Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania. ACT kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Act-tanzania kiboko ya ccm na vyama vingine.
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania. ACT kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Nshomile unatutia aibu nshomile wenzako. Hata kama ni mpenzi wa ACT, tafakari ukweli wa maandishi yako mbele ya wasomi wenzako wataupokeaje.
Yaani akina mchange, matata, zitto, kitila, mtela, shenzio, nk ndo timu ya ushindi?Act-tanzania kiboko ya ccm na vyama vingine.
Mkuu huyu baba yako au mjomba wako.
Mhhhh! Wewe si ndo uliekuwa unawanadi leo unawakana wapuuuzi wenzako?Akili yako imetoboka hicho chama cha uchochoroni wewe ndiyo umeona chama cha maana kwako.
Atakuwa waziri wa vichaa wenzakeWaziri wa elimu atakuwa Mwl.Kaijage.
Hapo ndipo unaponikera. Wewe hangaika na machadema yako. Achana kabisa na ccmAct-tanzania kiboko ya ccm na vyama vingine.
Huyu mwl kaijage atakuwa na matatizo kashindwa kufundisha vijana anadandia siasa bure kabisa hiyo ccm haijui hata chembe tena akome kabisa.Hapo ndipo unaponikera. Wewe hangaika na machadema yako. Achana kabisa na ccm
Nawanadi wapi na we bata nipishe huko.Mhhhh! Wewe si ndo uliekuwa unawanadi leo unawakana wapuuuzi wenzako?
Ina maana kuna chama kipya kimekuja leo? coz mm najua ACT ni kijitawi kitengo cha Propaganda pale ofisi za Lumumba. vipi Kaijage ule Ugomvi wako na wenzako kugombania mtaji wa dagaaa mliopewa ili kujiunga na Act umekwisha? maana Act wenzako wanakutuhumu hutoi Marejesho ya mzigo. ha ha ha ha ha Duniani kuna Vituko na Vijituko.