Mwl.Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 279
- 64
- Thread starter
- #101
ACT-TANZANIA Uzalendo ndio wimbo wa Taifa.
Act-tanzania kiboko ya ccm na vyama vingine.
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.
ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
modes fungueni "JUKWAA LA MATAHIRA"
hapa ndipo huwa napata wasiwasi kama kweli wanajamii forum wote ni great thinkers! mfano huyu wa thread hii! lakn kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo.