help emancipation you fellow day dreammer.
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.

ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Yaani chama kiwe tumaini jipya wakati hakina hata nusu mwaka toka kimepata usajili wa kudumu? ajabu sana
 
ngonani;
Huyu MWL ili jina alilitumia kusomea shule lakini yeye ni Muha na mkazi wa eneo la Murusi -Kasulu karibu na stend mpya.

Mkuu ngonani kwa hiyo kwa ufupi huyu Div5 ameiba jina la mtoto wa kihaya?

Ukoo wa panya(Madelu, sammy Luhunga)
 
Last edited by a moderator:
CCM watawapa msaada wa pesa kama hamtakuwa na nia yoyote ya kutwaa dola, na hamtafanya harakati za kuvamia maeneo ambayo wana nguvu.

Wana CCM kawaida wako nanyi katika mada za kushambulia upinzani, lakini mkiwageukia wao tayari mnaona wanavyotoka povu.

Hapo ndipo unaponikera. Wewe hangaika na machadema yako. Achana kabisa na ccm
Posts za ACT-Tanzania kushambulia upinzani huchangiwa kirafiki na Simiyu yetu
Mawazo mazuri imekaa vema sana.

Tunawatakia heri kwenye safari yao wafanye siasa za kusaidia watu siyo kama za chadema za kuuwa watu badala ya kuwasaidia na kuwatumikia.

Tunawasubiri kwa nguvu kubwa na kasi zaidi.
Lakini ACT-Tanzania wakiigeukia CCM, na kugusia suala la kuwatoa CCM madarakani, simiyu yetu huyo huyo hujibu kwa ukali
Akili yako imetoboka hicho chama cha uchochoroni wewe ndiyo umeona chama cha maana kwako.
Huyu mwl kaijage atakuwa na matatizo kashindwa kufundisha vijana anadandia siasa bure kabisa hiyo ccm haijui hata chembe tena akome kabisa.

Hivi inakuwaje mtu unaamua kujitoa ufahamu hivi?

Ndio mjue kisa cha upinzani kubambikiwa kesi, propaganda za kuchafua upinzani, na kutumia wana CHADEMA kuigawa CHADEMA, na kuonesha kuwa CHADEMA kuna shida kubwa.

Mkiamua kwa dhati kuwa kweli chama cha upinzani, kusimamia utawala bora (checks and balances) propaganda mbaya zitaanza dhidi yenu. Ndivyo ilivyokuwa kwa NCCR, ndivyo pia ilivyokuwa kwa CUF, na sasa tunaona CHADEMA.

Adui wa CCM ni yeyote anayetaka kutwaa dola. Take my words, and Mandla Jr. anathibitisha.
Mwl.Kaijage, tunataka ACT-Tanzania kiwe chama kikuu cha upinzani!! Lakini sio kuongoza Nchi..CCM is there mkuu
Hii ACT-Tanzania ni plan ya CCM ya kudhoofisha upinzani, na tunaendelea kushuhudia uthibitisho hapa.

ACT-Tanzania jengeni identity inayojulikana wazi, ninyi ni wapinzani au wasaidizi wa CCM kudhoofisha upinzani?
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.

ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA

TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Acha Bhange hizo!!
 
Mkija kuandika humu JF hakikiksheni hamjatokea vilabuni maana ulevi unaweza ukakufanya uandike -----.
 
Acheni kukurupuka na kuropokaropoka kila leo, chama ambacho hakina viongozi kamwe hakiwezi kuwa tumaini la Watanzania.

Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.

ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Chama hiki kitapigana vikumbo na kile cha Dovutwa kukamata namba ya mwisho kwa kuwa na kura chache za urais.
 
ACT-TANZANIA ndio Mkombozi wa Watanzania!!" Saa ya Ukombozi ni sasa!!"
 
Back
Top Bottom