Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,115
- 3,811
Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Faida ya UTT pesa yako inazaa.
Benki pesa yako haizai.
Faida ya UTT pesa haina makato.
Benki pesa ina katwa charges za mwezi na kila ukitoa.
Faida ya UTT pesa yako ukihitaji unapata ndani ya siku 3 kwa LIQUID FUND na kwa BOND FUND unapata ndani ya siku 10.
Benki pesa unapata muda wowote ila kuna kiasi huwezi kutoa mpaka maelezo ya kueleweka.
Faida za UTT pesa utatoa hata yote hawana kikwazo na UTAAMUA MWENYEWE WAKUWEKEE KATIKA ACC. GANI YA BENKI.
FAIDA YA UTT sio rahisi kutoatoa pesa hovyo kwasababu pesa inatolewa tu ndani ya siku za kazi.
Benki ni rahisi kutoatoa pesa hovyo kwa wale wasio na nidhamu ya pesa.
#UTT ndio mkombozi kwa wachumi na wajanja.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
📌Kujiunga Piga *150*82# ufungue account,bado hujachelewa,anza kujiwekeza leo!!!
Ingia playstore download app ya UTT AMIS.
Vijana future yenu inategemea na leo yenu.Mbususu na kulana kimasihara sio dili.Amkeni!!!
"Whenever i see an opportunity,i never think twice"
#M.O.B NIGGERS!!!
#Heshima ya mwanaume pesa.
#NO UTT,NO FUTURE.
📍📍📍CHALLENGE ISAMBAE KATIKA MITANDAO YOTE VIJANA WAAMKE.