Chalinze, Pwani: Askari trafiki agongwa na kufariki

ZionGate

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
5,631
2,000
Esp frester la dar kahama wauaji mno wale...iko siku wataua kbs watu
Upo sahihi kabisa ili kahama dar,serekali itupie macho hii kampuni,wapo madereva wawili mmoja anajisifia muhaya.
Cc:LATRA, kamanda wa usalama barabarani mulika hii kampuni ya FRESTER kuanzia saa kimi na mbili jioni
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
55,335
2,000
Huyo dereva ni muuaji. Trafiki sio malaika ila kwa hili huyo dereva atolewe mfano.
Usiamini sana hiyo statement ya kipolisi...ukiisoma kwa makini imeandikwa kuwapendelea wao.

Pale Bwawani huwa kuna askari wengi tu wanakaa na kuna kama kituo cha mabasi upande wa pili kutoka lilipo banda wanalojihifadhi, hivyo askari akisimamisha gari kwa staha kuna nafasi ya kupark gari hata liwe lori...

Ukiwa unatokea Moro, kibao cha 50 kinaanzia mbali kidogo kule bondeni na kuna zile kamera zao pale wamezifunga kwa juu, sasa ukishafika tu juu huwa wanatokea kwenye banda lao mbio mbio kuwahi simamisha gari...

Last time nimepita hapo kuna askari almanusura agongwe na DFP, ni mwanadada alitoka mbio kwenye kibanda chao kuwahi kuipiga mkono gari.

Na walivyo na makusudi baada ya kugundua ni DFP ili kuzuga kwamba hakuichunia gari ya serikali, akanipiga mkono mimi niliyekuwa nyuma ya hiyo Cruiser, kucheck kwenye makamera yao kule akaambiwa nilikuwa chini ya 50 hapo tayari kashanisimamisha, sijui leta leseni yako na maswali yao ya kipumbavu pumbavu...
 
Mpandisha mishahara

JF-Expert Member
Mar 1, 2014
1,342
2,000
Serikali iangalie upya namna ya kuendesha biashara ya usafirishaji Tanzania, kuanzia malori, mabus nk...Pia iangaliwe upya namna bora ya utoaji wa leseni za udereva kwa madereva wa magari na vyombo vyote vya moto...

Ifike mahala sasa tukubaliane si kila mtu lazima afanye biashara ya mabus na malori...ni wakati wa biashara hizi kufanywa na makampuni makubwa yenye uwezo wa kumiliki na kuendesha magari ya kisasa na kuyasimami..
Ifike mahala sasa kazi ya udereva iwe ya kudumu na kutambulika na madereva wote wawe na mikataba kwenye ajira zao na kila kampuni ihakikishe kigezo cha kwanza ni elimu kuanzia kidato cha nne na mhusika awe na cheti, kuwe na kigezo cha cheti cha udereva na kila kampuni ihakikishe kila mwaka madereva wake wako assesed kufuatana na taratibu na sheria..
Kwanini kigezo Cha kwanza kiwe kuanzia kidato Cha nne?
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
44,524
2,000
Usiamini sana hiyo statement ya kipolisi...ukiisoma kwa makini imeandikwa kuwapendelea wao.

Pale Bwawani huwa kuna askari wengi tu wanakaa na kuna kama kituo cha mabasi upande wa pili kutoka lilipo banda wanalojihifadhi, hivyo askari akisimamisha gari kwa staha kuna nafasi ya kupark gari hata liwe lori...

Ukiwa unatokea Moro, kibao cha 50 kinaanzia mbali kidogo kule bondeni na kuna zile kamera zao pale wamezifunga kwa juu, sasa ukishafika tu juu huwa wanatokea kwenye banda lao mbio mbio kuwahi simamisha gari...

Last time nimepita hapo kuna askari almanusura agongwe na DFP, ni mwanadada alitoka mbio kwenye kibanda chao kuwahi kuipiga mkono gari.

Na walivyo na makusudi baada ya kugundua ni DFP ili kuzuga kwamba hakuichunia gari ya serikali, akanipiga mkono mimi niliyekuwa nyuma ya hiyo Cruiser, kucheck kwenye makamera yao kule akaambiwa nilikuwa chini ya 50 hapo tayari kashanisimamisha, sijui leta leseni yako na maswali yao ya kipumbavu pumbavu...
Sawa nitakuamini wewe. Madereva wa mabasi nawaelewa vizuri sana, Sio mara moja wala mbili washasababisha niikimbie barabara kuwapisha. Hawajali mtu yeyote mwenye chombo kidogo kuliko Chao.
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
29,334
2,000
Wana tabia zao,wanasimamisha gari Huku wamesimama Kati Kati ya mstari mweupe WA barabarani.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,319
2,000
Taarifa ya uongo ya Police itampeleka Motoni Marehemu... Watende haki hao Police japo sio haiba yao... Dereva apewe ulinzi wa taasisi Nyingine maana watamuonea sana Dereva kwa jinsi walivyo polisi... wanapenda kununua kesi za pilisi wenzao... Watakao muonea huyo dereva walaaniwe Dereva ashitakiwe kwa haki bila uonevu
taasisi gani ijipe kazi ya kipuuzi namna hiyo italipwa na Mungu
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,319
2,000
Kwa kweli niwe muwazi, ilishanikuta tukio kama hili, (external maji chumvi road) askari alisimamisha gari niliyokuwa naiendesha nikawasha taa ya ishara napark mbele!! Alikuwepo askari mwingine mbele akatoka kwa jazba na kuzuia gari kwa mbele!! My God, kwa kujiweka mbele ya gari!! Nilishika brake hadi brakes pad zilipasuka!! Kweli niwe muwazi afande Sirro ana kazi kubwa kuwaelimisha hawa ndugu zetu!! Fika niseme Huyo marehemu atakuwa na hulka ya huyu wa external makuburi!!
ili tujue ulitaka kufanya jinai kwa makusudi hapo barabarani zitapimwa breki kujua ulikuwa speed ngapi na eneo linaagiza utembee na ngapi.

hata polisi wana magari pia tabia mlizo nazo madereva na wao huwa wanazo hivyo wanazijua vyema.
kuwaza ni ushamba kuendeaha gari kama bibi wa kizungu.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,319
2,000
Usiamini sana hiyo statement ya kipolisi...ukiisoma kwa makini imeandikwa kuwapendelea wao.

Pale Bwawani huwa kuna askari wengi tu wanakaa na kuna kama kituo cha mabasi upande wa pili kutoka lilipo banda wanalojihifadhi, hivyo askari akisimamisha gari kwa staha kuna nafasi ya kupark gari hata liwe lori...

Ukiwa unatokea Moro, kibao cha 50 kinaanzia mbali kidogo kule bondeni na kuna zile kamera zao pale wamezifunga kwa juu, sasa ukishafika tu juu huwa wanatokea kwenye banda lao mbio mbio kuwahi simamisha gari...

Last time nimepita hapo kuna askari almanusura agongwe na DFP, ni mwanadada alitoka mbio kwenye kibanda chao kuwahi kuipiga mkono gari.

Na walivyo na makusudi baada ya kugundua ni DFP ili kuzuga kwamba hakuichunia gari ya serikali, akanipiga mkono mimi niliyekuwa nyuma ya hiyo Cruiser, kucheck kwenye makamera yao kule akaambiwa nilikuwa chini ya 50 hapo tayari kashanisimamisha, sijui leta leseni yako na maswali yao ya kipumbavu pumbavu...
kuamini hiyo statement ni swala moja.na wao kujipendelea ni swala jingine,kumbuka wamefiwa.

ukiwa barabarani unawaza traffic kuliko usalama wako na watumiaji wengine.
hii ni sawa na kuzuga unasoma mwalimu akiingia darasani ghafla,kama atajikwaa mlangoni na kuanguka,haibadilishi ukweli kwamba alikuwa anahangaika na future yako.
 
ngunde11

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
474
500
Sishangilii kifo ila hawa jamaa ni kero kubwa sana kwenye jamii, asilimia 90 wapo barabarani kutafuta rushwa tu na kuwasumbua madereva mfano jana ndani ya mkoa mmoja tumesimamishwa mara nne kwa ajili ya ukaguzi inawezekana vipi? na hawatumii akili kabisa hawa jamaa mfano wiki iliyopita nipo ndani ya bus tukapigwa mkono tairi zimekwisha akaandikiwa faini bus iendelee na safari nikahoji je hiyo faini ndio inasababisha tairi kuwa mpya nikakomaa nirudishiwe nauli mbele ya trafiki jamaa wakagoma ikabidi nibadilishe gari, ntu uko kati ya mji wanasema hauna reflector au taa moja haiwaki kwa nini wasikwambie ukanunue badala ya kukuandikia faini, hizi gari nyingi zipo barabarani tu kwa sababu ya rushwa za hawa jamaa hazina ubora kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom