Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Si sababu wanajua hakuna namna mods waruhusu hilo?
wengi wanajua walisha wahi kufanya mambo kama hayo
ID zaidi ya moja imekua kawaida. Members kukutana nje ya JF ipo
Members kufatilia maisha ya members wengine na kuwa-harass
hadi members hao wanachange ID ipo pia, na itaendelea kuwepo.

I am just happy for Husninyo, ameamua kuchukua hatua.
Najua atawataja tu, kama sio katika thread hata kwa PM
au Sms au hata live. but sooner or later watajulikana.
It was nice meeting you Husninyo, I will miss you so much :hug:
Huu uzi hauna mashiko. Mleta uzi sidhani kama ni underage kid.
Ni mtu mzima na sharubu au maziwa yameshalala zamaani.
S/he is a consensual adult na anajua anachokifanya na yuko responsible
na consequences za anachokifanya. Kulialia na kufungua uzi ni kutafuta
tu sympathy kwa wene mioyo kama yake. Kama anaona kaonewa aende
kwene vyombo vya dola uone kama atakua na kesi.
 
Asante sana kwa kushare! Sikujua kama Jf na facebook ni two sides of the same coin! Kumbe behind people's IDs kuna mengi enh??
BTW namshukuru Mungu sijampa mtu yoyote contacts zangu na kamwe sitatoa..
 
Basi jana usiku bila sababu yoyote ya msingi si nikaota namlisha Keren - Happuch mapera. Khaaaa! Keren - Happuch utaniuwa mwenzio
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kamanda BAK umeenda wapi tena? Njoo tupige kampeni ya kutaja mjina. Hahaha
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
hehheehe fellow tablet hapa hutoki, omba Mungu ombi la BAK la kuwataka mods wawataje hazarani lisikubaliwe.

Uzuri kanuni za JF haziruhusu kwa hiyo hata Keren Happuch hatakutaja fellow tablet. Afu km mademu wa JF ndo wako kwenye mkakati wa kutuumbua, nashauri tuhamie fesibuku tukatongoze videnti. Mtaji buku 10 tu.
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi hauna mashiko. Mleta uzi sidhani kama ni underage kid.
Ni mtu mzima na sharubu au maziwa yameshalala zamaani.
S/he is a consensual adult na anajua anachokifanya na yuko responsible
na consequences za anachokifanya. Kulialia na kufungua uzi ni kutafuta
tu sympathy kwa wene mioyo kama yake. Kama anaona kaonewa aende
kwene vyombo vya dola uone kama atakua na kesi.
Kwani kaomba sympathy ya mtu humu ndani? au mi sijaelewa
Kaja kutuaga na ametoa sababu za kuondoka, she didn't complain
Na amesema wazi kua yaliotokea anahisi ameyakaribisha somehow
Sasa hayo ya kusema sio mtoto na analia lia umeyatoa wapi tena?
Soma mada kwanza kabla ya kuchangia mkuu. Just normal procedure
 
Asante sana kwa kushare! Sikujua kama Jf na facebook ni two sides of the same coin! Kumbe behind people's IDs kuna mengi enh??
BTW namshukuru Mungu sijampa mtu yoyote contacts zangu na kamwe sitatoa..

Good for you; ndio maana namsifu Husy kwa moyo wake wa upendo!
 
Huu uzi hauna mashiko. Mleta uzi sidhani kama ni underage kid.
Ni mtu mzima na sharubu au maziwa yameshalala zamaani.
S/he is a consensual adult na anajua anachokifanya na yuko responsible
na consequences za anachokifanya. Kulialia na kufungua uzi ni kutafuta
tu sympathy kwa wene mioyo kama yake. Kama anaona kaonewa aende
kwene vyombo vya dola uone kama atakua na kesi.

kamanda ukimuona huyu dada live lazima ikusimame
wewe! Nasikitika anaondoka ila huyo mkosefu akome tabia mbaya.
 
Watu wengine mna roho ndogo sana, yaani kutongozwa tu na mzee kunakufanya ujilipue! Kutolipwa deni lako kunakufanya ujinyonge?! Lol, shida yote hiyo ya nini?
Uamuzi mzuri sana huo, nadhani itasaidia kupunguza jam kwenye JF. Wasukuma wana methali inasema "Mziraji (mwenye kuzira) hana mgawo". Nahodha wetu umejiyupa baharini, lakini sisi tupo tunaendelea.
 
kamanda ukimuona huyu dada live lazima ikusimame
wewe! Nasikitika anaondoka ila huyo mkosefu akome tabia mbaya.

Duh! Hivi mnajua kuwa mengine ni udhalilishaji kwa hao mnaodhani mnawasifia?!
 
Uzuri kanuni za JF haziruhusu kwa hiyo hata Keren Happuch hatakutaja fellow tablet. Afu km mademu wa JF ndo wako kwenye mkakati wa kutuumbua, nashauri tuhamie fesibuku tukatongoze videnti. Mtaji buku 10 tu.
Na kule feisbuku kuna wapopo, waliniibia hela yangu kule wakajifanya wanatoa greencard. sjui kama si galfrend wa Nyani ngabu yule aloniibia, manake alijifanya anakonekti watu na kazi za kubeba maboksi
 
Sasa kama nikijisikia kuongea kitu kwa pembeni na Kaunga nitafanyaje na mi nina kamchina??

Mwambie, maujanja mengine huwa twapeana PM ili msijue siku hizi tunakuja kivipi! LOL
 
Last edited by a moderator:
Goodbye Husninyo

Did we disappoint you or let you down?
Should we be feeling guilty or let the judges frown?
Because we saw the end before we had begun,
Yes we saw you were blinded and we knew we had won.

So we took what was ours by eternal right.
Took your soul out into the night.
It may be over but it won't stop there,
We are here for you if you would only care.
You touched our hearts you touched our souls.
You changed our lives and all our goals.

And love is blind and that we knew when,
Our hearts were blinded by you.
We have kissed your lips and held your hand.
Shared your dreams and shared your wishes.
We know you well, we know even your smell.
We have been addicted to you.

Goodbye Husninyo.
Goodbye our friend.
You have been the one.
You have been the one for us.
We are so hollow, Husninyo, we are so hollow.
Goodbye Husninyo.
 
Kwani kaomba sympathy ya mtu humu ndani? au mi sijaelewa
Ndio hujaelewa. Mzazi wako wa kike ni mama yako, si lazima akwambie mimi ni mama yako ndio ujue kwamba ni mama yako.
Kaja kutuaga na ametoa sababu za kuondoka, she didn't complain
Mimi naona anacomplain.
Na amesema wazi kua yaliotokea anahisi ameyakaribisha somehow
Angeweza kurekebika bila ya kufungua uzi JF.
Sasa hayo ya kusema sio mtoto na analia lia umeyatoa wapi tena?
As independent free thinker, it is obvious hizo ni instances na extrapolation ninazozitoa kichwani mwangu.
Soma mada kwanza kabla ya kuchangia mkuu. Just normal procedure
Umejuaje kwamba sijasoma? normal procedure ni kutotengeza assumptions kwa vitu vilivo wazi.
 
Gaijin
Hakyanani mimi nilikopa tu, hiko kibabu itakuwa Asprin tu, mimi ndo kwanza juzi nilifanya besdei ya miaka 22. Nasubiri matokeo ya six apa pressure inapanda presha inashuka

Khaa! Ngoja nimrudishie Hus hela yake bana, naona mnanizushia yasiyonihusu. Hicho kibabu lazima atakuwa Mwali. Au ulifikiri Mwali ni demu? Stuka! Think!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom