wapo waliopata Gpa za 2.5 wanakula maisha kwenye vitengo wakati wale wenye 4.0+ wapo kitaa hawana ramani au wapo kampuni za mishahara kiduchu kazi mlima.
Huyo mwenye 2.4 ndio boss wa hao wenye 4.0 na 4.5 amewaajiri kwenye kampuni yake anawalipa ujira mdogo huku yeye akiingiza mabillion nani mwenye akili hapo?
Kuna course wewe ukiingizwa hutoboi hata week unaomba reform wakati wenzio wanaona kawaida wenzio wanapiga 10/10 kila pepa wewe ukijitahidi sana una 0.5/10, acha dharau