hexacyanoferrate
JF-Expert Member
- May 15, 2014
- 1,232
- 792
Mkuu huyu baba yako au mjomba wako.
Huyu ni baba yako aliyefilisiwa akili na ccm akakurithisha wewe.
Mkuu huyu baba yako au mjomba wako.
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.
ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Huyu MWL ili jina alilitumia kusomea shule lakini yeye ni Muha na mkazi wa eneo la Murusi -Kasulu karibu na stend mpya.Wahaya kwa kawaida sip wajinga tens aliesoma? Hyu mwalimu majanga
Mhhhh! Wewe si ndo uliekuwa unawanadi leo unawakana wapuuuzi wenzako?
Hebu fanya mambo mengine na uache utoto chama kinajulikana JF unasema kitaongoza nchi unazani kuongoza nchi ni sawa na kwenda Bar ukatoa ofa kwa kila mteja?Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.
ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.
ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.
ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Hapo ndipo unaponikera. Wewe hangaika na machadema yako. Achana kabisa na ccm
Akili yako imetoboka hicho chama cha uchochoroni wewe ndiyo umeona chama cha maana kwako.
Huyu mwl kaijage atakuwa na matatizo kashindwa kufundisha vijana anadandia siasa bure kabisa hiyo ccm haijui hata chembe tena akome kabisa.