Chama cha ACT-Tanzania kuongoza dola 2015

Chama cha ACT-Tanzania kuongoza dola 2015

ACT-TANZANIA inawaumiza vichwa kwani kuna vyama vitapotea kwenye medani za siasa!! ACT wimbo wa Taifa ni Uzalendo.
 
ACT-TANZANIA inawaumiza vichwa kwani kuna vyama vitapotea kwenye medani za siasa!! ACT wimbo wa Taifa ni Uzalendo.

vyama gani vitavyopotea zaidi ya ccm na matawi yake? Imean Act-kigoma,nld,tlp,chausiku ooooh no chau saba,aaah chau sita,tadea,adc n.k
 
Haya watabiri mazwazwa ila mziki wa ACT mtaufahamu vizuri ni hizo saccos zenu za kichaga tutaona mwisho wake upi?
Sasa kiongozi mbona hata katiba hamna? Hata kama ni upumbavu msifanye peupe hivyo bana.
 
Nilikuwa namuona MWL.Kaijage kama mtu mwenye upeo.....sasa naamini"every dog has its day"
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.

ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Kuishinda CCM kwa fedha za CCM? Mmmmh I can't believe!
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.

ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Kuota ndoto si dhambi wala kosa. Kadhalika kusimulia ndoto nzuri au zenye ujumbe maridhawa si kitu kibaya. However, kutangaza ndoto za kilevi ni tatizo. Ni kuwapotezea muda walengwa wa kuskia simulizi za ndoto husika.

Kwanini msihifadhi ndoto hizi za ajabu nafsini mwenu badala ya kuzidi kuuthibitishia umma kuwa ACT ni genge la wababaishaji flani? Dola pekee mtakayochukua ni ya kuhongwa na CCM mhujumu Upinzani. Hilo halina ubishi kwani 'mmeumbwa ili kuja kuvuruga.' Lakini amin nawaambia, adhabu ya usaliti wenu inawasubiri.
 
inawezekana mkaja kuchukua nchi huko mbeleni,lakini kwa 2015 naweka big NO aisee,it won't happen kwasababu hamna mtaji wa kisiasa wa kutosha kuweza kuwawekeni madarakani.
 
Wahaya kwa kawaida sip wajinga tens aliesoma? Hyu mwalimu majanga
 
Back
Top Bottom